The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,263
Kaimu Katibu wa Kichama Mkoa wa Kinondoni ROSE MUSHI mmmh! Hivi hakuna watu wengine hapo?
nakumbuka ulipomuambia mungi '' with all struggling umeharibu kise..... malizia maana naogopa!''Kuna propaganda chafu mno zinasambazwa juu ya Dr Slaa na kinachostua ni baadhi ya vijana wa Chadema wanashiriki kuvichochea.....fanyeni mizaha wakati mwingine si huu.....vijana tutumie akili zetu vyema.....tuna safari ndefu na taifa letu.....tusiwavunje moyo watu waliosimama nasi wakati wote mgumu.....