Mbowe the great politician

Mbowe the great politician

Administer

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
2,633
Reaction score
2,378
Huyu jamaa kaijenga CHADEMA kwa maarifa makubwa sana.Busara,hekima na karama ya uongozi zilimbeba sana.Alifanya siasa siyo uharakati.

Sijawahi kumsikia akitukana ,kutumia lugha chafu au kudhalilisha wengine.Nasikitika kuona chadema ikiangamia kwa kukosa maarifa.Hotuba ya mama leo imebamba
 
Je nani aliwahi kutukana Mkuu ?.
 
Huyu jamaa kaijenga CHADEMA kwa maarifa makubwa sana.Busara,hekima na karama ya uongozi zilimbeba sana.Alifanya siasa siyo uharakati.

Sijawahi kumsikia akitukana ,kutumia lugha chafu au kudhalilisha wengine.Nasikitika kuona chadema ikiangamia kwa kukosa maarifa.Hotuba ya mama leo imebamba
Naomba maana ya
1. Busara
2. Hekima
 
Huyu jamaa kaijenga CHADEMA kwa maarifa makubwa sana.Busara,hekima na karama ya uongozi zilimbeba sana.Alifanya siasa siyo uharakati.Sijawahi kumsikia akitukana ,kutumia lugha chafu au kudhalilisha wengine.Nasikitika kuona chadema ikiangamia kwa kukosa maarifa.Hotuba ya mama leo imebamba
ameletw mchango mkubwa but walioijenga chadema wapo japo wamebakiwnachache mno.
nyakati zinabadilika, vizazi vinabadilika, na kila wenye kizaz wana mahitaj tofauti,

Yes mbowe amefanya mengi na naheshimu mchango wake ila alipojiingiza kwenye mtego ndio ukamuondoa
 
Sasa chama kinaangamia kwani viongozi waliopo mihemko mingi
 
Huyu jamaa kaijenga CHADEMA kwa maarifa makubwa sana.Busara,hekima na karama ya uongozi zilimbeba sana.Alifanya siasa siyo uharakati.

Sijawahi kumsikia akitukana ,kutumia lugha chafu au kudhalilisha wengine.Nasikitika kuona chadema ikiangamia kwa kukosa maarifa.Hotuba ya mama leo imebamba
CDM ikiangamia si ndio vizuri kweli sasa kipi kinachokusikitisha? Dawa imewaingia ngoja dozi iongezwe huyu Mbowe si ndio mlikua mnasema anamiliko Saccos au alibadilika lini?

No reform No Election
 
Chadema Imejengwa Na Wananchi.

Ni mbowe ndo alikua anatembelea Upepo wa Chadema, Chadema haitembei na Uoepo wa Mbowe.

Hili litathibitishwa siku akitangaza kuhama chama, Ndo utaona kati ya Mbowe na Chadema nani Mkubwa
 
Naomba maana ya
1. Busara
2. Hekima

CDM ikiangamia si ndio vizuri kweli sasa kipi kinachokusikitisha? Dawa imewaingia ngoja dozi iongezwe huyu Mbowe si ndio mlikua mnasema anamiliko Saccos au alibadilika lini?

No reform No Election
Mimi chadema ilikuwa damuni ingawa sina kadi.Nimeanza kuipuuza chadema baada ya kuogopa kushiriki uchaguzi na viongozi wake kukosa mwelekeo.
 
Sasa chama kinaangamia kwani viongozi waliopo mihemko mingi
20250115_233501.jpg

Hapa mbowe alimtukana nani?
 
Huyu jamaa kaijenga CHADEMA kwa maarifa makubwa sana.Busara,hekima na karama ya uongozi zilimbeba sana.Alifanya siasa siyo uharakati.

Sijawahi kumsikia akitukana ,kutumia lugha chafu au kudhalilisha wengine.Nasikitika kuona chadema ikiangamia kwa kukosa maarifa.Hotuba ya mama leo imebamba
Chadema imejengwa na wanachadema akiwepo Mbowe. Kwa sasa Mbowe ni mwanachama wa Chaumma na ndiye mgombea urais wao.
 
Chadema Imejengwa Na Wananchi.

Ni mbowe ndo alikua anatembelea Upepo wa Chadema, Chadema haitembei na Uoepo wa Mbowe.

Hili litathibitishwa siku akitangaza kuhama chama, Ndo utaona kati ya Mbowe na Chadema nani Mkubwa
Watu waelewe hivyo Mbowe ametembelea upepo wa CHADEMA.
 
Huyu jamaa kaijenga CHADEMA kwa maarifa makubwa sana.Busara,hekima na karama ya uongozi zilimbeba sana.Alifanya siasa siyo uharakati.

Sijawahi kumsikia akitukana ,kutumia lugha chafu au kudhalilisha wengine.Nasikitika kuona chadema ikiangamia kwa kukosa maarifa.Hotuba ya mama leo imebamba
Lakini na yeye aliwekwa ndani karibia mwaka,ni mzuri Leo kwasababu yuko nje ya ulingo au?
 
Huyu jamaa kaijenga CHADEMA kwa maarifa makubwa sana.Busara,hekima na karama ya uongozi zilimbeba sana.Alifanya siasa siyo uharakati.

Sijawahi kumsikia akitukana ,kutumia lugha chafu au kudhalilisha wengine.Nasikitika kuona chadema ikiangamia kwa kukosa maarifa.Hotuba ya mama leo imebamba
Sifa za kijinga, halafu mkambambikia kesi ya ugaidi.
 
Mungu ambariki, niliingia chadema kwa ajili yake na sijatoka
 
Mimi chadema ilikuwa damuni ingawa sina kadi.Nimeanza kuipuuza chadema baada ya kuogopa kushiriki uchaguzi na viongozi wake kukosa mwelekeo.
Cdm haina machawa wa aina yako.
 
Chadema Imejengwa Na Wananchi.

Ni mbowe ndo alikua anatembelea Upepo wa Chadema, Chadema haitembei na Uoepo wa Mbowe.

Hili litathibitishwa siku akitangaza kuhama chama, Ndo utaona kati ya Mbowe na Chadema nani Mkubwa
chadema hana nguvu hio, mbowe ndo alikua ukuta mkuu wa chadema bila yeye ata lissu angebakigi uko belgium ni busara tu ilitumika
 
vijana wa chadema ni watu wasio na shukurani hata kidogo
 
Back
Top Bottom