Mbowe ni sept 14 au Dec 9?

Mbowe ni sept 14 au Dec 9?

Miiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
3,835
Reaction score
2,648
Leo ni birthday ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Aikael Mbowe.

Imezoeleka na kuambiwa Mbowe alizalliwa Moshi Machame 09.12.1961
Leo naona watu wanamtakia heri ya kuzaliwa.

Tuondoleeni huu utata
 
Leo ni birthday ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Aikael Mbowe.

Imezoeleka na kuambiwa Mbowe alizalliwa Moshi Machame 09.12.1961
Leo naona watu wanamtakia heri ya kuzaliwa.

Tuondoleeni huu utata
Nilijua ni mimi tu kumbe na we umeona... last year tuliambiwa kazaliwa siku ya uhuru then leo tunaona mapicha picha
 
Sure last year niliona tarehe 9 siku ya ushuru ndo kazaliwa sasa leo nashangaa kuwa hivi
 
Itakuwa ndio anaitosa chadema kwa kuridhishwa na uchapa kazi wa magufuli
 
Leo ni birthday ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Aikael Mbowe.

Imezoeleka na kuambiwa Mbowe alizalliwa Moshi Machame 09.12.1961
Leo naona watu wanamtakia heri ya kuzaliwa.

Tuondoleeni huu utata
According to Yerico tarehe 09 Dec ni ubatizo wake... ila kuzaliwa ni Sept 14.
 
Leo ni birthday ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Aikael Mbowe.

Imezoeleka na kuambiwa Mbowe alizalliwa Moshi Machame 09.12.1961
Leo naona watu wanamtakia heri ya kuzaliwa.

Tuondoleeni huu utata
Miaka mingi nilijua alizaliwa siku y uhuru tena kuna makala nilisoma kwenye gazeti alikuwa akielezewa. Kumbe yaweza kuwa si kweli
 
Miaka mingi nilijua alizaliwa siku y uhuru tena kuna makala nilisoma kwenye gazeti alikuwa akielezewa. Kumbe yaweza kuwa si kweli
Hatari sana mkuu tulilishwa matango pori
 
Hata jina lake Freeman tuliambiwa alizaliwa siku ya uhuru dec9. 1961 ndio akaitwa Freeman maana yake Uhuru pamoja na Mbowe.!
 
Baviha wanatudanganya tarehe ya kuzaliwa kiongozi wao, ni mangapi mtakuwa mmetudanganya. Mkishika uongozi wa Taifa hili mtatudanganya mangapi??
Kuna mtu mmetudanganya ni Dr akijitokeza wa kuhoji mnamuua.
 
Alizaliwa tarehe 14 September .Jana tarehe 13 September kikatiba ya chadema ndio Ilikuwa siku yake ya Mwisho Kama mwenyekiti wa chadema taifa kwa mujibu wa katiba ya chadema Ina maana Leo hi tarehe 14 September Ni siku yake ya kuzaliwa na siku yake ya kwanza ya kutawala chadema kidikteta kimabavu Bila ridhaa ya wanachama wa Chadema.Hivyo Leo anasherehekea pia siku ya kuwa mwenyekiti wa mabavu wa Chadema.Happy birthday dictator mbowe on your first day celebration of your dictatorshipi in the Chadema Republic
 
We jamaa dah!
Alizaliwa tarehe 14 September .Jana tarehe 13 September kikatiba ya chadema ndio Ilikuwa siku yake ya Mwisho Kama mwenyekiti wa chadema taifa kwa mijibu wa katiba ya chadema Ina maana Leo hi tarehe 14 September Ni siku yake ya kuzaliwa na siku yake ya kwanza ya kuotawala chadema kidikteta kimabavu Bila ridhaa ya wanachama wa Chadema.Hivyo Leo anasherehekea pia siku ya kuwa mwenyekiti wa mabavu wa Chadema.Happy birthday dictator mbowe on your first day celebration of your dictatorshipi in the Chadema Republic
 
Back
Top Bottom