Mbowe: Spika ni dikteta

Mbowe: Spika ni dikteta

Mbowe ameshindwa kuongoza upinzani Bungeni. Wabunge wa chadema wanajiendea kama mbuzi wa Vingunguti wasiokuwa na mchungaji.

Hamad Rashid aliongoza vizuri upinzani Bungeni.

Warning: Chanzo cha hii habari ni gazeti la Tanzania Daima kwahiyo wakati wa kusoma unashauriwa kuwa makini ili uweze kubaki na mchele na pumba uziweke pembeni.

Benaire, umewaona hawa? Siyo wana CCM!. wako ''kikazi" zaidi.
 
Mbowe ameshindwa kuongoza upinzani Bungeni. Wabunge wa chadema wanajiendea kama mbuzi wa Vingunguti wasiokuwa na mchungaji.

Hamad Rashid aliongoza vizuri upinzani Bungeni.

Rudisha nyakati nyuma ili umwone tena Hamad Rashid akiongoza vizuri. Ni msiba kwa taifa kuwa na watu wanaofikiri kama wewe.
 
Mbowe ameshindwa kuongoza upinzani Bungeni. Wabunge wa chadema wanajiendea kama mbuzi wa Vingunguti wasiokuwa na mchungaji.

Hamad Rashid aliongoza vizuri upinzani Bungeni.
Huyu bwana alifukuzwa CUF. Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, huwezi kuwa mbunge pasipo kushinda uchaguzi kupitia chama, au kuteuliwa na rais kama Mbatia alivyoupata. Leo Hamad Rashid anawakilisha chama gani bungeni?
 
Back
Top Bottom