Alishastaafu long time ago.kwani Manumba hajastafu bado?
Ccm imekwisha, inachofanya ni kutumia vyombo vya usalama kudhibiti upinzani.
Hivi maandamano si haki ya raia ya kikatiba?
Nina munkari wa kuandamana hata kama nitapigwa risasi!
-kwa manufaa ya ukombozi ni pooooooooooozi!
Saaaaaaaaaaaawa!
Maandamano bado yapo pale pale hatuogopi vitisho wameshakufa wengi na wengine ni vilema mpaka leo kwa sababu ya ukombozi
Mbona Komba alipotangaza kuingia mstuni hakuitwa kwa DCI ........................... Tatizo la double standards za Tanzania, vyombo vya serikali vinalinda maslahi ya chama tawala!!
Yaani wale vibaka na mateja ccm inajaza malori unafikiri cdm ina nafasi? Mleta mada huna hoja. Cdm ni mziki mnene sana. Zzk aliucheza akachanganyikiwa. Haamini macho yake.
hivi kwa siasa za tz na vyombo vya dola km ndo hvi tunauwezo wa kubeba mizoga ya nguruwe km wenzetu kenya na kuenda kufanya chchte kwenye jengo la bunge na vyombo vya dola vikavumilia km wenzetu na siasa zao zoluzokomaaa???vyombo vya dola vipo kwa ajili ya wananchi na si kuwatisha wananchi,viogope kutumiwa'
mpeni kichwa tu muone moto wake! Hamjui mmechokwa kama uji ulolala!
watoto wa Mbowe wote wako Marekani ni raia wa marekani kwa kuzaliwa Siku wakiwa mstari wa mbele kwenye maandamano na mimi nitaandamana
Nimesikia akijitabiria kuelekea kule wasikorudi watu au uoga umemshika tu. Na huyu jamaa 2+2=4 na 2x2=4 sasa tutaprove vipi?
Kufanya fujo na kuvuruga amani ya nchi ndo kipimo chako cha ukomavu wa siasa?
kwa yanayoendelea na yanayopigiwa kelele hayatakiwi kuvimilika,yanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote na wala sio vurugu km unavofikiri
H a mkwaray kipumbavu kabisa Nye TISS mumeshindwa kuisimamia nchi katiba inasiginwa mbele za uso wenu mumenyamaza tuli hamuoni hatari mwananchi gani asieji tambua tumejitambuana tunaunga mkono kusimamishwa kwa uhuni unaofnyika DodomaNimemsikia akiongea ITV na kusisitiza kuwa maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.
Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu.
Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.
Aache kulewa madaraka ya uenyekiti na kuropoka ovyo, hiyo raha aliyo nayo akaimalize kwanza ndipo aje aongee jambo la kitaifa yy kama kiongoz wa kambi ya upinzani. Akipata uraisi si atataka watu waandamane kwa kutembea kwa miguu hadi Uswisi!