MBOWE Vs KIKWETE

tusiwe tunadanganyana hapa CHADEMA inapata umaarufu kwa sababu ya Dr. Slaa na si Mbowe
huyu Mbowe alishakuwepo huko nyuma na akagombea na Uraisi hakuwa na msisimko wowote.
wewe fikiria CDM bila Dr Slaa - ndiyo itakuwa mwisho wake!

better kulinganisha JK na Dr. Slaa kidogo itaeleweka na si vinginevyo
otherwise JK is better
 
Kikwete kaachwa mbali saaana, yeye anajua kutawanya tu hajui kukusanya, amekuta kilakitu yeye anatumia tu.:focus:
 
tusiwe tunadanganyana hapa CHADEMA inapata umaarufu kwa sababu ya Dr. Slaa na si Mbowe
huyu Mbowe alishakuwepo huko nyuma na akagombea na Uraisi hakuwa na msisimko wowote.
wewe fikiria CDM bila Dr Slaa - ndiyo itakuwa mwisho wake!

better kulinganisha JK na Dr. Slaa kidogo itaeleweka na si vinginevyo
otherwise JK is better

kwani ugomvi???
huwezi mlinganisha Slaa na Kikwete wewe, huko ni kumkosea heshima Phd wa ukweli......
 
Mbowe ni mfano wa kuigwa na wenyeviti wa vyama vyote vya siasa,ndani ya uongozi wake chama kimekua kwa kasi ya ajabu,kumlinganisha na Jk kwa ngazi ya uenyekiti ni kumkosea heshima mh Mbowe.Jk alipaswa kulinganisha na kina Dovutwa,Mbatia na hasa yule wa Tadea nani cjui...........
 
tusiwe tunadanganyana hapa CHADEMA inapata umaarufu kwa sababu ya Dr. Slaa na si Mbowe
huyu Mbowe alishakuwepo huko nyuma na akagombea na Uraisi hakuwa na msisimko wowote.
wewe fikiria CDM bila Dr Slaa - ndiyo itakuwa mwisho wake!

better kulinganisha JK na Dr. Slaa kidogo itaeleweka na si vinginevyo
otherwise JK is better

Naomba kutofautiana na wewe, ni kweli Dr Slaa amekiinua chama, lakini kama mwenyekiti wake asingekuwa makini na kuhofu labda Dr Slaa atamfunika angemnyima nafasi kama vile JK anavyofanya kwa mawaziri wachapakazi ambao anafikiri watamfunika na kupata umaarufu kuliko yeye, Mh Mbowe ni Mwenyekiti Makini na anaongoza Chama Vyema na ndio maana ametumia werevu wa watu wake kujenga chama, ameruhusu Katibu wa chama kutenda yale yatakayokijenga chama, ameruhusu wabunge kuikosoa serikali, na kizuri zaidi amejenga kujiamini kwa viongozi wote wa chadema angalia hata madiwani, wanajiamini na kufanya kazi ya kuleta maendeleo, mfano huko mbeya umemsikia Diwani pamoja na kupigwa vita na DC yeye kasimamia ukweli na uwazi.

Na hapa tunawafananisha Wenyeviti wa Vyama na Sio makatibu, kama unataka hivyo anzisha Kati ya Dr Phd Slaa na Ndugu Makamba nani Katibu wa Kweli wa Chama.

nawasilisha.
 
Udhaifu wa JK ni upi? Mnakumbuka ujambazi na unyang'anyi wa kutumia silaha ulivyokuwa umetamalaki wakati Ben anatoka na JK anaingia madarakani? Mabenki, makampuni na watu majumbani walikuwa wanavamiwa mchana kweupee. Mnakosea kutokumbuka hata jema moja la JK.
 
tukiachana na uraisi wa kikwete na biashara binafsi za mbowe. Ni nani kati ya hawa wawili ni mwenyekiti bora katika chama chake?

vigezo vya kuzingatia;

  • utawala bora
  • uadilifu
  • uwajibikaji
  • ubunifu
  • juhudi binafsi za kuendeleza chama
  • uzalendo. wana jamii forum toeni maoni yenu kwa kuzingatia vigezo hivyo ili kwa pamoja tufahamu ni nani mwenyekiti bora wa chama chake.

Huwezi kufananisha Chama chenye umri wa miaka 10 na ushee na chama chenye zaidi ya miaka 50 . Na ukizingatia kuwa chama chenye umri mrefu ni kikubwa na kinaongoza nchi , wakati hiki kingine ni under dog na kinajikongoja na kichanga.
 
hapa genius we noma,unajua nini?cdm ni ya hatari,imekua miaka kiduchu inatishia wazembe! Ivi ccm ingekuwa ivo si bongo ingekuwa maskini wa mwisho ni yule anayepata unemployment allowance/benefit. Lakni kwa bongo matapeli na mafisadi ndo wamekula hii kitu mpaka watz wanakufa njaa. Huu ni utahira kuiacha nchi inakufa njaa wakati mafisadi wanakula nchi! Kweli chadema ni chama makini! Au unasemaje Genius?
 
Uongozi unapimwa kwa outcomes, kama production inazidi kupungua kwenye kampuni yako wewe si kiongozi bora, kama

CCM ameporomoka toka 80% - 60% ya kura, wabunge toka 300 - 250, ruzuku toka 1.2bil - 800mil

wakati CDM imetoka 5% - 29% ya kura, wabunge 11 - 50 na ruzuku mil.60 - mil.200

yupi unadhani ni kiongozi bora.

Tena hata hiyo 60% ni ya wizi!
 
I like Kikwete personality but he is not talented at all. He is not a strong leader, He is not smart enough and he is not serious leader. Kikwete is a cham leader a person you can drink a beer with.
nimeipenda hii mkuu!
 
Msikurupuke kujibu hoja ambazo hamziwezi na anaeanzisha hoja kama hizi aache kwani kuna vitu vya msingi vya kuzungumzia kuhusu Kikwete na Mbowe waulize watanzania aligaragazwa mtu hadi akaahirisha kugombea kwa kuona hawezi kumshinda kaja kikongwe nae chini anavunga eti wamenichakachua amesahau alivyochakachua amri za kanisa katoliki pia haoni bado anachakachua mke wa mtu. kuhusu kikwete huwezi kumlinganisha na Mbowe amekalia kuletaama club ili avunje maadili ya kaka na dada zetu, ili yeye na familia yake wapate pesa za kununulia sembe na mchicha sio mbunifu aangalie biashara nyingine za kufanya hatuwezi kumpa nchi mtu muhuni asie na busara , fikra , uono na moyo wa huruma huyu ni kama kirusi cha ukimwi afai kuigwa wala kuwepo ktk jamii
 
- Uongozi wa chama vya siasa katika taifa lolote unapimwa na ushindi wa chama kutawala taifa, maana yake ndio chama kinachokubalika na wananchi so Mwenyekiti wake hana mshindani katika lile taifa! So!

William @ New York City, USA.
 
Kiutendaji Mbowe ni mtekelezaji na mahiri kwenye kujenga hoja nzito ambazo huwa zinatekelezwa, ila jeikei ni stori teller tu kwani kwenye utekelezaji wa ahadi zake ni mzito,hamalizi hata akipewa miaka 15.

Angalia kichama, mbowe amekimudu kukiweka sawa kama mwenyekiti; wakati jeikei hajui afanyeje kuhusu malumbano ya wao kwa wao ccm kwakuwa na yeye ni chanzo cha tatizo. Aisee kuna mengi jeikei kagaragazwa na mbowe.

Kwaio kpa ya mbowe ipo juu kwa 50% ukilinganisha na ya jeikei.
 
Kha! nimeshtushwa na heading, nilidhani wamezichapa ulingoni nikafungua nikute video clip, maana mmoja ni mjeda h'fu mwingine baunsa, hapo sijui ingekuwaje! napita hapa jamani sirudi...naenda kuleeee kwenye matani ndio home kwetu.
 
Udhaifu wa JK ni upi? Mnakumbuka ujambazi na unyang'anyi wa kutumia silaha ulivyokuwa umetamalaki wakati Ben anatoka na JK anaingia madarakani? Mabenki, makampuni na watu majumbani walikuwa wanavamiwa mchana kweupee. Mnakosea kutokumbuka hata jema moja la JK.

huo ujambazi aliodhibiti ni ule wa kuua wafanyabiashara wa kule morogoro au?wale waliouliwa na kuporwa hela na wakina zombe halafu tukaendeshewa kesi feki kwa takribani miaka miwili!!!mijambazi imejaa tele nchi,kwa ufupi hakuna rais aliyeweza kuwadhibiti majambazi...
 
Back
Top Bottom