Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema chama chake kimechoshwa na kukamatwa kwa Wabunge wake kwa hila za kisiasa. Akihojiwa na ITV,Mbowe amesema chama chake kinalaani kukamatwa na kudhalilishwa kwa Wabunge wake.
Mbowe amesema chama chake kinalaani hila zote na kuitaka Serikali itende haki hasa kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar es Salaam. Leo nyumba ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee imekaguliwa na polisi wanaosemwa kuwa walikuwa wakisaka nyaraka.
Mbunge Mdee amedai kuwa Mbunge wa Ukonga,Mwita Mwakwabe amekamatwa na polisi. Pia,Mbunge Lijualikali wa Kilombero amekamatwa na polisi.
Yupo Arusha,hawezi kusema maana ndiye aliyetoa order.Na pia watasema haimuhusu inamuhusu Mkuu wa Mkoa na MkurugenziHivi Mh maguli yupo? Au kasafiri nje ya nchi, amesikia au hajasikia?
Unaweza ukadhani ni sifa lakini kinachojengwa ni kiovu kupitiliza.Hujui kesho yako.Siasa siyo mwisho wa kila kitu.Kuna maisha nje ya siasa.Kwa hiyo kama amechoka sisi tufanye nini sasa? Mwambie aende Dubai likizo kupumzika! Halafu pia mwambie awaache Askari wetu wafanye kazi yao, Askari wetu wana uwezo wa kuingia popote pale ndani ya ardhi ya TanZania hivyo hata yeye Mbowe pia ajitayarishe tu siku wakimpigia hodi atoe ushirikiano!
Kweli askari wenu...
Kwa hiyo kama amechoka sisi tufanye nini sasa? Mwambie aende Dubai likizo kupumzika! Halafu pia mwambie awaache Askari wetu wafanye kazi yao, Askari wetu wana uwezo wa kuingia
popote pale ndani ya ardhi ya TanZania hi yeye Mbowe pia ajitayarishe tu siku wakimpigia hodi atoe ushirikiano!
Makada tuwe waungwana japo kwa muda mfupi. Kikwete alikuwa mwepesi sana wa kuzungumza pindi ishu kama hizi zinapojitokeza. Tukamuona punguwani na dhaifu. Sasa tunaanza kulia ia ili rais aingilie. Sasa ujinga tufanye sisi tumlaumu Rais wetu? Kwa lipi?Yupo Arusha,hawezi kusema maana ndiye aliyetoa order.Na pia watasema haimuhusu inamuhusu Mkuu wa Mkoa na Mkurugenzi
Wahi dirisha la ulua lumumba.Sasa kama Mwenyekiti wetu anaishia kulalamika, sisi mashabiki tutafanyaje? Haya ndo madhara ya chama chetu kuongozwa na mtu ambaye hajapevuka kisiasa. Bora Mwenyekiti awe Lowasa, mzee wa maamuzi mahumu
anajua na ni baraka,zakeHivi Mh maguli yupo? Au kasafiri nje ya nchi, amesikia au hajasikia?
poor you
Kwa hiyo kama amechoka sisi tufanye nini sasa? Mwambie aende Dubai likizo kupumzika! Halafu pia mwambie awaache Askari wetu wafanye kazi yao, Askari wetu wana uwezo wa kuingia popote pale ndani ya ardhi ya TanZania hivyo hata yeye Mbowe pia ajitayarishe tu siku wakimpigia hodi atoe ushirikiano!
Safari hii hawatafanikiwaccm ni wehu, ni chama kisicho na dira wala maono kipo kipo tuu
Eti anasema amechoka, si ajiuzuru sasa.Sasa kama Mwenyekiti wetu anaishia kulalamika, sisi mashabiki tutafanyaje? Haya ndo madhara ya chama chetu kuongozwa na mtu ambaye hajapevuka kisiasa. Bora Mwenyekiti awe Lowasa, mzee wa maamuzi mahumu
Ushauri wapelekee walokutuma wakuongezee malipo. Huna hojaMakada tuwe waungwana japo kwa muda mfupi. Kikwete alikuwa mwepesi sana wa kuzungumza pindi ishu kama hizi zinapojitokeza. Tukamuona punguwani na dhaifu. Sasa tunaanza kulia ia ili rais aingilie. Sasa ujinga tufanye sisi tumlaumu Rais wetu? Kwa lipi?
Mtammisi Sana Bishoo alopitaHuu ni uhuni wa kisiasa tu na inashangazwa sana pm, vice na preda wote wapo lkn no say...