Elections 2010 Mbowe vs zitto

Status
Not open for further replies.

andrewk

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
3,102
488
wasalaaam wadau,

Naona kuna kama kafukuto ka mambo ya kugomea uongozi wa upinzania bunguni kwa chadema ambao kwa data zilizopo ndio chama pinzania. naomba kutoa mtazamo wangu juu ya hili kununusu kukua kwa chama na yatokanayo kwa mvutani huuuuuo

1. Naoma mbowe na zitto wajue kwamba kwamba wao sio maarufu kupita chadema. Hivyo kila mmoja wao awe na subira juu ya maamuzi ya chama
2. Najua kutakuwa na misukumo kutoka kwa watu walio karibu na kila mmoja wao juu ya nafasi hii, lakini tulio chini lazima tuheshimu sana walio kwenye nafasi zao/ walio juu kwa manufaa ya chama sio yake binafisi na marafiki au washauri wenu.
3 Chadema ni chama kinachokuwa sasa, kinahitaji sana utulivu na maelewano (Kuridhika na Kuvumiliana) ili kutimiza lengo la kuwa chama tawala, labda 2015 au 2020. Lakini kama hakuna amani na utulivu ndani ya chama kwa sasa tusitarajie kuungwa mkona na watanzania 2015, kwani misuguano yeyote ndio mtaji wa wapinzani wenu-hasa CCM
4. Uvumilivu ni mtaji mkubwa wa mafanikio-Mfano ni yule mama aliyeshinda segere lakini aliombwa ampishe Fred Mpendazoe, sasa mafanikio ameyaona-sidhani kama angegombea yeye angepata kura alizopata Fred pale, nadhani alijali mslahi ya chama zaidi

hitimisho

Zitto kwa sasa huhitaji kushindana na Mwanyekiti wako. Kubali maamuzi ya chama kwani uhai wa chama unawategemea matendi yeko kwa sasa. Utakumbuka mvutano ambao uliwatoa akina kafurila, ni sehemu tu ya heka heka zako. Ukishindwa kuwaambia mafafiki zako juu ya msimamo na maamuzi ya chama utayumbisha sana na ushari wao. Uimara wa chama si wa mtu, ni watu na kujali maamu.Muda bado unao. Timiza majukumu yako kwa ufasaha, nafasi bado unayo kwani sio lazima uwe Mwenyekiti wa chama, au lazima wewe uwe mgombea urasi kwa chama, hata leo chadema wangechukua nchi waziri mkuu angekua mmoja tu. Tujifunze kuvumilia na kujheshimiana. Ogopa sana washari, kwani kwa sasa wako wengi wenye matakwa na malengo tofauti--KUMBUKA CHADEMA NI WATU, SI WEWE-DUNIANI KOTE HUWEZI KUWA KIONGOZI PALE ALIPO MKUBWA WAKO LABDA KWA IDHINI YAKE. Sijasilkia kauli yako juu ya kuongoza Upinzani Bungeni, lakini yanayosemwa na marafiki zako ndiyo yanaandikwa kwenye media, sasa usipokanusha ndio msimamo wako... pelekeni nguvu mpate Spika kama sCCM wataleta watuhumumiwa kujificha kw akivuri cha uspika

INAGHARIMU BUSARA NA ZAIDI YA BUSARA KUANDIKA KITU KAMA HIKI....
Ni kweli Bungeni ni free ground kwa wawili hao, lakini ni vyema busara ya kawaida ikatumika kuliko kujiamini kusiko na maana!

Munaweza kutujuza kwa nini mumekazana sana kuhusu mbowe na zitto ingali wao hawajasema lolote dhidi ya yao jamani waachane wenyewe watajua kwenye vikao vyao munadhani wao hawajui kwa mustakabali wa wafuasi na wanachama wao na taifa kwa ujumla manake kila mtu anazuka kama washauri wa chadema

Jamani Zitto sio mpinzania huyu ni mtu wa CCM. Ameshaona vimengia vichwa vya kumfunika kama Tundu Lisu na Mnyika sasa anataka kulianzisha seksseke mapema.Tatizo lake na pride kama rafiki yake mkukubwa aliyebwagwa Masha.

Hivi wewe unamjua Zitto vizuri au unaropokaropoka hapa. Zitto kwa taarifa yako ni mpiganaji mzuri na vilevile. Kwani we ni wa chama gani kwanza tukujue maana naona kama umetumwa vile.
Una details zozote zinazo onyesha huyu mpiganaji kageuka? La sivyo kafue hiyo Tshirt yako ya Kijani

Baadhi yetu si wafuasi wa chama chochote lakini of late Chadema imechukua centre stage na kuvuta interest ya watu wengi kutokana na kumsimamisha Dr Slaa kugombea kiti cha urais. Hii ilikuwa turufu ambayo imetufanya wengi tuione Chadema iko serious.

Si kitu kipya nikisema kuwa akina siye ni wafuasi wa mageuzi (change) and, for that matter, the whole opposition camp. Matamanio ya akina siye siku zote ni kuona tunapata opposition ambayo ina nguvu, kauli na sauti moja. Natamani saaana hili litokee siku moja.

Sasa hii itatokea lini? Nani mwenye hekima na busara ya kuanzisha hili bila ya kujali "makandokando" yaliyotokea huko nyuma?
Personally I think the time is now...na hii changamoto si kwa watu wengine bali Chadema. It is the opportunity (probably a very rare one) for Chadema to bring together the opposition on the same table for starters.

Kwa mfano mkimteua mtu kama Hamad Rashid (CUF) kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani, nawaambia mtakuwa mmeonyesha unprecedented political maturity kwenye siasa ya nchi yetu na hii itakuwa turufu kubwa nyingine (na pengine ni kubwa zaidi) baada ile ya kumteua Dr Slaa kugombea urais.

Tujiulize (hii sana sana kwa ndugu zangu wana-Chadema)...je mwana-Chadema kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani kunaiongezea nini Chadema cha ziada ambacho itakikosa ikiwa kiongozi wa aina hii atatoka another party?? Kama hakuna any political gain kwa Chadema (mimi sijui...nielimisheni), then Chadema wajaribu kufikiria uwezekano wa kuwapa the Rashidi's, Kafulila's, Lyatonga's of this world nafasi hiyo kwani itakuwa ni big plus kwa chama hiki ambacho wengi tunakiona kama chama mbadala come 2015 and beyod.

Tukumbuke pia kuwa move hii is likely to suppress any possible fallout that would spontaneously emanate from the now much talked about "Mbowe vs Zitto" head-on clash (one akin of that of the titans!)

Proposition hii nina-address moja kwa moja kwa Dr Slaa mwenyewe aisimamie na kuiuza kwa sababu ya nguvu ya ushawishi aliyo nayo ndani ya chama.

Just food for thought, ndugu zangu wa Chadema.

wasalaaam wadau,

Naona kuna kama kafukuto ka mambo ya kugomea uongozi wa upinzania bunguni kwa chadema ambao kwa data zilizopo ndio chama pinzania. naomba kutoa mtazamo wangu juu ya hili kununusu kukua kwa chama na yatokanayo kwa mvutani huuuuuo

1. Naoma mbowe na zitto wajue kwamba kwamba wao sio maarufu kupita chadema. Hivyo kila mmoja wao awe na subira juu ya maamuzi ya chama
2. Najua kutakuwa na misukumo kutoka kwa watu walio karibu na kila mmoja wao juu ya nafasi hii, lakini tulio chini lazima tuheshimu sana walio kwenye nafasi zao/ walio juu kwa manufaa ya chama sio yake binafisi na marafiki au washauri wenu.
3 Chadema ni chama kinachokuwa sasa, kinahitaji sana utulivu na maelewano (Kuridhika na Kuvumiliana) ili kutimiza lengo la kuwa chama tawala, labda 2015 au 2020. Lakini kama hakuna amani na utulivu ndani ya chama kwa sasa tusitarajie kuungwa mkona na watanzania 2015, kwani misuguano yeyote ndio mtaji wa wapinzani wenu-hasa CCM
4. Uvumilivu ni mtaji mkubwa wa mafanikio-Mfano ni yule mama aliyeshinda segere lakini aliombwa ampishe Fred Mpendazoe, sasa mafanikio ameyaona-sidhani kama angegombea yeye angepata kura alizopata Fred pale, nadhani alijali mslahi ya chama zaidi

hitimisho

Zitto kwa sasa huhitaji kushindana na Mwanyekiti wako. Kubali maamuzi ya chama kwani uhai wa chama unawategemea matendi yeko kwa sasa. Utakumbuka mvutano ambao uliwatoa akina kafurila, ni sehemu tu ya heka heka zako. Ukishindwa kuwaambia mafafiki zako juu ya msimamo na maamuzi ya chama utayumbisha sana na ushari wao. Uimara wa chama si wa mtu, ni watu na kujali maamu.Muda bado unao. Timiza majukumu yako kwa ufasaha, nafasi bado unayo kwani sio lazima uwe Mwenyekiti wa chama, au lazima wewe uwe mgombea urasi kwa chama, hata leo chadema wangechukua nchi waziri mkuu angekua mmoja tu. Tujifunze kuvumilia na kujheshimiana. Ogopa sana washari, kwani kwa sasa wako wengi wenye matakwa na malengo tofauti--KUMBUKA CHADEMA NI WATU, SI WEWE-DUNIANI KOTE HUWEZI KUWA KIONGOZI PALE ALIPO MKUBWA WAKO LABDA KWA IDHINI YAKE. Sijasilkia kauli yako juu ya kuongoza Upinzani Bungeni, lakini yanayosemwa na marafiki zako ndiyo yanaandikwa kwenye media, sasa usipokanusha ndio msimamo wako... pelekeni nguvu mpate Spika kama sCCM wataleta watuhumumiwa kujificha kw akivuri cha uspika

Kwa hali hii inaonyesha dhahiri kuwa Zitto hafai kuwa kiongozi. mambo kama hayo ndiyo yaliyosababisha kupoteza jimbo la Tarime. Nafikiri wote mlio nyuma ya Zitto muache ushabiki badala yake muungane na viongozi wa chama chenu kwaajili ya kutetea maslahi ya wanachi. Sisi watanzania bado tunakihitaji CHADEMA na kuna nguvu kubwa uya vijana itaingia CHADEMA siku za usoni. Kumbukeni kuepuka misuguano ktk chama, kwaajili ya ku focus ktk maendelea na si show up na groups za kijinga jinga.

Jamani Zitto sio mpinzania huyu ni mtu wa CCM. Ameshaona vimengia vichwa vya kumfunika kama Tundu Lisu na Mnyika sasa anataka kulianzisha seksseke mapema.Tatizo lake na pride kama rafiki yake mkukubwa aliyebwagwa Masha.

Kaka asante wanaosema Zitto mpiganaji ni wale wanao-dwell kwenye historia, lakini hawaoni recently Zitto kafanya nini. Mimi nawapa five years harafu wataona wenyewe. Na najua wengi wanaomtetea ni yeye mwenyewe na user name yake ya jamii forums na rafiki zake wa karibu na viji-CCM vingine.

nafikiri baada ya kupata wabunge wote hawa ttaacha ile hana ya kutegemea watu wawili, Mboye na Zitto.
Hivi kwanini wasiwe na busara kama Slaa?
Nina imani Slaa atawafunda wote hawa, sLAA baba tuendelee na operation sangara baada ya bune kufunguliwa

Hivi wewe unamjua Zitto vizuri au unaropokaropoka hapa. Zitto kwa taarifa yako ni mpiganaji mzuri na vilevile. Kwani we ni wa chama gani kwanza tukujue maana naona kama umetumwa vile.
Una details zozote zinazo onyesha huyu mpiganaji kageuka? La sivyo kafue hiyo Tshirt yako ya Kijani

Kama unajua maana ya upinzani wewe niambie alichokifanya Zitto kwenye campaign zilizopita kukikuza Chama zaidi ya kujipigia debe mwenyewe peke yake na Kikwete. Nimemsikia Zitto akisema serikali ya CCM ya Jakaya imefanya kazi nzuri sana, sasa hii inakuwa na maana gani? na umemuona katika campaign akiwa na wapiganaji wenzake? Najua sasa hivi anachachawa kuona kuwa kuna watu makini kuliko yeye wameingia bungeni na sasa anataka kuvuruga. Chama kama chama kina taratibu zake na watoa habari lakini Zitto anaropoka tu kwenye vyombo vya habari. mimi nina details nyingi tu nazijua na ndo maana navuta subira mtakuja ona baadae huko mbele

Kaka asante wanaosema Zitto mpiganaji ni wale wanao-dwell kwenye historia, lakini hawaoni recently Zitto kafanya nini. Mimi nawapa five years harafu wataona wenyewe. Na najua wengi wanaomtetea ni yeye mwenyewe na user name yake ya jamii forums na rafiki zake wa karibu na viji-CCM vingine.

Rekebisha lugha yako kwanza HARAFU ndio nini??

Hizi zote propaganda,Tatizo letu hatufanyi uchambuzi yakinifu kwa kila andiko katika magazeti kwani zitto kaliongela hili kuwa: utaratibu unaotumiwa na mabunge ya wanachama wa commonwealth ni kwamba kiongozi wa kambi ya upinzani anakuwa ni mwenyekiti wa chama ambacho kimepata fursa ya kutoa kiongozi wa kambi ya upinzani yaani chama chenye wabunge wengi wa upinzani.

Akasema kuna approach ya pili ya kutumia utaratibu wa bunge la mMAREKANI ambapo kiongozi anapatikana kwa njia ya kugombea na mshindi ndiyo anakuwa.Zitto anasubiri ni utaratibu gani utatumika kama UTATUMIKA WA COMMONWEALTH AUTOMATICALLY mBOWE anakuwa kiongozi kinyume cha hapo ndo Zitto atajitosa

Kwa hiyo tusubiri tusiwagonganisha viongozi wetu.
ZITTO TUNAKUAMINI TUNAKUJALI KAMA KIONGOZI USIYUMBISHWE

Hahaha hahhaaha

Baadhi yetu si wafuasi wa chama chochote lakini of late Chadema imechukua centre stage na kuvuta interest ya watu wengi kutokana na kumsimamisha Dr Slaa kugombea kiti cha urais. Hii ilikuwa turufu ambayo imetufanya wengi tuione Chadema iko serious.

Si kitu kipya nikisema kuwa akina siye ni wafuasi wa mageuzi (change) and, for that matter, the whole opposition camp. Matamanio ya akina siye siku zote ni kuona tunapata opposition ambayo ina nguvu, kauli na sauti moja. Natamani saaana hili litokee siku moja.

Sasa hii itatokea lini? Nani mwenye hekima na busara ya kuanzisha hili bila ya kujali "makandokando" yaliyotokea huko nyuma?
Personally I think the time is now...na hii changamoto si kwa watu wengine bali Chadema. It is the opportunity (probably a very rare one) for Chadema to bring together the opposition on the same table for starters.

Kwa mfano mkimteua mtu kama Hamad Rashid (CUF) kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani, nawaambia mtakuwa mmeonyesha unprecedented political maturity kwenye siasa ya nchi yetu na hii itakuwa turufu kubwa nyingine (na pengine ni kubwa zaidi) baada ile ya kumteua Dr Slaa kugombea urais.

Tujiulize (hii sana sana kwa ndugu zangu wana-Chadema)...je mwana-Chadema kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani kunaiongezea nini Chadema cha ziada ambacho itakikosa ikiwa kiongozi wa aina hii atatoka another party?? Kama hakuna any political gain kwa Chadema (mimi sijui...nielimisheni), then Chadema wajaribu kufikiria uwezekano wa kuwapa the Rashidi's, Kafulila's, Lyatonga's of this world nafasi hiyo kwani itakuwa ni big plus kwa chama hiki ambacho wengi tunakiona kama chama mbadala come 2015 and beyod.

Tukumbuke pia kuwa move hii is likely to suppress any possible fallout that would spontaneously emanate from the now much talked about "Mbowe vs Zitto" head-on clash (one akin of that of the titans!)

Proposition hii nina-address moja kwa moja kwa Dr Slaa mwenyewe aisimamie na kuiuza kwa sababu ya nguvu ya ushawishi aliyo nayo ndani ya chama.

Just food for thought, ndugu zangu wa Chadema.

Kiongozi wa upinzani bungeni ni Waziri Mkuu Kivuli ingawa analipwa mshahara na marupurupu kama waziri wa kawaida. Anayo ofisi ya hadhi bungeni inayohudumiwa na serikali, Shangingi kama la Mawaziri na anakuwa na uwezo wa kuunda serikali kivuli. Hii ni nafasi ya juu kabisa katika duru za kibunge inashika nafasi ya tatu au ya nne kwa heshima ukianzia ya spika, waziri mkuu,kiongozi wa upinzani/naibu spika.
kwa hiyo anachokipigania Zitto ni ukubwa na marupurupu .

Kinachopiganiwa hapa na heshima, mishahara na marupurupu yanayo izunguka ofisi hii. Lakini sijui kwa nini hili lijadiliwe sasa maana nafasi hiyo inatakiwa kuchukuliwa na most senior official and a member of parliament aliyeko kwenye hicho chama.

Vyovyote itakavyo kuwa, hiyo ni nafasi ya mwenyekiti wa Chadema. Ndiye aliyekifikisha chama hiki mahali kilipo! He is the most senior Party official in the Parliament, hivyo hakuna ubishi wowote. Yeye ndiye mgombea urais wa chama hiki aliyeko bungeni sasa, hivyo yeye ni mtu wa kupimana ubavu na Kikwete na Waziri Mkuu atakayeteuliwa kwa vile mgombea wao Dr. Slaa atakuwa nje ya bunge for the time being.

Hoja zilizoletwa na Zitto kwenye BBC jana eti Balozi Ndhobo wa NCCR Mageuzi alikuwa Kiongozi wa upinzani bungeni wakati Mwenyekiti wake Lyatonga Mrema akiwa bungeni hazina maana wala kishikio chochote. Amesahau kuwa Mrema aliingia bungeni baada ya uchaguzi mdogo wa Temeke (muda ulikuwa umepita). Pia wakati ule hakukuwepo na chama rasmi cha upinzani bungeni. Ndhobo alikuwa Kiongozi wa wabunge wa NCCR Mageuzi bungeni, wala hakuwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni.

Kwa hali hii inaonyesha dhahiri kuwa Zitto hafai kuwa kiongozi. mambo kama hayo ndiyo yaliyosababisha kupoteza jimbo la Tarime. Nafikiri wote mlio nyuma ya Zitto muache ushabiki badala yake muungane na viongozi wa chama chenu kwaajili ya kutetea maslahi ya wanachi. Sisi watanzania bado tunakihitaji CHADEMA na kuna nguvu kubwa uya vijana itaingia CHADEMA siku za usoni. Kumbukeni kuepuka misuguano ktk chama, kwaajili ya ku focus ktk maendelea na si show up na groups za kijinga jinga.

Walio nyuma ya Mbowe (wenye chama chao) wao wasiache ushabiki?
Au mnashindwa kumvumilia Zito kwa sababu siyo wa kanda hiyo ya kina Slaa na Mbowe?

Chadema inaanza kuonyesha its true colours mapeema!.
...ukabila, ukanda, undugu, ushemeji, mwanafamilia mwenzetu and other nonsense.

Hizi zote propaganda,Tatizo letu hatufanyi uchambuzi yakinifu kwa kila andiko katika magazeti kwani zitto kaliongela hili kuwa: utaratibu unaotumiwa na mabunge ya wanachama wa commonwealth ni kwamba kiongozi wa kambi ya upinzani anakuwa ni mwenyekiti wa chama ambacho kimepata fursa ya kutoa kiongozi wa kambi ya upinzani yaani chama chenye wabunge wengi wa upinzani.

Akasema kuna approach ya pili ya kutumia utaratibu wa bunge la mMAREKANI ambapo kiongozi anapatikana kwa njia ya kugombea na mshindi ndiyo anakuwa.Zitto anasubiri ni utaratibu gani utatumika kama UTATUMIKA WA COMMONWEALTH AUTOMATICALLY mBOWE anakuwa kiongozi kinyume cha hapo ndo Zitto atajitosa

Kwa hiyo tusubiri tusiwagonganisha viongozi wetu.
ZITTO TUNAKUAMINI TUNAKUJALI KAMA KIONGOZI USIYUMBISHWE
Ni kweli hata mimi nimesoma gazetini amesema hivyo lakini jana pia nilimsikia BBC akisisitiza nia yake ya kugombea wakati Chama hakijaamua kama kitatumia system ya Marekani au ya Commonwealth. Hata hivyo nafikiri Zitto na Mbowe wote wanajua matarajio na matamanio ya Watanzania kwa sasa hivyo watatumia busara kumaliza jambo hili. .

chadema always hakuna demokrasia!!! I bet chama hiki kingeshika nchi hii hata magazeti yangefutwa!

uongozi wa chama, uongozi wa chama my foot!! demokrasia inakuja kwa kushindana kwa kura, mnayoyafanya yanatofauti gani na makame Lewis aliyempa uongozi kikwete??

ebu niambieni CC YA CHADEMA INATOFAUTI GANI NA NEC YA LEWIS???? KUCHAGULIA WATU VIONGOZI HAKUPO, WATU WOTE HUSHINDANA KWA KURA NA SI VINGINEVYO

WANACHADEMA WENGI NI WANAFIKI SANA, WANAHUBIRI DEMOKRASIA ISIYOKUWEPO!!!! @#@%$%@$#%$^%@&^& kama wajinga wajinga eti busara inatakiwa kukilinda chama, PU...VU!!! BUSARA PIA ZIMEFANYIKA KUKIWEKA CCM MADARAKANI?????? hivi hii mijitu inatoka pande gani ya sayari hii, somebody help???

Ule mchuano wa Hilary Clinton na OBAMA ulikuwa na busara gani kulinda chama?? jamani ondoeni ukoko wa ujinga demokrasia is far more than we think!!

Mtu yeyote leo hawezi kufikiria kuwa rais kupitia chadema, simply kwa sababu ya busara za kijinga za wanaonyima haki za wenzao!!

TUKO TUNASUBIRI TUONE!!

Naunga mkono hili, limesemwa vizuri sana.
Najua wengi hawatalipenda, but that is the fact. Hata ikiuma.
Chadema walishindwa hata kuchagua wabunge wa viti maalum ikabidi kazi hiyo apewe consultant!
That is raping democracy.

Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom