Mbowe tusaidie ukarabati wa ofisi

Mbowe tusaidie ukarabati wa ofisi

Ofisi siyo upinzani, Tambua kuwa upinzani upo rohoni mioyoni mwa watu, kwanza ilitakiwa kuanzia 1991 baada ya kutangazwa mfumo wa vyama vingi ofisi zote za CCM zigawanywe kwa vyama vyote kwa usawa lakini cha ajabu CCM wakapora nyumba za umma kwa njia haramu mpaka leo wamejimilikisha kinyume cha Sheria,
Hoja ya kipumbavu Sana hii kwani wewe wakati unamuomba baba ako ujitegemee kwenye mji wako ulimuomba mugawane Mali kisa umeamua kujitegemea au Zitto kabwe alivyoamua kuanzisha chama chake ulisikia Amedai hata Senti tano kutoka kwa Chadema au ameomba apewe japo chumba kimoja na Chadema,
Wewe mwambie Mwenyekiti wako akarabati hiyo ofisi yaishe acha kutumia hoja mfu kumkumbatia mwenyekiti
 
Ofisi siyo upinzani, Tambua kuwa upinzani upo rohoni mioyoni mwa watu, kwanza ilitakiwa kuanzia 1991 baada ya kutangazwa mfumo wa vyama vingi ofisi zote za CCM zigawanywe kwa vyama vyote kwa usawa lakini cha ajabu CCM wakapora nyumba za umma kwa njia haramu mpaka leo wamejimilikisha kinyume cha Sheria,
mikakati itafanyikia wapi? ile hoja ya chadema ni taasisi haina mashiko tena?mnafanyia majumbani mikakati ya chama...ni mali ya familia?
 
Kwenye taarifa ya matumizi ya ruzuku alioiandaa MBOWE MUGABE inaonyesha hicho kibanda kimekatiwa BIMA ya moto!
 
hata ya makao makuu nayo haina tofauti sana na hii
 
Mnatafuta office tulizohama nyinyi mnaita za chadema hamna hoja sisi haturuhusiwi kufanya siasa mnafanya nyinyi peke yenu kiwewe chanini?
 
Makahaba ya Lumumba huwa hamjui mnataka nini kwa Mh, Mbowe, awasaidie lipi sasa kuachia uenyekiti wa CHADEMA taifa, au awajengee ofisi?!
MaCCM wote ni MAPUMBAVU kabisa kabisa.
 
CCM Investment Advisers is a privately owned investment counseling firm located in Columbia, SC, which provides asset management services for individuals, corporations, municipalities and institutions. CCM’s only business is the active management of investment portfolios. Our clients include endowments, foundations, pension and profit sharing plans, insurance companies, trusts and individuals. CCM has over $800 million in discretionary client assets under management.
 
Back
Top Bottom