Mbowe, TLS mko wapi kutoa taarifa za Lissu?

Hivi karibuni Mwenyekiti wa CDM Mh. Mbowe alisema kuwa wananchi tusipokee taarifa kutoka source nyingine yoyote kuhusu afya na mwenendo wa matibabu ya Lissu isipokuwa kutoka kwa wale waliopo Nairobi.

Hali hii ilishangaza wengi kwani kama siku moja hivi kabla ya tamko hilo kulikuwa na press conference iliyofanywa na Katibu Mkuu wa chama hicho Vincent Mashinji, Naibu Mwenyekiti Profesa Abdallah Safari, na Mkurugenzi wa Usalama wa chama hicho ndugu Benson Kigaiya; kwani watu walihoji iwapo taarifa zilizotolewa na viongozi hao hazikuwa sahahi kwa kuwa wao pia hawakuwepo Nairobi wakati huo.

Hata hivyo baada ya tamko hilo la Mbowe, kumekuwa na ukimya sana juu ya maendeleo kiafya ya kiongozi huyo. Hakuna kiongozi yoyote anayeongelea hali yake officially zaidi ya wabunge wanaojirekodi video za malalamiko, na wengine wanaoenda kumtazama ambao wote hurusha habari hizo mitandaoni. Tunajiuliza, Je hii ni njia ambayo CHADEMA wameamua kuitumia kuwasilisha taarifa za za kiongozi huyo? Lissu ni kiongozi watu, hivyo badala ya kuendelea tu kuhamasisha watu kuchangia matibabu yake, basi pia kuwe na taarifa rasmi za chama juu ya maendeleo yake kiafya.

TLS nao maskini, wamemezwa kabisa na CDM. Inashangaza kuona taasisi inayojinasibu kuwa ni non-political, yenye mfumo rasmi wa uongozi inashindwa kutoa taarifa za maendeleo za Rais wake. Najiuliza hivi TLS wamejivua kabisa jukumu la kumtibu Rais wake huyo, au ndo tuseme CDM wamewapoka jukumu hilo ili kuweza ama kujijenga kisiasa au kuficha jambo fulani? Ni bora TLS wakaueleza umma kuwa kwao na CDM ni damu damu so wameamua kutumia communication channels zake kufikisha taarifa hizo kwa jamii badala ya kuendelea kutudanganya eti hawafungamani na upande wowote kisiasa.

MY TAKE

Kuna jambo limejificha hapa, muda si mrefu lazima litajulikana. Uongo na ukweli have never co-existed, maana naona kuna baadhi ya viongozi wa CDM wameanza kuweweseka baada ya afya ya Lissu kuanza kuimarika. Believe me, time will tell.

Mbona Ccm mna wasiwasi hivi? Lissu kaishinda roho ya umauti.
 
Amani iwe nanyi,.ni tkribani cku10 zimepita tangu mh tundu lisu ashambuliwe kwa risasi nyingi na watu mpaka leo hawajulikani wanaitwa watu wasiojulikana. Nimesikitishwa na ukimya wa chama cha wanasheria wa tanganyika yaani tls. Mbona km kunasintofahamu baina ya wanasheria hawa? Inawezekana tls kuna ukada wa ccm na chadema? Rai wenu nusura auwawe lakini ushirikiano wenu ni mdogo ni kama mlipenda na kufurahia yaliomtokea tl.
Wewe ni Member wa TLS? Kama sio chapa lapa, sisi Members tunapata updates za kutosha Juu ya Maendeleo, michango tumechanga hadi Simu zinashindwa kuendelea kupokea Hela, sijui hii spinning unayoifanya hapa ni kwa kutumwa au?
 
Kwani TLS ni chama cha mkobani? Why do they take this matter kwa siri hivyo? Wanaogopa nini? Mbona mengine yote wanakuwa wazi kabisa, na pengine kunakuwa live media coverage ya matukio yao. Kutokuwa member hakumuondolei mtu haki ya kuhoji. Hii ni nchi yetu sote, isiwe kuwa nayo imeingiliwa kisiasa wakawa wanatudanganya hapa kwamba wako huru.
 
Mtahangaika sana: Trust me Makonda ni lazima aingie kwenye net! Na atabinywa hadi amtaje Sizonje na wale wasiojulikana tunawajua wale waliovamia CLouds! waliomteka Roma mkatoliki, waliomuua/kumteka Ben saanane! aliyemtolea Nape bastola. Halafu hawako professional hata kidogo!! CCTV za clouds zipo!! Hatudanganyiki! Ni makonda ni makonda ni makonda!!

Peleka ushahidi wako Polisi bro. It's simple like that!!! Tena Polisi wana shauku kubwa sana ya kuwajua "WASIOJULIKANA", hope siku ukiwapelekea taarifa watawashambulia kama mpira wa kona.
 
Ushahidi ni huo- CCTV camera za clouds zinaonyesha wazi hawa watu. Yule aliyemtolea Nape bastola mbele ya polisi wanamjua! Wale watekaji wa Roma mkatoliki anawajua Makonda.
Polisi anzieni na Makonda pls pls!! Makonda alikuwa na wale walioenda CLOUDS! ushahidi gani tena!!?? Makonda vile vile alikuwa Dodoma wakati Lissu anapigwa risasi. Narudia tena polisi hawana haki ya kumhoji yeyote kama hawatashughulika na Makonda
 
Hivi karibuni Mwenyekiti wa CDM Mh. Mbowe alisema kuwa wananchi tusipokee taarifa kutoka source nyingine yoyote kuhusu afya na mwenendo wa matibabu ya Lissu isipokuwa kutoka kwa wale waliopo Nairobi.

Hali hii ilishangaza wengi kwani kama siku moja hivi kabla ya tamko hilo kulikuwa na press conference iliyofanywa na Katibu Mkuu wa chama hicho Vincent Mashinji, Naibu Mwenyekiti Profesa Abdallah Safari, na Mkurugenzi wa Usalama wa chama hicho ndugu Benson Kigaiya; kwani watu walihoji iwapo taarifa zilizotolewa na viongozi hao hazikuwa sahahi kwa kuwa wao pia hawakuwepo Nairobi wakati huo.

Hata hivyo baada ya tamko hilo la Mbowe, kumekuwa na ukimya sana juu ya maendeleo kiafya ya kiongozi huyo. Hakuna kiongozi yoyote anayeongelea hali yake officially zaidi ya wabunge wanaojirekodi video za malalamiko, na wengine wanaoenda kumtazama ambao wote hurusha habari hizo mitandaoni. Tunajiuliza, Je hii ni njia ambayo CHADEMA wameamua kuitumia kuwasilisha taarifa za kiongozi huyo? Lissu ni kiongozi wa watu, hivyo badala ya kuendelea tu kuhamasisha watu kuchangia matibabu yake, basi pia kuwe na taarifa rasmi za chama juu ya maendeleo yake kiafya.

TLS nao maskini, wamemezwa kabisa na CDM. Inashangaza kuona taasisi inayojinasibu kuwa ni non-political, yenye mfumo rasmi wa uongozi inashindwa kutoa taarifa za maendeleo za Rais wake. Najiuliza hivi TLS wamejivua kabisa jukumu la kumtibu Rais wake huyo, au ndo tuseme CDM wamewapoka jukumu hilo ili kuweza ama kujijenga kisiasa au kuficha jambo fulani? Ni bora TLS wakaueleza umma kuwa wao na CDM ni damu damu so wameamua kutumia communication channels zake kufikisha taarifa hizo kwa jamii badala ya kuendelea kutudanganya eti hawafungamani na upande wowote kisiasa.

MY TAKE

Kuna jambo limejificha hapa, muda si mrefu lazima litajulikana. Uongo na ukweli have never co-existed, maana naona kuna baadhi ya viongozi wa CDM wameanza kuweweseka baada ya afya ya Lissu kuanza kuimarika. Believe me, time will tell.
Ulitaka waseme nini? Nyalandu ameeleza Hali ya mgonjwa mnataka kila siku kuwe na taarifa ili iweje? Ni nini mnapenda kusikia? Zoezi la michango linaendelea ndio habari muhimu kwa sasa. Next....
 
Kwani Nyalandu ndo msemaji wa hizo taasisi bro? Taarifa rasmi lazima zitoke ndani ya taasisi hizo not otherwise. Nyalandu ni umbeya tu ndo umemsumbua na kutaka political popularity. Na taarifa zenyewe anazitolea instagram!!!
 
Hivi karibuni Mwenyekiti wa CDM Mh. Mbowe alisema kuwa wananchi tusipokee taarifa kutoka source nyingine yoyote kuhusu afya na mwenendo wa matibabu ya Lissu isipokuwa kutoka kwa wale waliopo Nairobi.

Hali hii ilishangaza wengi kwani kama siku moja hivi kabla ya tamko hilo kulikuwa na press conference iliyofanywa na Katibu Mkuu wa chama hicho Vincent Mashinji, Naibu Mwenyekiti Profesa Abdallah Safari, na Mkurugenzi wa Usalama wa chama hicho ndugu Benson Kigaiya; kwani watu walihoji iwapo taarifa zilizotolewa na viongozi hao hazikuwa sahahi kwa kuwa wao pia hawakuwepo Nairobi wakati huo.

Hata hivyo baada ya tamko hilo la Mbowe, kumekuwa na ukimya sana juu ya maendeleo kiafya ya kiongozi huyo. Hakuna kiongozi yoyote anayeongelea hali yake officially zaidi ya wabunge wanaojirekodi video za malalamiko, na wengine wanaoenda kumtazama ambao wote hurusha habari hizo mitandaoni. Tunajiuliza, Je hii ni njia ambayo CHADEMA wameamua kuitumia kuwasilisha taarifa za kiongozi huyo? Lissu ni kiongozi wa watu, hivyo badala ya kuendelea tu kuhamasisha watu kuchangia matibabu yake, basi pia kuwe na taarifa rasmi za chama juu ya maendeleo yake kiafya.

TLS nao maskini, wamemezwa kabisa na CDM. Inashangaza kuona taasisi inayojinasibu kuwa ni non-political, yenye mfumo rasmi wa uongozi inashindwa kutoa taarifa za maendeleo za Rais wake. Najiuliza hivi TLS wamejivua kabisa jukumu la kumtibu Rais wake huyo, au ndo tuseme CDM wamewapoka jukumu hilo ili kuweza ama kujijenga kisiasa au kuficha jambo fulani? Ni bora TLS wakaueleza umma kuwa wao na CDM ni damu damu so wameamua kutumia communication channels zake kufikisha taarifa hizo kwa jamii badala ya kuendelea kutudanganya eti hawafungamani na upande wowote kisiasa.

MY TAKE

Kuna jambo limejificha hapa, muda si mrefu lazima litajulikana. Uongo na ukweli have never co-existed, maana naona kuna baadhi ya viongozi wa CDM wameanza kuweweseka baada ya afya ya Lissu kuanza kuimarika. Believe me, time will tell.
watoe au wasitoe taarifa hakuna ugomvi hapo..
 
Hakuna aliyesema kuna ugomvi, lakini TL ni kiongozi wetu tuna haja ya kujua maendeleo yake. Mbona speed ya kuomba michango ni kubwa sana, au ndo yale yale ya kuwanyooshea vidole watu eti wamekula rambirambi?
 
Hivi karibuni Mwenyekiti wa CDM Mh. Mbowe alisema kuwa wananchi tusipokee taarifa kutoka source nyingine yoyote kuhusu afya na mwenendo wa matibabu ya Lissu isipokuwa kutoka kwa wale waliopo Nairobi.

Hali hii ilishangaza wengi kwani kama siku moja hivi kabla ya tamko hilo kulikuwa na press conference iliyofanywa na Katibu Mkuu wa chama hicho Vincent Mashinji, Naibu Mwenyekiti Profesa Abdallah Safari, na Mkurugenzi wa Usalama wa chama hicho ndugu Benson Kigaiya; kwani watu walihoji iwapo taarifa zilizotolewa na viongozi hao hazikuwa sahahi kwa kuwa wao pia hawakuwepo Nairobi wakati huo.

Hata hivyo baada ya tamko hilo la Mbowe, kumekuwa na ukimya sana juu ya maendeleo kiafya ya kiongozi huyo. Hakuna kiongozi yoyote anayeongelea hali yake officially zaidi ya wabunge wanaojirekodi video za malalamiko, na wengine wanaoenda kumtazama ambao wote hurusha habari hizo mitandaoni. Tunajiuliza, Je hii ni njia ambayo CHADEMA wameamua kuitumia kuwasilisha taarifa za kiongozi huyo? Lissu ni kiongozi wa watu, hivyo badala ya kuendelea tu kuhamasisha watu kuchangia matibabu yake, basi pia kuwe na taarifa rasmi za chama juu ya maendeleo yake kiafya.

TLS nao maskini, wamemezwa kabisa na CDM. Inashangaza kuona taasisi inayojinasibu kuwa ni non-political, yenye mfumo rasmi wa uongozi inashindwa kutoa taarifa za maendeleo za Rais wake. Najiuliza hivi TLS wamejivua kabisa jukumu la kumtibu Rais wake huyo, au ndo tuseme CDM wamewapoka jukumu hilo ili kuweza ama kujijenga kisiasa au kuficha jambo fulani? Ni bora TLS wakaueleza umma kuwa wao na CDM ni damu damu so wameamua kutumia communication channels zake kufikisha taarifa hizo kwa jamii badala ya kuendelea kutudanganya eti hawafungamani na upande wowote kisiasa.

MY TAKE

Kuna jambo limejificha hapa, muda si mrefu lazima litajulikana. Uongo na ukweli have never co-existed, maana naona kuna baadhi ya viongozi wa CDM wameanza kuweweseka baada ya afya ya Lissu kuanza kuimarika. Believe me, time will tell.

Jamani mkimuona huyu mleta mada mripotini haraka kituo cha pilisi anatafutwa ametoroka mirembe na ameshaua mtu mmoja hivyo ni mtu hatari na kwa sasa yuko maeneo ya kati yamorogori na iringa ktk pori la iyovi,
 
Hili si jambo la kitaifa, limekaa kisiasa zaidi, kumbuka TLS is a non political affiliate, its a neutral organ
Kigezo cha jambo kuwa la kitaifa ni nini? Halafu si CCM ambao kila siku hung'ang'ania kumwita Mwenyekiti wao kwa cheo cha Urais kwanza kabla ya kutamka ni mwenyekiti wa chama chao? Sasa cha ajabu nini Lissu pia kutolewa tamko kwa madhila aliyofanyiwa?

Au Lissu wa CHADEMA ndiye kashambuliwa kwa Risasi wakati yule wa TLS yupo salama usalimini?
 
Sasa mimi nikujibu nini kama wewe umeshakuja na majibu yako?
 
Law Society of Kenya condemns Uhuru’s threatening remarks on judges

Haya yamefanywa na anayeungwa mkono na wapinzani hapa Tanzania wakimsifu kuwa ni Baba wa Democracy EA.

Cha kushangaza zaidi si TLS hapa kwetu wako kimya katika hili.
Hata CHADEMA nao kimya huku wakitumia nguvu kubwa kupayuka wakipiga Selfie kwa vicheko bila aibu huko Kenya ambako pia wameonekana wakipewa Airtime za Television na kutumia kupaka matope Nchi yao. Aidha kutumika tena kumpigia debe mtoa vitisho huyu ashinde tena Urais na pengine kwa njia ile ile ya "Cambridge Analytical Data"

TLS mnatuambia nini kuhusu hili la Raisi wa Kenya kutoa vitisho dhidi ya Mhimili wa Mahakama?

CHADEMA na nyinyi vipi?
 
Back
Top Bottom