Mbowe umewaangusha watanzania

Mbowe umewaangusha watanzania

Mbaya zaidi vijana wa bavicha badala ya kumsaidia mawazo mapya, wamekalia matusi na vijembe
 
Aachie ngazi aone wenzie watampa mwelekeo wa nini cha kufanya. Yeye siasa zake zimeishia hapo
 
Nimeona nukuu ya Mwenyekiti wa Chadema,Taifa Freeman Mbowe,ambaye chama chake ndiyo chama kikuu cha Upinzani nchini,katika nukuu hiyo Mbowe analalamika kuwa 2017 wapinzani wamebanwa na hawajui wafanye nini?

Kauli hiyo ni ya kukata tamaa na kuonyesha kuwa kama mwenyekiti amefikia mwisho wa mikakati ya kupambana na chama dola

Kwamba sasa kitakachowasaidia ni kama CCM itaamua hisani yoyote ya uwepo wa upinzani nchini ndiyo Chadema na vyama vingine vinaweza kutimiza wajibu huo wa kikatiba

Naamini hili ni kosa la kiufundi kwa Mbowe na Chama chake warudi chini waje na njia mbdala

Wana wanachama,wafuasi na mashabiki wanaosubiri maelekezo yao kuwaambia hamjui mfanye nini ni sawa na kuwatukana

Uongozi ni kuonesha njia
Waje na njia kama.....?
 
Mbowe kabanwa wapii? aseme alipobanwa? nawaonea huruma sana wanaofanya siasa za Tanzania as a real game....siku mkija kumjua mbowe mtaelewa siasa siyo real game kwa nchi za Africa na duniani kote
Mbona kataja?
 
Mbowe ni tapeli tu siku wakimgundua watakimbiza kwa bakora
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom