Mbowe shtuka, Mashinji anakupeleka chaka

Mbowe shtuka, Mashinji anakupeleka chaka

Wewe ndio utoke usingizini, chadema ya sasa haipo huko unakoamini wewe ishahama muda mrefu tu. Hii CHADEMA ya sasa imejijenga ktk misingi ya kukutumia wewe kama daraja la kumpa kula Mwenyekiti na baadhi ya wasaidizi wake.
Unaujasiri wa mshumaa mkuu sana bado unaamini kuwa CDM inapunzi????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom