Mbowe ndiye tatizo CHADEMA

habari zako wapelekee walikutuma na mipasho yako wapelekee hao magamba
 
amii kumbe mpo wengi humuu,sio mbaya kwani hili ni jamvi la wote ila na wee mbona hueleweki atii
babu yako sheikh karume ailisainishwa muungano mchana kweupe ndani ya nusu saa na mtoto wa mjini jk wa ukweli.
sasa hapo mtasema nyie wana siasa?cuf hao weshaliwa nao mchana kweupe sasa wale ndugu zenu waliouawa kumbe ilikuwa ni hamad apate umakamu wa rais?
kweli karafuu zinaharibu kichwa njoo bara usafishe kicwa na kahawa na zabibu yakheeee..
 
ni mbinafsi kuliko nani ndani ya ccm?
we umelogwa si bure ,ushabiki mwingine sijui ni wa kichawi?
 
usiseme wana cdm sema hata mods kumbe wana uchungu na nchi?
kwa taarifa yako ccm wamebaki na pangu pakavu tia mchuzi na mafisadi kwa hiyo jitizame utajua wewe upo kundi gani ndani ya ccm.
njaa zitakuuwa dogo
 
Umetumwa na NAPE wewe,hatuna mwanachama tahira kama wewe,MBOWE ni mwamba ndani ya chadema,mamluki hamna nafasi ndani ya CHADEMA,Kama mmetumwa na watu wa MAGAMBA imekula kwenu,sisi sasahivi tunafanya kazi usiku na mchana kwa ajiri ya chama huko vijijini kufungua matawi na na kujua na wanachama wapya.
 
Mbowe ni share holder wa Chadema. kama mtu anataka zaidi basi aweke share kubwa kumpita yeye sio maneno maneno.
 

Mimi nakushauri utoe kwanza huo mkuki moyoni. Maana hayo maumivu unayoyapata inaelekea ni makali mpaka unaweweseka. Mmeiba, mmeiba, mmeiba na magamba yamekataa kung'oka. Sasa mmeamua kuiba mataulo na vijiko mahotelini. Bado mtaiba mpaka nanihii zenu.
 
kIKWETE ndiye tatizo ndani ya TANZANIA na CCM kwa udini wake kuweka usalama wa TAIFA WAISLAM,na mawaziri wakubwa waislam,kaifanya CCM kuwa ya waislam ambao wanatumiwa bila kujijua.
 
Tatizo ndugu zetu wa visiwani wanasiasa changa sasa kama humtak mbowe unataka uwe wewe? mnataka viongozi ambao wana hulka za tikiti ambao hawana kauli. na hawawez kufanya maamuzi!
 
Tatizo la Mbowe ni lipi umejigonga gonga tu...mara anataka ubunge moshi mjini mara uraisi we Mrs ... jipange
 
Mbowe ni kiongozi shupavu asiyeyumbishwa na vilaza kama magamba.isingekuwa uongozi madhubuti wa kamanda mbowe cdm isingekuwa ilivo leo.Mbowe alitumia hela na muda mwingi kuvumbua makamanda wapambanaji na kuwashawishi wajumuishe nguvu zao ktk cdm.Nenda kawaambie wanamagamba wenzako kwamba mmechelewa.
 

Wewe ni tatizo kubwa katika hii nchi.................toa uharo wako hapa...
 
Nina mashaka na ma great thinker wa humu ndani.... ivi si hata baba wa taifa alikataza biashara na siasa.. sasa iweje watu wengi humu ndani wasimpongeze huyu jamaa kwa hii very good post.. Mbowe ni mfanya biashara... hatufaii.. watu mnakuwaje vipofu namna hii...
 
Magamba hawana jipya wameshindwa kuivuruga chadema kwasababu CHADEMA ina watu makini kama MBOWE,BIG UP MBOWE,We respect you.
 
Naona unawaza kwa kutumia makamasi badala ya ubongo,haya nenda kachukue posho kwa NAPE.
 

Naona unawaza kwa kutumia makamasi badala ya ubongo,haya nenda kachukue posho kwa NAPE.

Pathetic!!
Hatuna haja ya kujiuliza great thinker ni yupi na msukuma kikokoteni ni yupi kati ya hizi posts
 
eti miss parliament/ Regia
kwa hiyo regia wewe ni nani mpaka uwaamuru watu wahamie kule, kumbe upo humu kwa kazi kama mtumwa wa watu fulani , au unaposema fadhila kwa mbowe na slaa inamaana chama ni kampuni ya mtu, kwa hiyo kama wamekisaidia chama unataka hata wakiwa wanafanya ujinga waachwe tu kwa kuwa wamekifikisha cdm hapa, au kwa kuwa umepewa ubunge viti maalum kwa fadhila ndio maana unalipafadhila sio kosa lako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…