Mbowe waombe radhi Watanzania..!!

Mbowe waombe radhi Watanzania..!!

Nimesikitishwa na kauli ya mwenyekiti wa chadema usiku huu wakati nikitizama taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia kituo cha ITV nilipomsikia Mbowe akisema eti UKAWA wamekuwa wakidai katiba mpya kwa miaka 25 sasa,,wanajamvi naomba mnisaidie ivi vyama vya Upinzani vina miaka 25 tangu kuanzishwa kwake?

Marekebisho wakuu ilikuwa chanel 10 poleni wote mlio athirika kwa kuteleza kwangu...ila uhalisia wa habari hii unabaki palepake...!!
 
Wewe ndiye utuombe radhi, taarifa ya habari ITV inaanza saa mbili sasa wewe umeiona wapi? Sasa ni saa moja na dakika 42 usuku. Mmechanganyikiwa na ukawa?

Marekebisho mkuu ilikuwa channel 10 na siyo itv...comprende?
 
ITV ya wapi hiyo mkuu? Mana sasa hivi ni saa moja usiku na taarifa ya habari ni saa mbili kamili usiku! Napata wasi wasi umetunga mzee labda sema vizuri kilikuwa ni kipindi gani??

Ilikuwa channel 10 mkuu...marekebisho..!
 
Bila shaka ata itv wameonesha same stuff saa mbilii hii usiku...!!!
 
Wewe ndiye utuombe radhi, taarifa ya habari ITV inaanza saa mbili sasa wewe umeiona wapi? Sasa ni saa moja na dakika 42 usuku. Mmechanganyikiwa na ukawa?
Taarifa anayoizungumzia ni ya jana. Mbowe hakusema UKAWA wamekuwa wakidai Katiba miaka 25 bali amesema upinzani. Mkuu awe anajitahidi Ku-concentrate anapoangalia news huku akiweka itikadi za chama chake pembeni ndo ata enjoy .
 
Hivi 1990 ukihesabu na miezi ndani yake inakuwa mingapi?Au unahesabu kuanzia 1991.
 
na mbege itapatikana kwenye chupa kama bia
HAHA HAITAKUWA NA STIMU mbege ina vionjo ikipigwa ktk vikombe fulani vya kushika na mikono miwili,na nafsi ya kupuliza kidogo.Huku harufu fulani ikitoka ya kutosha ongeza curiosity ya walio karibu.
 
na mbege itapatikana kwenye chupa kama bia

Ahhhh naona una mchimbachimba mwenyekiti na katibu watake radhi, na nafikiri hivi vinywaji vitakuwa vinauzika kwa wingi MOSHI na KARATU ambako kuna professional DRINKERS..ok minatangulia MOSHI lakini ntapita KARATU..
 
Back
Top Bottom