Mbowe utakizika chama

Kusema hakuna kabisa sio kweli pia.
Kilichokosekana ni usawa katika ushindani.
Uswa ukiwepo na haki itendeke Lisu anashinda saa4 asubuhi
Viazi mmeshaanza kupingana!.
 
Kuna wakurupukaji wengi sana huku ndio tatizo.
 
Kusema hakuna kabisa sio kweli pia.
Kilichokosekana ni usawa katika ushindani.
Uswa ukiwepo na haki itendeke Lisu anashinda saa4 asubuhi
Natambua vyema CCM na vyombo vya dola wamefunga ndoa.Siwezi kupoteza kura yangu kuipa CCM.
Shida yangu n hivi vyama vya upinzani vimeshindwa kujitofautisha na CCM havina usafi wowote,ubabe ubabe na ujinga unaofanyika CCM ndo huo upo hta kwenye vyama vyetu
 
Nyie huko kwenu mungu ndo kila kitu mnamuabudu mchana na usiku
Vichwa maji hamjui kitu, yani nyie hamtaki taratibu zifuatwe mnachotaka nyie ndio lazima kiwe, acheni ushamba.

Kama mimi namtaka Mbowe ndio "mungu" na nyie Lissu ndio "mungu" wenu sio asishindanishwe?!

Tumieni akili msikurupuke.
 
Jamaa kakwambia weka mikakati unayoona Mbowe akiufuta itasaidia sio unahamisha magoli kama huna cha hoja kausha povu lako
 
Umeongea kweli.
Cdm ina tofauti gani na ccm au act wazalendo?
Hakuna taasisi bali kikundi flani cha kuhalalisha maamuzi
Povu zanini ? kwanini usianzishe chama chako ili vyama vingine viige mfano kwako
 
Kweli ujinga mzigo magufuli anakubalika miaka yote anafanya siasa peke yake wenzie hata kwenye chaguzi zao hataki anawaletea bunduki kisha nyie waabudu sanamu mnasema anakubalika wapi ikiwa hata chama anachokitawala hataki mtu mwingine achukue fomu ujinga huu ambianeni huko kwenye corridor zenu
 
Ahaa kumbe wewe ni mchaga.Kwa hiyo unamsupport mbowe kwa kuwa ni mchaga,akili zako hazikutoshi kumbe,kama hutaki mbowe asigombee anzisha chama chako.
 
Demokrasia ina mipaka yake kwa maslahi mapana ya Nchi yeyote ile

Maslahi mapana ya nchi yanapangwa kwa utashi wa ccm? Huwa tukiwaambia kuwa hamshindi uchaguzi kwa box la kura mnatoka mishipa. Sasa umeonyesha wazi kuwa huwa mnatangazwa washindi bila ridhaa ya umma, kwa kisingizio cha maslahi mapana ya nchi.
 
Mkuu Ccm haiitaji polisi wala tume acheni kujidanganya
Ccm inapendwa sana na tena Magufuli ameongezea hamasa ya Ccm kupendwa
Maslahi mapana ya nchi yanapangwa kwa utashi wa ccm? Huwa tukiwaambia kuwa hamshindi uchaguzi kwa box la kura mnatoka mishipa. Sasa umeonyesha wazi kuwa huwa mnatangazwa washindi bila ridhaa ya umma, kwa kisingizio cha maslahi mapana ya nchi.
 

Kunywa kinywaji chochote kwa gharama yangu, bill niPM. Ukweli ni kuwa Lissu kwa sasa ndio anaweza kubeba matakwa yetu, ana uwezo wa kuhamisha kuhusu tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, na akaeleweka. Hao wengine ni sawa, ila sio kwa nafasi ya urais. Tuko radhi atolewe kugombea kwa mbinu chafu, lakini sio kubeba wagombea dhaifu. 2015 hatukuwa na mgombea, bali mchezaji wa mkopo, hata hii 2020 tukikosa mgombea kwa hujuma hatutajali. Tunamtaka Lissu fullstop.
 
Wazee wa system ndio wanatuchagulia rais? Mbowe hatoshi kuwa rais wetu. Sisi wapiga kura wengi wa upinzani tunamtaka Lissu. Hao system wakampe kura Mbowe.
Kwanini mnataka Tundu asishindanishwe?
 
Mkuu Ccm haiitaji polisi wala tume acheni kujidanganya
Ccm inapendwa sana na tena Magufuli ameongezea hamasa ya Ccm kupendwa

Madictator wote huondoa sauti kinzani kisha hufanya propaganda mfu ili kuhadaa umma kuwa wanakubalika. Huwa wanahakikisha vyombo vya habari haviwi huru, na vyama vyote vya upinzani vyenye nguvu, huhujumiwa wazi wazi na kwa kificho, ili kuaminisha umma kuwa wanakubalika. Haya yanayoendelea tunayaona, na uzuri wananchi wameshaamka, ila wako kimya kwa ajili ya kuhofia usalama wao, na kuepuka kuhujumiwa kwenye shughuli zao.

Narudia tena kwako na kwa wenzako, kizazi hiki sio cha ccm bali ni kizazi tofauti kabisa, hiyo kubaka box la kura kwa kutumia vyombo vya dola na tume ya uchaguzi, haiwezi kutufanya tusijue kuwa mko madarakani bila ridhaa halali ya umma.
 
Hii ni dhana yako tu nenda field upate uhalisia
Watanzania wengi wanaipenda Ccm
 
Hakuna anayekataa Lisu kushindanishwa maana ndio demokrasia, ila yule asiyestahili tunamuambia wazi wazi kuwa hastahili.
Mnapenda sana kujidanganya na hicho kikundi chenu cha wajuaji, mna ushabiki fulani wa kitoto hivi, bahati mbaya mambo huwa hayaendi hivyo, siku zote taratibu lazima zifuatwe, sijui mnatetemeka nini mpaka mnaleta habari za uchaga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…