andrewk
JF-Expert Member
- Apr 13, 2010
- 3,102
- 488
wasalaaam wadau,
Naona kuna kama kafukuto ka mambo ya kugomea uongozi wa upinzania bunguni kwa chadema ambao kwa data zilizopo ndio chama pinzania. naomba kutoa mtazamo wangu juu ya hili kununusu kukua kwa chama na yatokanayo kwa mvutani huuuuuo
1. Naoma mbowe na zitto wajue kwamba kwamba wao sio maarufu kupita chadema. Hivyo kila mmoja wao awe na subira juu ya maamuzi ya chama
2. Najua kutakuwa na misukumo kutoka kwa watu walio karibu na kila mmoja wao juu ya nafasi hii, lakini tulio chini lazima tuheshimu sana walio kwenye nafasi zao/ walio juu kwa manufaa ya chama sio yake binafisi na marafiki au washauri wenu.
3 Chadema ni chama kinachokuwa sasa, kinahitaji sana utulivu na maelewano (Kuridhika na Kuvumiliana) ili kutimiza lengo la kuwa chama tawala, labda 2015 au 2020. Lakini kama hakuna amani na utulivu ndani ya chama kwa sasa tusitarajie kuungwa mkona na watanzania 2015, kwani misuguano yeyote ndio mtaji wa wapinzani wenu-hasa CCM
4. Uvumilivu ni mtaji mkubwa wa mafanikio-Mfano ni yule mama aliyeshinda segere lakini aliombwa ampishe Fred Mpendazoe, sasa mafanikio ameyaona-sidhani kama angegombea yeye angepata kura alizopata Fred pale, nadhani alijali mslahi ya chama zaidi
hitimisho
Zitto kwa sasa huhitaji kushindana na Mwanyekiti wako. Kubali maamuzi ya chama kwani uhai wa chama unawategemea matendi yeko kwa sasa. Utakumbuka mvutano ambao uliwatoa akina kafurila, ni sehemu tu ya heka heka zako. Ukishindwa kuwaambia mafafiki zako juu ya msimamo na maamuzi ya chama utayumbisha sana na ushari wao. Uimara wa chama si wa mtu, ni watu na kujali maamu.Muda bado unao. Timiza majukumu yako kwa ufasaha, nafasi bado unayo kwani sio lazima uwe Mwenyekiti wa chama, au lazima wewe uwe mgombea urasi kwa chama, hata leo chadema wangechukua nchi waziri mkuu angekua mmoja tu. Tujifunze kuvumilia na kujheshimiana. Ogopa sana washari, kwani kwa sasa wako wengi wenye matakwa na malengo tofauti--KUMBUKA CHADEMA NI WATU, SI WEWE-DUNIANI KOTE HUWEZI KUWA KIONGOZI PALE ALIPO MKUBWA WAKO LABDA KWA IDHINI YAKE. Sijasilkia kauli yako juu ya kuongoza Upinzani Bungeni, lakini yanayosemwa na marafiki zako ndiyo yanaandikwa kwenye media, sasa usipokanusha ndio msimamo wako... pelekeni nguvu mpate Spika kama sCCM wataleta watuhumumiwa kujificha kw akivuri cha uspika