Mbowe utakizika chama

binafsi siamini kama mbowe ana nia ya dhati ya kugonbea nafasi ya urais
nachokiona ni kiini macho
ili kujiepushia manung`ununiko na shutuma za kupanga matokeo pindi wagombea wengine
majina yao yakikatwa
kwani na yeye atakua mmoja wao ambae jina lake litakua limekatwa
hapo atukua amejiepushia lawama za kupanga matokeo
bila shaka hapo alielengwa kua mgombea ni mheshimiwa lisu
na hapo mheshimiwa mbowe
atajijengea heshima ya kisiasa kwa kufuata demokrasia
pindi jina lake lisipo pitishwa
na kukubaliana na na matokeo
bila shaka amechoka lawama na shutuma za kupanga matokeo
na sasa amechagua mbinu sahihi ya yeye mwenyewe kuingia kwenye kinyang'anyiro na jina lake kua miongoni mwa ambayo hayajapitishwa
ambayo itamjengea heshima ya kisiasa
 
Hiki chama nasemaga kina shida sana ndani kwa ndani,ila wafuasi wake wanaitupia lawama serikali siku zote kama jambo likienda vibaya.
We used to be there.Kuna CDM ya chumbani,jikoni na sebuleni.Vijana wafia vyama shauri yenu.
 
Leo umekula maharage ya wapi?
 
Mbowe kugombea uwenyekiti safari hii ilikuwa ni kosa kubwa sana, hali kadharika kurudia makosa kugombea Urais huku ni kukosa hekima na maono kama kiongozi, huenda taarifa za kuhujumu chama zikawa ni za kweli.
 
Kwa uchaguzi huu wa 2020 mgombea mwenye mvuto kwa wapiga kura wengi ni TL.
CCM wenyewe wanamuogopa Lissu zaidi ya wanavyomwogopa Mbowe.

Tuweni wakweli karata turufu ya ushindi 2020 ni TL, akipitishwa mwingine Magu atapita asubuhi sana.

Mark my words.
 
Mbowe kugombea sio mbaya,,ila timing imekua mbaya,,kufuatia tukio la kuvunjika mguu na kashifa inayoenda na tukio,iwe kweli au sio kweli,hilo tukio limemharibia,
Never, never, never! Mazingira haya ya Tanzania hakuna anayeweza kuamini story hizo!
 
Sijui Mbowe haoni aibu?
Cdm imedhoofu ameshindwa vita, asisingizie watu kuhongwa pekee naye amekosa mbinu za kimkakati.
Aachie kugombea abaki kuwa mdhauri hilo linamfaa
Kwamba yeye kama mwwnyekiti hajui vigezo vinavyohitajika kuwa mgombea wa urais?
Kumbukumbu zangu zinaniambia lazima mgombea awe na shahada je mheshimiwa Mbowe anayo hyo digrii?
Achilia mbali hujuma na mbinu chafu za CCM,kwa mtazamo wangu wapinzani hajujajipanga kuongoza nchi.
Lakini sio mbaya wajukuu zetu watakuja kuiong'oa CCM huko mbeleni sio leo wala kesho.
 
Usalama wa Taifa anaeharibiwa mali zake kila siku na kuwekwa ndani na serikali iliyomuajiri!

Jifunzeni kufikiria kidogo.
Yanaweza kuwa maigizo pia. Hizo kazi za watu mkuu na wanazisomea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…