Mbowe vs lipumba vs kikwete nani zaidi??

sir mushi

Senior Member
May 26, 2013
143
52
hapo kikwete tunampambanisha kama mwenyekiti wa ccm na sio uraisi wake. je nikiongozi yupi aliyekipa uhai chama chake toka wapate uenyekiti wa chama.
nataka kura zenu ili nape, mnyika, na mtatiro wakawaeleze wakubwa zao.
 
Back
Top Bottom