Una uhakika hakufanya??Mbowe alisema,Lissu aliongea Bavicha walisema unataka waseme kwa kutumia nini??
Pamoja na kusema bado walipeleka kesi polisi,je polisi walifanya kazi yao??
Jibu ni hapana sababu walijua Ben yupo kwao kwa order ya Mkullu.
Unajingine??
mkuu tetea tu maana ndilo unaloliweza
Jiuluze kesi zote anazofunguliwa mbowe unaona zina uhai? zinayeyuka tu jiiiii,ushawahi kuona mbowe anakua treated badly na polisi km wanavyotandikwa wenzake wakina Lissu au Lipumba? FYI jamaa ni zao la mzee wetu yani ni ndugu damu na bwana "Shikamoo".....Huwa najaribu kumwangalia sana huyu mzee wangu hasa kuhusu kupotea kwa ndugu na mdogo wangu Ben Saanane, jamaa hua reaction yake ni ndogo mno isiyofanana na wadhifa wake pamoja na kazi aliyokua akiifanya Saanane kwenye ofisi yake.Ndio maana ubaridi wa Mbowe juu ya hili suala linawapa wapinzani wake midomo ya kusema wajuayo, hili halina ubishi kabisa.
Kama waziri mkuu alilivalia njuga suala la kupotea kwa Faru John na ukweli ukajulikana,Mh mbowe anashindwaje kutenga rasirimali za kutosha kutoka chama kuhakikisha ukweli juu ya huyu mtu unajulikana? ,na Mh Mbowe anashindwaje kuongoza wenzake ndani ya chama chake kwa namna yeyote kujua alipo mdogo wangu Ben ima awe hai au vinginevyo.Mbowe napata shaka sana nae juu ya hili suala,anajua nini? au nawe ni mojawao?
Kuna mzee mmoja ni mtu mzima kabisa,niliwahi kumsikia akisema kua Mbowe nae ni mwana-system, tena alidai kua Mbowe yumo tokea enzi za mwalimu.Sitaki kuhoji juu ya hilo maana hata Mh Mrema nae alisemwa hivyo hivyo lakini hivi sasa tunaona anavyolelewa.
Kilicho kikubwa hapa ni kuusema ukweli wa yasikikayo kwenye jamii na hisia za wanajamii kwa ujumla, kama haya mambo yana elements za ukweli basi Upinzani nchi haipo. Ndio maana kulipotokea mabadiliko na hali ya hewa na upepo wake kutaka kubadili uekekeo kuna watu waliingia mitini na wengine wakakimbilia kujiuzulu. Haya ndio majibu ya kwanini upinzani umefikia hapa ulipo.
Wana eagle wingJamani hii TISS ni kitu gani?
Magu anaingiaje hapo kama Ben alikuwa anawasaidia wapinzani wa kagameSaanane ni kichwa yule. A very intellectual dude. Am certainly sure yupo somewhere,abroad.
Ben Saanane alimtorosha kwenda Netherlands, binti mmoja mnyarwanda, aliyekuwa amewekewa mitego ya kutosha na Paul Kagame, kwa sababu ya kuwa critic wake. Binti yule akiwa angani ndani ya Emirates ndo Mashushushu wakajua,, kazi ya Ben hiyo!!
So, Ben alijua anytime atadakwa, in the height of the campaign of Fake PhD ya Magu.
Hujui uhusiano wa Magu na PK?Magu anaingiaje hapo kama Ben alikuwa anawasaidia wapinzani wa kagame
Hatimaye imefahamika.Huwa najaribu kumwangalia sana huyu mzee wangu hasa kuhusu kupotea kwa ndugu na mdogo wangu Ben Saanane, jamaa hua reaction yake ni ndogo mno isiyofanana na wadhifa wake pamoja na kazi aliyokua akiifanya Saanane kwenye ofisi yake.Ndio maana ubaridi wa Mbowe juu ya hili suala linawapa wapinzani wake midomo ya kusema wajuayo, hili halina ubishi kabisa.
Kama waziri mkuu alilivalia njuga suala la kupotea kwa Faru John na ukweli ukajulikana,Mh mbowe anashindwaje kutenga rasirimali za kutosha kutoka chama kuhakikisha ukweli juu ya huyu mtu unajulikana? ,na Mh Mbowe anashindwaje kuongoza wenzake ndani ya chama chake kwa namna yeyote kujua alipo mdogo wangu Ben ima awe hai au vinginevyo.Mbowe napata shaka sana nae juu ya hili suala,anajua nini? au nawe ni mojawao?
Kuna mzee mmoja ni mtu mzima kabisa,niliwahi kumsikia akisema kua Mbowe nae ni mwana-system, tena alidai kua Mbowe yumo tokea enzi za mwalimu.Sitaki kuhoji juu ya hilo maana hata Mh Mrema nae alisemwa hivyo hivyo lakini hivi sasa tunaona anavyolelewa.
Kilicho kikubwa hapa ni kuusema ukweli wa yasikikayo kwenye jamii na hisia za wanajamii kwa ujumla, kama haya mambo yana elements za ukweli basi Upinzani nchi haipo. Ndio maana kulipotokea mabadiliko na hali ya hewa na upepo wake kutaka kubadili uekekeo kuna watu waliingia mitini na wengine wakakimbilia kujiuzulu. Haya ndio majibu ya kwanini upinzani umefikia hapa ulipo.
Jamaa mzinguaji sanaUwezekano ni mkubwa kuwa yuko TISS, ndiyo maana akawa BOT kama mfanyakazi miaka hiyooooo kabla labda hata hujazaliwa yeye mbowe alisha fanya kazi BOT.
Na kipindi hicho cha Mwl. JK 1 ilikuwa shughuli kweli kweli kuhusu wafanyakazi wa idara hizo nyeti kama fedha na wizara zote na kumbuka Baba yake na huyo jamaa (Mbowe) alikuwa ccm siyo damu tu bali hadi machozi.
Sasa, kuhusu B8 , CDM wanajua alipo maana , siyo rahisi wote wale wakae kimya, eti hadi ZZK aje kupiga kelele japo nimeona tuhuma humu JF kuwa B8 alitaka kumpa sumu ZZK, lakini walinzi shirikishi wa ZZK wakamshinda B8,
Walinzi hao wasioonekana kwa macho wala kwa sayansi ya mzungu, isipokuwa kwa kutumia ulinzi mwingine shirikishi.
Kwa hiyo, pana uwezekano wa ZZK akawa amemficha kwa kutumia ulinzi wake shirikishi nani ajuaye??
Nchi hii sarakasi na mazigaombwe ni mengi sana katika siasa zetu, yaani hakuna wa kumuamini kuwa atatuvusha salama bila usela fulani.
Binafsi, nishie hapa; wengine waseme nao.
Yupo kazini katika kuilinda nchi na siyo kufanya siasa za mihemko za akina Heche na Lissu.Mbowe ameamua kuumaliza mwendo kwa njia ya aibu kubwa mno, ila damu ya Ally Kibao itamtesa sana maishani.