Uwezekano ni mkubwa kuwa yuko TISS, ndiyo maana akawa BOT kama mfanyakazi miaka hiyooooo kabla labda hata hujazaliwa yeye mbowe alisha fanya kazi BOT.
Na kipindi hicho cha Mwl. JK 1 ilikuwa shughuli kweli kweli kuhusu wafanyakazi wa idara hizo nyeti kama fedha na wizara zote na kumbuka Baba yake na huyo jamaa (Mbowe) alikuwa ccm siyo damu tu bali hadi machozi.
Sasa, kuhusu B8 , CDM wanajua alipo maana , siyo rahisi wote wale wakae kimya, eti hadi ZZK aje kupiga kelele japo nimeona tuhuma humu JF kuwa B8 alitaka kumpa sumu ZZK, lakini walinzi shirikishi wa ZZK wakamshinda B8,
Walinzi hao wasioonekana kwa macho wala kwa sayansi ya mzungu, isipokuwa kwa kutumia ulinzi mwingine shirikishi.
Kwa hiyo, pana uwezekano wa ZZK akawa amemficha kwa kutumia ulinzi wake shirikishi nani ajuaye??
Nchi hii sarakasi na mazigaombwe ni mengi sana katika siasa zetu, yaani hakuna wa kumuamini kuwa atatuvusha salama bila usela fulani.
Binafsi, nishie hapa; wengine waseme nao.
Saanane ni kichwa yule. A very intellectual dude. Am certainly sure yupo somewhere,abroad.
Ben Saanane alimtorosha kwenda Netherlands, binti mmoja mnyarwanda, aliyekuwa amewekewa mitego ya kutosha na Paul Kagame, kwa sababu ya kuwa critic wake. Binti yule akiwa angani ndani ya Emirates ndo Mashushushu wakajua,, kazi ya Ben hiyo!!
So, Ben alijua anytime atadakwa, in the height of the campaign of Fake PhD ya Magu.
Hivi Red Brigade kwa nini huwaizungumzwi kuhusu upotevu wa Ben, maana ndicho kikundi rasmi cha ulinzi wa viongozi na maliza chama kwa mujibu wa Katiba ya Chama cha Chadema. Waeleze, alipo kiongozi mwandamizi wa chama Ben.Mbowe kwa kweli anajua ukweli katika ili, kwa nini halizingumziii ata kidogo
Wewe ni mmoja wa wanakikundi cha red brigade cha Chadema? Kama jibu ni ndiyo, tueleze Ben alipo, maana lilikuwa jukumu lenu kumulinda.Kwani hamuwajui waliomteka?
Wanaofisi pale mikocheni wengine ni Ma-RPC ndiyo kazi Yao kuteka huku wakijifanya wanapambana na ujangili.
Kwani aliyekwenda kumteka NAPE Umeshamkamata
Hivi mkuu unaposema "ulinzi mwingine shirikishi" unamaanisha benchi la ufundi a.k.a ndumba mbona naogopa lakn kama kuna ka ukweli fulani kama amepiga kimya, hatutamsoma anyway huenda akamwinua dk za nyongeza bado anasoma mchezo
😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱 macho kodo nchi inakwenda kwa kupunga pepo, mavi ya popo Toooooka pepooooMkuu, unachekesha sana Haaa haaa ulinzi shirikishi , ni tunguri na sangoma na juju .
Siyo polisi jamii wala sungunsungu hiyo ni Ndumbalulooo!
😛😛🙂🙂
Ni kweli kabisa na ndio maana kila uchaguzi ccm wanaibia kura chadema na wao hawana nyingi fujo, na ndio maana ccm wanataka chadema Ife kama ilivyo kufa ccm, na ndio sizonje kuzuia ndio mikutano ya kisiasa hawaiogopi chadema, na ndio maana wamewapora wakina Mbowe club Bilicana nk.Kijana Bado unakua kumbe..Mbowe ni system tokea zamani. Na ni wapinzani wengi tu. Nyerere alikuwa smart sana alimake sure hawa jamaa wapo kila sehemu..!
Siku ukielewa maana ya system utasimulia....!!Ni kweli kabisa na ndio maana kila uchaguzi ccm wanaibia kura chadema na wao hawana nyingi fujo, na ndio maana ccm wanataka chadema Ife kama ilivyo kufa ccm, na ndio sizonje kuzuia ndio mikutano ya kisiasa hawaiogopi chadema, na ndio maana wamewapora wakina Mbowe club Bilicana nk.
Siyo kila system ni Ccm kijana..mbowe ni usalama.Ni kweli kabisa na ndio maana kila uchaguzi ccm wanaibia kura chadema na wao hawana nyingi fujo, na ndio maana ccm wanataka chadema Ife kama ilivyo kufa ccm, na ndio sizonje kuzuia ndio mikutano ya kisiasa hawaiogopi chadema, na ndio maana wamewapora wakina Mbowe club Bilicana nk.
System ipi hii inayolinda wezi au kuna nyingine zaidi.Sikh
Siku ukielewa maana ya system utasimulia....!!
We jitoe ufahamu tu, how come wanailinda ccm pamoja na maovu yote, kuwasaidia kuiba kura, kuwatisha wananchi na kuprotect wanao ifilisi nchi.Siyo kila system ni Ccm kijana..mbowe ni usalama.
Kwa hiyo Mwenyekiti wa Chama Cha Mauaji ni Green guard eh,na ndiyo maana green guard wanapewa vitambulisovya taasisi nyeti na kazi ya kuteka,kutesa na kuua?
Mdogo wangu Mwenyekiti wako hana Mbingu. Na siku yako utaenda peke yako hautuwa na mlinzi wala wakili.
Kesi zako utajitetea mwenyewe, adhabu yako ni ya kwako, jirekebisha tabia ya kuua watu si njema
povu la nn mbowe ni amri jeshi wa red guardKwa hiyo Mwenyekiti wa Chama Cha Mauaji ni Green guard eh,na ndiyo maana green guard wanapewa vitambulisovya taasisi nyeti na kazi ya kuteka,kutesa na kuua?
Mdogo wangu Mwenyekiti wako hana Mbingu. Na siku yako utaenda peke yako hautuwa na mlinzi wala wakili.
Kesi zako utajitetea mwenyewe, adhabu yako ni ya kwako, jirekebisha tabia ya kuua watu si njema
Ni naweza kukukatalia kwa asilimia 100.Ungesema asilimia 95 ya Viongozi wa Upinzani walikuwa wanaccm kwa fact kwamba ilikuwa hupati kazi wala huendelei chuo kikuu kama siyo CCM.
Baada ya hapo inategemea mapenzi ya MTU.Wengine 1992 baada ya vyama vingi tulichoma kadi za CCM hivyo ukiniambia mie mwanaccm nitakushangaa.
CCM tabia ya kutesa ilianza toka TANU usipokuwa mrengo wao walikutesa na Ku kufunga jela hivyo sishangai Magufuli kuamua kurudia CCM na TANU ya miaka ile.
Hivyo ka sababu ya ulazima wa kuwa mwanaccm enzi hizo haimaanishi Mbowe ni Mwanachama wa CCM.
Mkuu, Mbowe yuko Tiss tena mkongwe kabisawengi washabiki na wenye mahaba na Mbowe mnaweza kutetea hili, kwa sababu hamna aibu na hamjielewi
Mbowe angepaza sauti, angelia usiku na mchana...kumpata msaidizi wake, mwanachama wake kabisa
Tuacheni story