IkuluKwetu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 535
- 394
Mbowe amekuwa dhaifu mno, kama uongozi wa chama umemshinda aachie damu changa akina Mnyika. Kiongozi wa chama cha upinzani hatakiwi kuwa anakubali kila dhuluma anayofanyiwa na chama tawala na polisisiemu na kuishia kutoa matamko yasiyo na tija.
Itisha maandamano Mbowe, Lijualikali amekataliwa kupiga kura, huku Dar wabunge wanadhalilishwa wewe unaleta matamko yasiyo na tija. Hakuna hata tamko moja limeleta faida. If you cant beat them join them achia chama watu wa kazi
Makada tuwe waungwana japo kwa muda mfupi. Kikwete alikuwa mwepesi sana wa kuzungumza pindi ishu kama hizi zinapojitokeza. Tukamuona punguwani na dhaifu. Sasa tunaanza kulia ia ili rais aingilie. Sasa ujinga tufanye sisi tumlaumu Rais wetu? Kwa lipi?
Ili muvune msikopanda kama znz. Mchimba shimo ataingia mwenyeweEti anasema amechoka, si ajiuzuru sasa.
Kuna wimbo Mmoja aliwahi kuimba Jaydee "kila upande mnafiki, siku zinaeeeeeeeenda, mnakula Kunywa Na kuvaaa siku zinaeeeenda!"Unakosea sana kumlaumu Mbowe. Yeye alishauza chama na kuchukua chake. Mlaumuni Lowassa.
Amekumbatia TAMISEMI ya nini?Binafsi sioni haja Ya JPM kuanza kuongea na vitoto. Mwacheni Afanye kazi aliyoomba upuuzi mwingine kama huu autupilie mbali.
Yeye ndio mwenyekiti wa chama Lowassa ni mwanachama wa kawaida ila ana legacy kubwa kwenye siasa za Bongo. Hata mkurupukaji wa magogoni anajua.Unakosea sana kumlaumu Mbowe. Yeye alishauza chama na kuchukua chake. Mlaumuni Lowassa.
Mahumu ni madudu ganiSasa kama Mwenyekiti wetu anaishia kulalamika, sisi mashabiki tutafanyaje? Haya ndo madhara ya chama chetu kuongozwa na mtu ambaye hajapevuka kisiasa. Bora Mwenyekiti awe Lowasa, mzee wa maamuzi mahumu
Tuliwasaidia wengi kusini mwa Africa kujikomboa kutoka manyanyaso hayo. Pata nafasi ya kujisomea historia, itakusaidia utaacha kushabikia matendo yaleyale.Kwa hiyo kama amechoka sisi tufanye nini sasa? Mwambie aende Dubai likizo kupumzika! Halafu pia mwambie awaache Askari wetu wafanye kazi yao, Askari wetu wana uwezo wa kuingia popote pale ndani ya ardhi ya TanZania hivyo hata yeye Mbowe pia ajitayarishe tu siku wakimpigia hodi atoe ushirikiano!
unapayuka.Sasa kama Mwenyekiti wetu anaishia kulalamika, sisi mashabiki tutafanyaje? Haya ndo madhara ya chama chetu kuongozwa na mtu ambaye hajapevuka kisiasa. Bora Mwenyekiti awe Lowasa, mzee wa maamuzi mahumu
Ukiwa CCM akili yote inatoa nani analilia hapo??Makada tuwe waungwana japo kwa muda mfupi. Kikwete alikuwa mwepesi sana wa kuzungumza pindi ishu kama hizi zinapojitokeza. Tukamuona punguwani na dhaifu. Sasa tunaanza kulia ia ili rais aingilie. Sasa ujinga tufanye sisi tumlaumu Rais wetu? Kwa lipi?
Hahahaha bora chama epewe joshua Nassary....Sasa kama Mwenyekiti wetu anaishia kulalamika, sisi mashabiki tutafanyaje? Haya ndo madhara ya chama chetu kuongozwa na mtu ambaye hajapevuka kisiasa. Bora Mwenyekiti awe Lowasa, mzee wa maamuzi mahumu
Aliyepita alikuwa 'dhaifu',huyu wa sasa anawakazia mwanzo mwisho.ila ipo cku mafisi em yatakuja kujutaa mana y? kila cku chama kimomja tu ndo wabunge wake wanafungwa? Mungu wabariki wana ukawaaaaaaaa
Yupo bize anatekeleza sera za UKAWA.Hivi Mh maguli yupo? Au kasafiri nje ya nchi, amesikia au hajasikia?
mtaagani nakupatia mapacha nikukutana na ww kwenye mtaaa lazima ujifungue tena njitiYeye ndio mwenyekiti wa chama Lowassa ni mwanachama wa kawaida ila ana legacy kubwa kwenye siasa za Bongo. Hata mkurupukaji wa magogoni anajua.
Mbowe anatakiwa kuonyesha leadership kwa kuturuhusu wapiga kura tulioikataa CCM kuingia mtaani kuonyesha hisia zetu
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema chama chake kimechoshwa na kukamatwa kwa Wabunge wake kwa hila za kisiasa. Akihojiwa na ITV,Mbowe amesema chama chake kinalaani kukamatwa na kudhalilishwa kwa Wabunge wake.
Mbowe amesema chama chake kinalaani hila zote na kuitaka Serikali itende haki hasa kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar es Salaam. Leo nyumba ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee imekaguliwa na polisi wanaosemwa kuwa walikuwa wakisaka nyaraka.
Mbunge Mdee amedai kuwa Mbunge wa Ukonga,Mwita Mwakwabe amekamatwa na polisi. Pia,Mbunge Lijualikali wa Kilombero amekamatwa na polisi.