maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,806
- 2,349
Tangu mwaka elfu mbili kumi na tano baada ya uchaguzi ndo nikajua akili mbowe maana ccm ilibidi wabadili sheria na namna ya kupambana na ukawa hali ilikuwa mbaya
kwanza kuopiga marufuku mikutano ya siasa mpaka 2020
pili sheria ya mitandaoni ili kujua wanaoshambulia ccm ni akina nani na kushughulikiwa
tatu bunge lisiwe live na watu wasione bungeni kunaendelea nini
Hatua zote hizi zimechukuliwa ili kupunguza nguvu ya upinzani na aliyesababisha yote hayo ni mbowe kwa kumtema dr. wibrod slaa na kumchukua lowasa.
jambo hilo lilionekana la kipuuzi mwanzoni lakini matokeo yake ilikuja kuwa balaa kwa bi mkubwa ilibidii atafute namna ya kujiokoa maana hali yake ilikuwa mbaya sana.
Tuache unafiki tuweke ushabiki pembeni kama sheria hizi zisingetungwa na mambo kuendelea kama zamani leo tunaongelea nini kwa ccm.
Ndo mama namuona mbowe kama mtu aliweza kucheza gemu za siasa kama pele mwaka elfu mbili kumi natano