hawa wabunge wa ccm wana matatizo, muongeaji Mhe Gaundensi-mbunge kutoka Mbinga aliyefuata kuchangia baada ya Mbowe, badala ya kuchangia mstakabali mzima juu ya nishati na madini; yeye mojakwamoja kaanza kushambulia hoja za Mbowe na kuzitolea majibu mepesi; sielewi nafasi yake hiko wapi ni waziri mbadala wa nishati na madini?