Mbowe umewaangusha watanzania

Mbowe umewaangusha watanzania

mkalamo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Posts
343
Reaction score
359
Nimeona nukuu ya Mwenyekiti wa Chadema,Taifa Freeman Mbowe,ambaye chama chake ndiyo chama kikuu cha Upinzani nchini,katika nukuu hiyo Mbowe analalamika kuwa 2017 wapinzani wamebanwa na hawajui wafanye nini?

Kauli hiyo ni ya kukata tamaa na kuonyesha kuwa kama mwenyekiti amefikia mwisho wa mikakati ya kupambana na chama dola

Kwamba sasa kitakachowasaidia ni kama CCM itaamua hisani yoyote ya uwepo wa upinzani nchini ndiyo Chadema na vyama vingine vinaweza kutimiza wajibu huo wa kikatiba

Naamini hili ni kosa la kiufundi kwa Mbowe na Chama chake warudi chini waje na njia mbdala

Wana wanachama,wafuasi na mashabiki wanaosubiri maelekezo yao kuwaambia hamjui mfanye nini ni sawa na kuwatukana

Uongozi ni kuonesha njia
 
Attachments

  • IMG-20171231-WA0145.jpg
    IMG-20171231-WA0145.jpg
    59.4 KB · Views: 59
Si walikua wanasema Kikwete ni Rais dhaifu ?

Pamoja na mapungufu yake...moja ya archivement kubwa ya utawala wa kikwete ni kustawisha Democracy...

Yeye kustawisha Democracy hakumtolei sifa yake ya udhaifu..

Hoja yako ni mufilisi at the core!

Nimeona nukuu ya Mwenyekiti wa Chadema,Taifa Freeman Mbowe,ambaye chama chake ndiyo chama kikuu cha Upinzani nchini,katika nukuu hiyo Mbowe analalamika kuwa 2017 wapinzani wamebanwa na hawajui wafanye nini?

Kauli hiyo ni ya kukata tamaa na kuonyesha kuwa kama mwenyekiti amefikia mwisho wa mikakati ya kupambana na chama dola

Kwamba sasa kitakachowasaidia ni kama CCM itaamua hisani yoyote ya uwepo wa upinzani nchini ndiyo Chadema na vyama vingine vinaweza kutimiza wajibu huo wa kikatiba

Naamini hili ni kosa la kiufundi kwa Mbowe na Chama chake warudi chini waje na njia mbdala

Wana wanachama,wafuasi na mashabiki wanaosubiri maelekezo yao kuwaambia hamjui mfanye nini ni sawa na kuwatukana

Uongozi ni kuonesha njia
mkulu kakupega vyose vivi
1/pesa tukulipe
2/chakula tukupe
3/maji unywe
4/ulinzi upewe
5/usafiri upewe
6/toothstick utumie
7/vyoo vyetu utumie
then utangaze upinzani ameshinda utakuwa huna#akili wewe
 
Mbaya zaidi vyuma vimemkaza hadi adanganya kuwa maisha magumu kupita wakati wowote.. eeeeeeh.. hata wakati wa watu kupanga foleni za kununua bidhaa unapewa 1 tu.. na zinaisha mnasubiri siku ingine.. tena jijini Dar.. enzi hizo lazima alikuwa sijui dunia gani..

Maisha alizoea ya mkato mkato.. kukwepa kodi.. azoeee tu kama wananchi sie tunavyozoea na bei kupanda ya vingine

JPM alisema watamuelewa tu.. na kweli tunaona ukweli wa watu wengi na haswa viongozi waliokuwa hawafai kwenye nafasi zao haswa kwa siasa hao wa upinzani kama Mbowe.
 
Unamwacha kumsema anae waangusha watanzania unamsema Mbowe?
 
Pamoja na mapungufu yake...moja ya archivement kubwa ya utawala wa kikwete ni kustawisha Democracy...

Yeye kustawisha Democracy hakumtolei sifa yake ya udhaifu..

Hoja yako ni mufilisi at the core!

Kikwete aliitwa dhaifu kwa kuwa

1) Aliruhusu Bunge kusimamia Serikal kwa kuikosoa kwa uwazi bila vitisho
2) Vyombo vya habari kukosoa kadri ipendavyo
3) Watumishi walikuwa wakituhumiwa vinaachwa Vyombo vya Sheria kufuatilia na kuamua badala ya kutumbuliwa n.k

Kama aliitwa dhaifu kwa Wizi na uzembe kwny Utawala hata Mkapa na Mwinyi ilikuwa hivi hivi Mbona hawakuitwa dhaifu Mbona Magu haitwi dhaifu!

Kina Mnyika walivimbiwa na Demokrasia wakajua ni Matokeo ya kuogopwa kwao Kumbe ni dhamira ya Muungwana Yule
 
Hamjamjua Mbowe, ni mjanja sana. Anawapindishia target msielewe plans zake. Stay tuned
 
Mbowe ni mmoja wa malaika walioanza kuishi kishetani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom