Mbowe sio yule tuliyemzoea

Pale ambapo Naibu waziri wa habari na kufungia magezeti anafunguka!!! Acha tu!
Ukweli ni kwamba Mbowe ameingiwa na Woga!! Anahofu akifuatwa na noah atasalimika kama mwenzake? Hilo la Lowasa muulize rahisi aliyeunda mahakama ya mafisadi asiowaweza kwa kuwa huwezi kata tawi ulilokalia
 
Ni lini ulisha mzoea... ??
 
Ukitaka kujua ugumu wa kuendesha vyama vya siasa mwulize ZZK. Ayakueleza. Kwani alipokuwa chadema na kutaka kumpindua Mbowe alidhani ni lelemama. Sasa wako wapi ACT mbona wamesambaratika? Wamewaweka ccm madarakani sasa hivi anataka apeleke vibaraka wake UKAWA kwa madai kuwa amebadilika ili kuisambaratisha chadema.
Natumaini Mbowe hatakubali udanganyifu huo.
 
Kila mbunge yupo huru kufanya mkutano jimboni kwake,ongea na wapiga kura wako ujue matatizo yao jimboni kwa mwenzako unatafuta nini!
Mpuuzi wewe, akina Cecil Mwambe, Ester wote wawili, Heche, Lema, Msigwa, Lijua Likali etc wamekamatwa kwenye majimbo yao wakifanya mikutano na wapiga kura wao. Hapo utasemaje bwege wewe.

Mbowe kama si tishio na Chama chake!! Bunduki na marufuku za nini?! Huyo anayejitahidi kupiga siasa pekee yake mbona ndiyo hajiamini!!
 
Hata kama ni kulipwa, Polepole hawezi kuidhinisha malipo katika upuuzi kama huu!
 
Mpaka muda yupo kwake na hajakamatwa halafu mnaongopewa nchi inaongozwa kidikteta!
Kwa alivyochemsha Uganda, yabidi akashauriane kwanza na akina DAB Malyamungu, Afande Zero kupanga cha kufanya ili pia kupambana na hitaji la wananchi la katiba mpya.
 
Sera zipi? Kukanyaga haki za binadamu?
 
Jemedari ameshaloose confidence, kichobaki yeye na kikosi chake wanasubiri kuwa mateka.
 
Kwahiyo mlivyokuwa mnawaita mafisadi kipindikile walikuwa na kesi yoyote? Empty brains!
Empty kuliko wewe, no one shalll be condemed guilt until proved by compitent court. We ropo ropo unajua hilo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…