Mbowe sio yule tuliyemzoea

mshaelekea kibla!
 
kwani mbowre amepondwa hapa punguza mahaba niue!
 
Mbowe kabanwa kwenye kodi sasa anataka kutuondoa kwenye mada za ukweepaji kodi
 
Kama Mbowe angekuwa siyo tishio kwa chama cha mauaji(CCM), mikutano ya hadhara isingezuiliwa na Mwenyekiti wenu.
Unachokileta hapa ni kutafuta faraja tuuu.
Hivi ata ukiruhusiwa mikutano ina tisho gani
 
Jamani kuna hoja kinzani? Dictator mbaya na mchafu kuliko wote Africa mashariki ni yule ambaye hata kusafiri anaogopa kivuli!! Muoga wa kwanza Africa
 
Kwa mtizamo wako ni dhahiri mwanasiasa unayemkubali ni Mzee Lipumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…