Tangu asubuhi unazunguka kigoma nzima kusikiliza kila jambo au hao waongeaji wanatumia kipaza sauti?
kwa hiyo kumbe na NYERERE naye alikuwa ni muhujumu uchumi? hebu subiri.... mbona baada ya kupitia posts zako zinaonesha wewe ni pro-ccm kabisa! na kwa akili yako kesho naomba ktk mkutano huo uchunguze hao mawaziri wamekuja na magari ya wizara au ya ccm hapo mkutanoni, halafu ulete your take hapa JF.ni kati ya hoja zinazojadiliwa hapa kigoma mjini wengi wana muona mbowe kama kibaraka wa CCM, kwahiyo wanaona ukombozi kwao kama ndoto kwa kuwa kinaongozwa na mbowe ambapo wengi wanamuona kama ni kibaraka. Hoja wanazozitoa kuwa eti baba yake Mbowe alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerere na hata katika wakati wa uhujumu uchumi Nyerere hakumgusa kabisa mzee Mbowe, na hata jina la Freeman lilitolewa na Nyerere ambaye ndiye baba yake wa ubatizo wa Freeman Mbowe.
Je, huyu ndiye mtu anayeweza kuitoa CCM? Wanahoji wakazi hao kigoma ujiji.
Najiandaa leo kuhudhuria mkutano wa CCM hapa Mwanga community centre nikawasikilize je? wana jipya? Tusubiri.
Kwenye msiba wa Bob Makani Katibu Mkuu wa CCM aliteleza na Mbowe akanyosha maneno kwa kutoa historia fupi.
Ndani ya historia kuna mahali alitaja washiriki wa kikao naye mwenyewe akiwepo kama kiongozi wa vijana.
Inawezekana kabadilika lakini kwa nini awe kibaraka wa CCM sasa ambapo CDM imeanza kupata mafanikio?
Tujadiliane kwa amani.
kwa hiyo kumbe na NYERERE naye alikuwa ni muhujumu uchumi? hebu subiri.... mbona baada ya kupitia posts zako zinaonesha wewe ni pro-ccm kabisa! na kwa akili yako kesho naomba ktk mkutano huo uchunguze hao mawaziri wamekuja na magari ya wizara au ya ccm hapo mkutanoni, halafu ulete your take hapa JF.