Mbowe ni political genius

Mbowe ni political genius

Tangu mwaka elfu mbili kumi na tano baada ya uchaguzi ndo nikajua akili mbowe maana ccm ilibidi wabadili sheria na namna ya kupambana na ukawa hali ilikuwa mbaya

kwanza kuopiga marufuku mikutano ya siasa mpaka 2020

pili sheria ya mitandaoni ili kujua wanaoshambulia ccm ni akina nani na kushughulikiwa

tatu bunge lisiwe live na watu wasione bungeni kunaendelea nini

Hatua zote hizi zimechukuliwa ili kupunguza nguvu ya upinzani na aliyesababisha yote hayo ni mbowe kwa kumtema dr. wibrod slaa na kumchukua lowasa.
jambo hilo lilionekana la kipuuzi mwanzoni lakini matokeo yake ilikuja kuwa balaa kwa bi mkubwa ilibidii atafute namna ya kujiokoa maana hali yake ilikuwa mbaya sana.

Tuache unafiki tuweke ushabiki pembeni kama sheria hizi zisingetungwa na mambo kuendelea kama zamani leo tunaongelea nini kwa ccm.

Ndo mama namuona mbowe kama mtu aliweza kucheza gemu za siasa kama pele mwaka elfu mbili kumi natano
Kichwa alikuwa Dr. Slaa Mbowe hafai ata kuwa unyayo aisei.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wale wanaosema Lowassa alivutwa kutoka CCM na Lipumba ni wapotoshaji? Kumbe Mbowe mwenyewe ndo aliyekodi mamluki toka CCM kuipa nguvu CDM.

Mbowe hawezi kuwa jiniasi. Maarifa, mbinu na maamuzi yake yanachagizwa na ile kauli maarufu ya Mwl. Nyerere ya "mpinzani wa kweli ni yule atakayetokana na CCM" na siyo CDM. Kwa hiyo alitarajia kwa kumsimamisha Lowassa wa CCM kungetimiza utabiri wa Nyerere na CDM ingechukua nchi.

Kiufupi Mbowe haamini CDM yake inaweza kutoa mgombea na akashinda urais na kwahiyo tutarajie mamluki mwingine wa CCM kupewa nafasi katika uchaguzi mkuu ujao.
Kitendo cha ccm kubadilika kutoka chama,shindani kuwa chama dola, na Sera za kuteka, kupoteza kulawiti, kuua, kunyonga, kubambika kesi ni sababu ya Mbowe
 
Kitendo cha ccm kubadilika kutoka chama,shindani kuwa chama dola, na Sera za kuteka, kupoteza kulawiti, kuua, kunyonga, kubambika kesi ni sababu ya Mbowe
Mbowe ameuwa ccm imebaki polisi tu
 
Tunaonfahamu Kaka yetu Aikaeli anajua kuishi vizuri na system tofauti kabisa na wafuasi wake wengi humu jamvini ambao kwa kweli hawamjui kiongozi wao vizuri.

Sometimes huwa inamuwia vigumu sana kuwaweka sawa ktk mstari lakini ndio hivyo tena kwenye wengi...
Mbowe ameuwa ccm imebaki polisi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom