Mbowe, TLS mko wapi kutoa taarifa za Lissu?

Benmpo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2015
Posts
450
Reaction score
423
Hivi karibuni Mwenyekiti wa CDM Mh. Mbowe alisema kuwa wananchi tusipokee taarifa kutoka source nyingine yoyote kuhusu afya na mwenendo wa matibabu ya Lissu isipokuwa kutoka kwa wale waliopo Nairobi.

Hali hii ilishangaza wengi kwani kama siku moja hivi kabla ya tamko hilo kulikuwa na press conference iliyofanywa na Katibu Mkuu wa chama hicho Vincent Mashinji, Naibu Mwenyekiti Profesa Abdallah Safari, na Mkurugenzi wa Usalama wa chama hicho ndugu Benson Kigaiya; kwani watu walihoji iwapo taarifa zilizotolewa na viongozi hao hazikuwa sahahi kwa kuwa wao pia hawakuwepo Nairobi wakati huo.

Hata hivyo baada ya tamko hilo la Mbowe, kumekuwa na ukimya sana juu ya maendeleo kiafya ya kiongozi huyo. Hakuna kiongozi yoyote anayeongelea hali yake officially zaidi ya wabunge wanaojirekodi video za malalamiko, na wengine wanaoenda kumtazama ambao wote hurusha habari hizo mitandaoni. Tunajiuliza, Je hii ni njia ambayo CHADEMA wameamua kuitumia kuwasilisha taarifa za kiongozi huyo? Lissu ni kiongozi wa watu, hivyo badala ya kuendelea tu kuhamasisha watu kuchangia matibabu yake, basi pia kuwe na taarifa rasmi za chama juu ya maendeleo yake kiafya.

TLS nao maskini, wamemezwa kabisa na CDM. Inashangaza kuona taasisi inayojinasibu kuwa ni non-political, yenye mfumo rasmi wa uongozi inashindwa kutoa taarifa za maendeleo za Rais wake. Najiuliza hivi TLS wamejivua kabisa jukumu la kumtibu Rais wake huyo, au ndo tuseme CDM wamewapoka jukumu hilo ili kuweza ama kujijenga kisiasa au kuficha jambo fulani? Ni bora TLS wakaueleza umma kuwa wao na CDM ni damu damu so wameamua kutumia communication channels zake kufikisha taarifa hizo kwa jamii badala ya kuendelea kutudanganya eti hawafungamani na upande wowote kisiasa.

MY TAKE

Kuna jambo limejificha hapa, muda si mrefu lazima litajulikana. Uongo na ukweli have never co-existed, maana naona kuna baadhi ya viongozi wa CDM wameanza kuweweseka baada ya afya ya Lissu kuanza kuimarika. Believe me, time will tell.
 
Hivi karibuni Mwenyekiti wa CDM Mh. Mbowe alisema kuwa wananchi tusipokee taarifa kutoka source nyingine yoyote kuhusu afya na mwenendo wa matibabu ya Lissu isipokuwa kutoka kwa wale waliopo Nairobi.

Hali hii ilishangaza wengi kwani kama siku moja hivi kabla ya tamko hilo kulikuwa na press conference iliyofanywa na Katibu Mkuu wa chama hicho Vincent Mashinji, Naibu Mwenyekiti Profesa Abdallah Safari, na Mkurugenzi wa Usalama wa chama hicho ndugu Benson Kigaiya; kwani watu walihoji iwapo taarifa zilizotolewa na viongozi hao hazikuwa sahahi kwa kuwa wao pia hawakuwepo Nairobi wakati huo.

Hata hivyo baada ya tamko hilo la Mbowe, kumekuwa na ukimya sana juu ya maendeleo kiafya ya kiongozi huyo. Hakuna kiongozi yoyote anayeongelea hali yake officially zaidi ya wabunge wanaojirekodi video za malalamiko, na wengine wanaoenda kumtazama ambao wote hurusha habari hizo mitandaoni. Tunajiuliza, Je hii ni njia ambayo CHADEMA wameamua kuitumia kuwasilisha taarifa za za kiongozi huyo? Lissu ni kiongozi watu, hivyo badala ya kuendelea tu kuhamasisha watu kuchangia matibabu yake, basi pia kuwe na taarifa rasmi za chama juu ya maendeleo yake kiafya.

TLS nao maskini, wamemezwa kabisa na CDM. Inashangaza kuona taasisi inayojinasibu kuwa ni non-political, yenye mfumo rasmi wa uongozi inashindwa kutoa taarifa za maendeleo za Rais wake. Najiuliza hivi TLS wamejivua kabisa jukumu la kumtibu Rais wake huyo, au ndo tuseme CDM wamewapoka jukumu hilo ili kuweza ama kujijenga kisiasa au kuficha jambo fulani? Ni bora TLS wakaueleza umma kuwa kwao na CDM ni damu damu so wameamua kutumia communication channels zake kufikisha taarifa hizo kwa jamii badala ya kuendelea kutudanganya eti hawafungamani na upande wowote kisiasa.

Mbona Lumumba mna wasiwasi hivyo tulieni, kama mnajijua mmehusika mtajulikana tu na kweli tunaona vitendo vyenu vinadhihilisha, mlifikiri kafa bado mnaulizia kama yuko hai mnatia aibu sana, ni Mungu pekee atakayeruhusu roho ya Lissu ipumzike siyo Bashite wala Sizonje.

Ni kawaida ya mhusika kuwa na wasiwasi hasa anapojihisi kuhisiwa, the good thing ni kwamba mliyetaka kumuua yupo hai atawaumbua hadharani wote mliohusika.
 
Amani iwe nanyi,.ni tkribani cku10 zimepita tangu mh tundu lisu ashambuliwe kwa risasi nyingi na watu mpaka leo hawajulikani wanaitwa watu wasiojulikana. Nimesikitishwa na ukimya wa chama cha wanasheria wa tanganyika yaani tls. Mbona km kunasintofahamu baina ya wanasheria hawa? Inawezekana tls kuna ukada wa ccm na chadema? Rai wenu nusura auwawe lakini ushirikiano wenu ni mdogo ni kama mlipenda na kufurahia yaliomtokea tl.
 
Polisi nao maskini, wamemezwa kabisa na CCM

Mahakama nao maskini, wamemezwa kabisa na CCM.

Bunge nao maskini, wamemezwa kabisa na CCM

Na ni bora hawa wote wakaueleza umma kuwa wao na CCM ni damu damu.

Ambalo hutaki kuelewa ni kwamba wakati Mh. Lissu anapata matatizo, hakuwa kwny shughuli za TLS, na worse enough, kwa namna yyt ile, hakuna sababu iliyopelekea apigwe risasi kma rais wa TLS, bt kma mtu wa upinzani.

Usiwe na waswas mkuu.
 
Lumumba mnavyohangaika hadi huruma, mmeshindwa la dereva mtawaweza wanasheria? after all mnamtaka TLS waseme nini kwani wao ni madaktari au ndio wanamuuguza, walishatoa tamko la kulaani inatosha kama madhehebu yalivyolaani.
 
Evil isn’t the real threat to the world. Stupid is just as destructive as Evil, maybe more so, and it’s a hell of a lot more common. What we really need is a crusade against Stupid. That might actually make a difference.
 
Mlifurahia ile taarifa ya Mashinji jinsi ilivyokuwa imejaa kukata tamaa kuhusu afya ya Lissu mkatamani mwendelee kusikia taarifa mbaya mbaya kama hiyo. Imekula kwenu Lissu atapona na anawafaham.....
 
Huu ujinga wa CCM kutaka kuligeuza suala la kushambuliwa kwa Lissu kama ni mpango wa CHADEMA utaisha lini? CHADEMA wanachapisha fulana "Pray for Lissu" Polisi wanatumwa na viongozi wa CCM kuwakamata. Ni nani anayeweweseka kati ya CHADEMA na CCM?
 
Huu uzi ningeandika mimi ungefutwa mkuu naku PM unijulishe bana kulikoni mimi nikituma uzi tu unakua rejected inauma saaana i spend alot of my time then,,,,
 
Hivi karibuni Mwenyekiti wa CDM Mh. Mbowe alisema kuwa wananchi tusipokee taarifa kutoka source nyingine yoyote kuhusu afya na mwenendo wa matibabu ya Lissu isipokuwa kutoka kwa wale waliopo Nairobi.

Hali hii ilishangaza wengi kwani kama siku moja hivi kabla ya tamko hilo kulikuwa na press conference iliyofanywa na Katibu Mkuu wa chama hicho Vincent Mashinji, Naibu Mwenyekiti Profesa Abdallah Safari, na Mkurugenzi wa Usalama wa chama hicho ndugu Benson Kigaiya; kwani watu walihoji iwapo taarifa zilizotolewa na viongozi hao hazikuwa sahahi kwa kuwa wao pia hawakuwepo Nairobi wakati huo.

Hata hivyo baada ya tamko hilo la Mbowe, kumekuwa na ukimya sana juu ya maendeleo kiafya ya kiongozi huyo. Hakuna kiongozi yoyote anayeongelea hali yake officially zaidi ya wabunge wanaojirekodi video za malalamiko, na wengine wanaoenda kumtazama ambao wote hurusha habari hizo mitandaoni. Tunajiuliza, Je hii ni njia ambayo CHADEMA wameamua kuitumia kuwasilisha taarifa za za kiongozi huyo? Lissu ni kiongozi watu, hivyo badala ya kuendelea tu kuhamasisha watu kuchangia matibabu yake, basi pia kuwe na taarifa rasmi za chama juu ya maendeleo yake kiafya.

TLS nao maskini, wamemezwa kabisa na CDM. Inashangaza kuona taasisi inayojinasibu kuwa ni non-political, yenye mfumo rasmi wa uongozi inashindwa kutoa taarifa za maendeleo za Rais wake. Najiuliza hivi TLS wamejivua kabisa jukumu la kumtibu Rais wake huyo, au ndo tuseme CDM wamewapoka jukumu hilo ili kuweza ama kujijenga kisiasa au kuficha jambo fulani? Ni bora TLS wakaueleza umma kuwa kwao na CDM ni damu damu so wameamua kutumia communication channels zake kufikisha taarifa hizo kwa jamii badala ya kuendelea kutudanganya eti hawafungamani na upande wowote kisiasa.

MY TAKE

Kuna jambo limejificha hapa, muda si mrefu lazima litajulikana. Uongo na ukweli have never co-existed, maana naona kuna baadhi ya viongozi wa CDM wameanza kuweweseka baada ya afya ya Lissu kuanza kuimarika. Believe me, time will tell.
KAMUULIZE MR. TARATIBO aka POLEPOLE
 
Hivi karibuni Mwenyekiti wa CDM Mh. Mbowe alisema kuwa wananchi tusipokee taarifa kutoka source nyingine yoyote kuhusu afya na mwenendo wa matibabu ya Lissu isipokuwa kutoka kwa wale waliopo Nairobi.

Hali hii ilishangaza wengi kwani kama siku moja hivi kabla ya tamko hilo kulikuwa na press conference iliyofanywa na Katibu Mkuu wa chama hicho Vincent Mashinji, Naibu Mwenyekiti Profesa Abdallah Safari, na Mkurugenzi wa Usalama wa chama hicho ndugu Benson Kigaiya; kwani watu walihoji iwapo taarifa zilizotolewa na viongozi hao hazikuwa sahahi kwa kuwa wao pia hawakuwepo Nairobi wakati huo.

Hata hivyo baada ya tamko hilo la Mbowe, kumekuwa na ukimya sana juu ya maendeleo kiafya ya kiongozi huyo. Hakuna kiongozi yoyote anayeongelea hali yake officially zaidi ya wabunge wanaojirekodi video za malalamiko, na wengine wanaoenda kumtazama ambao wote hurusha habari hizo mitandaoni. Tunajiuliza, Je hii ni njia ambayo CHADEMA wameamua kuitumia kuwasilisha taarifa za za kiongozi huyo? Lissu ni kiongozi watu, hivyo badala ya kuendelea tu kuhamasisha watu kuchangia matibabu yake, basi pia kuwe na taarifa rasmi za chama juu ya maendeleo yake kiafya.

TLS nao maskini, wamemezwa kabisa na CDM. Inashangaza kuona taasisi inayojinasibu kuwa ni non-political, yenye mfumo rasmi wa uongozi inashindwa kutoa taarifa za maendeleo za Rais wake. Najiuliza hivi TLS wamejivua kabisa jukumu la kumtibu Rais wake huyo, au ndo tuseme CDM wamewapoka jukumu hilo ili kuweza ama kujijenga kisiasa au kuficha jambo fulani? Ni bora TLS wakaueleza umma kuwa kwao na CDM ni damu damu so wameamua kutumia communication channels zake kufikisha taarifa hizo kwa jamii badala ya kuendelea kutudanganya eti hawafungamani na upande wowote kisiasa.

MY TAKE

Kuna jambo limejificha hapa, muda si mrefu lazima litajulikana. Uongo na ukweli have never co-existed, maana naona kuna baadhi ya viongozi wa CDM wameanza kuweweseka baada ya afya ya Lissu kuanza kuimarika. Believe me, time will tell.
 
Lumumba mnavyohangaika hadi huruma, mmeshindwa la dereva mtawaweza wanasheria? after all mnamtaka TLS waseme nini kwani wao ni madaktari au ndio wanamuuguza, walishatoa tamko la kulaani inatosha kama madhehebu yalivyolaani.
Mkuu watu wasiojulikana wametajwa na huyu mwandishi wa kenya mbona police haijamuhoji mpaka leo.?
 
Hivi karibuni Mwenyekiti wa CDM Mh. Mbowe alisema kuwa wananchi tusipokee taarifa kutoka source nyingine yoyote kuhusu afya na mwenendo wa matibabu ya Lissu isipokuwa kutoka kwa wale waliopo Nairobi.

Hali hii ilishangaza wengi kwani kama siku moja hivi kabla ya tamko hilo kulikuwa na press conference iliyofanywa na Katibu Mkuu wa chama hicho Vincent Mashinji, Naibu Mwenyekiti Profesa Abdallah Safari, na Mkurugenzi wa Usalama wa chama hicho ndugu Benson Kigaiya; kwani watu walihoji iwapo taarifa zilizotolewa na viongozi hao hazikuwa sahahi kwa kuwa wao pia hawakuwepo Nairobi wakati huo.

Hata hivyo baada ya tamko hilo la Mbowe, kumekuwa na ukimya sana juu ya maendeleo kiafya ya kiongozi huyo. Hakuna kiongozi yoyote anayeongelea hali yake officially zaidi ya wabunge wanaojirekodi video za malalamiko, na wengine wanaoenda kumtazama ambao wote hurusha habari hizo mitandaoni. Tunajiuliza, Je hii ni njia ambayo CHADEMA wameamua kuitumia kuwasilisha taarifa za za kiongozi huyo? Lissu ni kiongozi watu, hivyo badala ya kuendelea tu kuhamasisha watu kuchangia matibabu yake, basi pia kuwe na taarifa rasmi za chama juu ya maendeleo yake kiafya.

TLS nao maskini, wamemezwa kabisa na CDM. Inashangaza kuona taasisi inayojinasibu kuwa ni non-political, yenye mfumo rasmi wa uongozi inashindwa kutoa taarifa za maendeleo za Rais wake. Najiuliza hivi TLS wamejivua kabisa jukumu la kumtibu Rais wake huyo, au ndo tuseme CDM wamewapoka jukumu hilo ili kuweza ama kujijenga kisiasa au kuficha jambo fulani? Ni bora TLS wakaueleza umma kuwa kwao na CDM ni damu damu so wameamua kutumia communication channels zake kufikisha taarifa hizo kwa jamii badala ya kuendelea kutudanganya eti hawafungamani na upande wowote kisiasa.

MY TAKE

Kuna jambo limejificha hapa, muda si mrefu lazima litajulikana. Uongo na ukweli have never co-existed, maana naona kuna baadhi ya viongozi wa CDM wameanza kuweweseka baada ya afya ya Lissu kuanza kuimarika. Believe me, time will tell.
Kilaza
 
Back
Top Bottom