MBOWE Vs KIKWETE

Mar 18, 2011
63
12
tukiachana na uraisi wa kikwete na biashara binafsi za mbowe. Ni nani kati ya hawa wawili ni mwenyekiti bora katika chama chake?

vigezo vya kuzingatia;

  • utawala bora
  • uadilifu
  • uwajibikaji
  • ubunifu
  • juhudi binafsi za kuendeleza chama
  • uzalendo. wana jamii forum toeni maoni yenu kwa kuzingatia vigezo hivyo ili kwa pamoja tufahamu ni nani mwenyekiti bora wa chama chake.
 
Mh! Ya leo kali!!
 
Mkuu mbona kama unafananisha kifo na usingizi au mbio za farasi na kinyonga au tope na gundi?
 
Ktika suala la kuendeleza chama mbowe is mch btter coz snce his leadership CDM does wll & grows better..
 
I like Kikwete personality but he is not talented at all. He is not a strong leader, He is not smart enough and he is not serious leader. Kikwete is a cham leader a person you can drink a beer with.
 
tukiachana na uraisi wa kikwete na biashara binafsi za mbowe. Ni nani kati ya hawa wawili ni mwenyekiti bora katika chama chake?

vigezo vya kuzingatia;

  • utawala bora
  • uadilifu
  • uwajibikaji
  • ubunifu
  • juhudi binafsi za kuendeleza chama
  • uzalendo. wana jamii forum toeni maoni yenu kwa kuzingatia vigezo hivyo ili kwa pamoja tufahamu ni nani mwenyekiti bora wa chama chake.
Kikwete is of no match to Mbowe as he has totally failed to immobilize CCM members under his leadership and instead, within five years of his leadership as the CCM Party Chairman the party has totally disintegrated and is now doomed to die anytime from now.
In contrast, under Mbowe's leadership CHADEMA became famous as it is today and succeeded in immobilizing many Tanzanians behind the party.
In fact Kikwete has not only failed his party but the whole government in general as under his leadership religious, tribal and nepotistic divisions have tremendously mushroomed. Mbowe deserves a medal for his good work for CHADEMA as within five years of his leadership CHADEMA has become a great threat to CCM that once boasted to rule this nation for the next fifty or so years. With Mbowe at the sterling wheel, CCM is doomed to die within five years from now.
Bravo Mbowe, Bravo CHADEMA.
 
I like Kikwete personality but he is not talented at all. He is not a strong leader, He is not smart enough and he is not serious leader. Kikwete is a cham leader a person you can drink a beer with.

you like him onyl because u can drink beer with.....hahahahahah
 
tukiachana na uraisi wa kikwete na biashara binafsi za mbowe. Ni nani kati ya hawa wawili ni mwenyekiti bora katika chama chake?

vigezo vya kuzingatia;

  • utawala bora
  • uadilifu
  • uwajibikaji
  • ubunifu
  • juhudi binafsi za kuendeleza chama
  • uzalendo. wana jamii forum toeni maoni yenu kwa kuzingatia vigezo hivyo ili kwa pamoja tufahamu ni nani mwenyekiti bora wa chama chake.

NAJIBU KWA ASILIMIA NA KUONYESHA MAONI

KIGEZO
MH. KIKWETE (1)
MH. MBOWE (2)
MAONI
  • utawala bora
50%
70%
  1. UFISADI BADO UNAENDELEA
  2. MAMLUKI WAPO
  • uwajibikaji

50%
80%
  1. DOWANS HAISHUGHULIKIWI
  • ubunifu

100%
100%
  1. KILA MTU MSEMAJI
  2. NGUVU YA UMMA
  • juhudi binafsi za kuendeleza chama

100%
100%
  1. WATU WACHACHE WATOE DIRA
  2. NGUVU YA UMMA IAMUE
  • uzalendo.

100%
100%
  1. KAPITIA JKT
  2. KAPITIA JKT
  • uadilifu
100%
100%
  1. ANARUHUSU KUSIKILIZA WAONGO
  2. ANARUHUSU UMMA USEME
 
Utawala bora:
Kikwete 10% kwa kuvumilia siasa za wengine lakini ni fisadi na ushahidi pesa za EPA, Dowans, safari za nje zisizo na tija na kutumia mali ya uma kwa shughuli za familia mfano. mkewe kutumia ndege ya serikali.

Mbowe 80% kwa kuongza chama chake vizuri na kutatua migogoro ndani ya chama mpaka chama kukua na kuongeza wabunge, mabaya ni kibinadamu.

Uadilifu:
Kikwete asilimia 50%, mbowe 55% wote karibu wanafanana.
Uwajibikaji:
kikwete 20%, mbowe 78% kwa kipindi cha miaka 10 uwajibikaji umezaa matunda lakini kumekuwepo na udhaifu mkubwa kwenye CCM na serikali yake chini ya kiwete
Ubunifu:
Mbowe 90% , Kikwete 0% hajui hata kwa nini sisi masikini na kakiri kwamba hana suluhisho katika hilo twenende tu hajui aipeleke wapi nchi hii,
Juhudi binafsi:
mbowe 90%, Wenyewe mashahidi; kikwete 10% chama kinabobomoka
Uzalendo:
Kikwete 10% hana hata tone la uzalendo kwake ingekuwa heri aishi Marekani kuliko Tanzania; Mbowe 90% ana uchungu na nci yake na siku zote amekuwa mstari wa mbele kupigania uhuru, haki na maendeleo ya nchi yake
:lol:
 
NAJIBU KWA ASILIMIA NA KUONYESHA MAONI

KIGEZO
MH. KIKWETE (1)
MH. MBOWE (2)

MAONI
  • utawala bora
50%

70%
  1. UFISADI BADO UNAENDELEA
  2. MAMLUKI WAPO
  • uwajibikaji
50%

80%
  1. DOWANS HAISHUGHULIKIWI
  • ubunifu
100%

100%
  1. KILA MTU MSEMAJI
  2. NGUVU YA UMMA
  • juhudi binafsi za kuendeleza chama
100%

100%
  1. WATU WACHACHE WATOE DIRA
  2. NGUVU YA UMMA IAMUE
  • uzalendo.
100%

100%
  1. KAPITIA JKT
  2. KAPITIA JKT
  • uadilifu
100%

100%
  1. ANARUHUSU KUSIKILIZA WAONGO
  2. ANARUHUSU UMMA USEME

assesment yako na wewe mwenyewe ni 0% jinga
 
Uongozi unapimwa kwa outcomes, kama production inazidi kupungua kwenye kampuni yako wewe si kiongozi bora, kama

CCM ameporomoka toka 80% - 60% ya kura, wabunge toka 300 - 250, ruzuku toka 1.2bil - 800mil

wakati CDM imetoka 5% - 29% ya kura, wabunge 11 - 50 na ruzuku mil.60 - mil.200

yupi unadhani ni kiongozi bora.
 
Utawala bora:
Kikwete 10% kwa kuvumilia siasa za wengine lakini ni fisadi na ushahidi pesa za EPA, Dowans, safari za nje zisizo na tija na kutumia mali ya uma kwa shughuli za familia mfano. mkewe kutumia ndege ya serikali.

Mbowe 80% kwa kuongza chama chake vizuri na kutatua migogoro ndani ya chama mpaka chama kukua na kuongeza wabunge, mabaya ni kibinadamu.

Uadilifu:
Kikwete asilimia 50%, mbowe 55% wote karibu wanafanana.
Uwajibikaji:
kikwete 20%, mbowe 78% kwa kipindi cha miaka 10 uwajibikaji umezaa matunda lakini kumekuwepo na udhaifu mkubwa kwenye CCM na serikali yake chini ya kiwete
Ubunifu:
Mbowe 90% , Kikwete 0% hajui hata kwa nini sisi masikini na kakiri kwamba hana suluhisho katika hilo twenende tu hajui aipeleke wapi nchi hii,
Juhudi binafsi:
mbowe 90%, Wenyewe mashahidi; kikwete 10% chama kinabobomoka
Uzalendo:
Kikwete 10% hana hata tone la uzalendo kwake ingekuwa heri aishi Marekani kuliko Tanzania; Mbowe 90% ana uchungu na nci yake na siku zote amekuwa mstari wa mbele kupigania uhuru, haki na maendeleo ya nchi yake
:lol:

nani amefanya huu utafiti????????
 
I like Kikwete personality but he is not talented at all. He is not a strong leader, He is not smart enough and he is not serious leader. Kikwete is a cham leader a person you can drink a beer with.

So nimeanza kujua kwamba alipata kura za watu wa aina gani!
 
I like Kikwete personality but he is not talented at all. He is not a strong leader, He is not smart enough and he is not serious leader. Kikwete is a cham leader a person you can drink a beer with.
Kama wewe ambaye naku regard angalau umesoma kidogo unawaza haya vipi wanaoshinda kutwa nzima wakipalilia magimbi, nimeanza kuamini safari bado ni ndefu tutamzeesha bure Dr. wa ukweli.
 
So nimeanza kujua kwamba alipata kura za watu wa aina gani!

Mimi ndio nimeishiwa nguvu kabisa, naona ni bora nihamie thread nyingine, huyu anatutafutia ban tu, hayo maneno yake hayapaswi kutolewa na mwanamume rijari.
 
kubali ukatae mwenyekiti mwenye mafanikio ni mh. Mbowe.amefanya kazi inayoonekana. chamamkakinyanyua amekuwa na moyo wa kujitolea sana kiasi kwamba yupo radhi kutoa hata rasilimali zake nyumbani ilimradi tuu anaijenga CHADEMA ili ituletee heshima watanzania. mbowe angeweza kusema akafanye biashara zake na kuishi hata marekani lakini anaamua kuumia na sisi ilimradi ahakikishe sisi wa tz, tunajengewa heshima. kkiwete ni mwenyekiti dhaifu na sii vizuri tumlinganishe na mtu makini kama mbowe anaetokana na jopo makini kama dr. sla lisu mnyika zito mdee baregu na wengine kama hao. ni aibu kwa kiongozi kudai hajui shida za anaowaongoza halafu tuseme ni makini. kikwete anaweza kulinganishwa na DOVUTWA na sii kiongozi mwingine yeyote wa vyama vya siasa. naomba kuchangia
 
Back
Top Bottom