Frediluu JF-Expert Member Joined Nov 21, 2015 Posts 1,075 Reaction score 266 Nov 25, 2019 #21 DOUGLAS SALLU said: Hao ni nguruwe tu. Click to expand... Hakika ipo siku watajua nguvu ya uma ni nini.
DOUGLAS SALLU said: Hao ni nguruwe tu. Click to expand... Hakika ipo siku watajua nguvu ya uma ni nini.
MAGALEMWA JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 6,413 Reaction score 4,889 Nov 25, 2019 #22 MASAMILA said: Miaka zaidi ya 10 uliyokuwepo kwenye kiti inatosha pisha damu mpya kuja kuleta ari mpya kasi mwenendo utaofaa kwa maslahi ya upinzani Tanzania Wapo wanaoweza kuuvusha upinzani vizuri tu kuna Meya Jacob Boniface yupo vizuri sana Click to expand... Awapishe wenye damu zenye virusi ?
MASAMILA said: Miaka zaidi ya 10 uliyokuwepo kwenye kiti inatosha pisha damu mpya kuja kuleta ari mpya kasi mwenendo utaofaa kwa maslahi ya upinzani Tanzania Wapo wanaoweza kuuvusha upinzani vizuri tu kuna Meya Jacob Boniface yupo vizuri sana Click to expand... Awapishe wenye damu zenye virusi ?
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 17,688 Reaction score 21,138 Nov 25, 2019 #23 MASAMILA said: Miaka zaidi ya 10 uliyokuwepo kwenye kiti inatosha pisha damu mpya kuja kuleta ari mpya kasi mwenendo utaofaa kwa maslahi ya upinzani Tanzania Wapo wanaoweza kuuvusha upinzani vizuri tu kuna Meya Jacob Boniface yupo vizuri sana Click to expand... Kama wanaweza kupambana na huu udikteta sawa ila nina mashaka.
MASAMILA said: Miaka zaidi ya 10 uliyokuwepo kwenye kiti inatosha pisha damu mpya kuja kuleta ari mpya kasi mwenendo utaofaa kwa maslahi ya upinzani Tanzania Wapo wanaoweza kuuvusha upinzani vizuri tu kuna Meya Jacob Boniface yupo vizuri sana Click to expand... Kama wanaweza kupambana na huu udikteta sawa ila nina mashaka.
K Kidzude JF-Expert Member Joined Jul 14, 2011 Posts 4,423 Reaction score 1,365 Nov 25, 2019 #24 Nadhani damu mpya anzisha chama kipya. Hiki chama kinakufa watapoteza muda kuhombea kwenye chama mfu.
Nadhani damu mpya anzisha chama kipya. Hiki chama kinakufa watapoteza muda kuhombea kwenye chama mfu.
Masamila JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 6,506 Reaction score 7,472 Nov 5, 2020 Thread starter #25 Haya sasa mliokuwa mnamtetea sababu ya ukabila nadhani mmeyaona.
Masamila JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 6,506 Reaction score 7,472 Nov 5, 2020 Thread starter #26 mpimamstaafu said: Mbowe Mbowe Kamanda ndio Chaguo la wanachadema Click to expand... Haya na chama ndio kishamfia mkononi
mpimamstaafu said: Mbowe Mbowe Kamanda ndio Chaguo la wanachadema Click to expand... Haya na chama ndio kishamfia mkononi
Masamila JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 6,506 Reaction score 7,472 Nov 5, 2020 Thread starter #27 Mmawia said: Mbowe bado yupo yupo sana cdm kama hutaki kajinyonge Click to expand... Sawa mkuu
Shambaboy jogoli JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 1,223 Reaction score 1,630 Nov 5, 2020 #28 Masamila07 said: Miaka zaidi ya 10 uliyokuwepo kwenye kiti inatosha pisha damu mpya kuja kuleta ari mpya kasi mwenendo utaofaa kwa maslahi ya upinzani Tanzania Wapo wanaoweza kuuvusha upinzani vizuri tu kuna Meya Jacob Boniface yupo vizuri sana Click to expand... Mbowe hawezi kukusikia mkuu, ukizubaa ata Ku chacha wangwe!
Masamila07 said: Miaka zaidi ya 10 uliyokuwepo kwenye kiti inatosha pisha damu mpya kuja kuleta ari mpya kasi mwenendo utaofaa kwa maslahi ya upinzani Tanzania Wapo wanaoweza kuuvusha upinzani vizuri tu kuna Meya Jacob Boniface yupo vizuri sana Click to expand... Mbowe hawezi kukusikia mkuu, ukizubaa ata Ku chacha wangwe!
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 17,688 Reaction score 21,138 Nov 5, 2020 #29 Another rubbish from another cretin.
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 58,974 Reaction score 132,629 Nov 5, 2020 #30 digba sowey said: Ona huyu kilichomkutaView attachment 1270116 Click to expand... Kumbe kushindwa kwa Chadema kunachangiwa na mamba mengi!, kitu kinachoitwa karma, sio mchezo!. Karma haina mswalie Mtume!. P
digba sowey said: Ona huyu kilichomkutaView attachment 1270116 Click to expand... Kumbe kushindwa kwa Chadema kunachangiwa na mamba mengi!, kitu kinachoitwa karma, sio mchezo!. Karma haina mswalie Mtume!. P