Mbowe the great politician

Mbowe the great politician

Freeman asipokuwa makini anakwenda kuisha kisiasa kimoko. CCM ni mafia.
Kazi aliyoifanya tangu akiwa kijana inakwenda kuzikwa rasmi. Ila uzuri wa CCM hawamwachi hivi hivi watampa hela aongezee kwa mtaji.
 
Hekima si kuunda jambo hekima ni kufanya jambo kiendelee mbele hata kama wewe si sehemu yake.
 
Namkubali Mbowe sana ila hili la kukaa kimya sijamuelewa kabisa, nyuma huko alishawahi kususia mambo mengi sana kama tu vitu havipo sawa sasa anachofanya lissu ni kile kile kwanini asitoe support au anataka kuoneka mstaarabu kama mleta mada ulivyohoji
 
Huyu jamaa kaijenga CHADEMA kwa maarifa makubwa sana.Busara,hekima na karama ya uongozi zilimbeba sana.Alifanya siasa siyo uharakati.

Sijawahi kumsikia akitukana ,kutumia lugha chafu au kudhalilisha wengine.Nasikitika kuona chadema ikiangamia kwa kukosa maarifa.Hotuba ya mama leo imebamba
Ukiona unasifiwa na maFISIEMU jua wamekulambisha asali!
 
Back
Top Bottom