Mi ni chadema, lakini Mbowe haeleweki katika hili. Ndo maana mimi huwa nina appreciate sana Mafia Dons, ukimgusa au kumuua mtu wake ana deal na wewe mpaka mwisho!!! Na tena Mbowe ana pesa na chama kina pesa, na tena kina rasilimali watu wenye uwezo wa kila aina! Tazama mawazo alivyouawa, kimya... Ben Saanane kimya! Hiyo itawakatisha tamaa vijana wataka mabadiliko katika kujitolea, wataona hata likiwakuta lolote hakuna anaejali. Revenge is the best food when saved cold!
Ukiwa na pesa unaweza nunua information kutoka kwa yoyote! Baada ya hapo unazifanyia kazi.
Hilo mbona linajulikana hata gari analotumia ni jamaa wa system
Hilo ndilo lililo fanya Ben atoweke maana lilikuwa ni Dai kubwa na lingeshusha sifa na heshima ya JOM na UDSM bia.....nadhani USA thru CIA Fact book wataona Phd ya JPM kwenye tovuti na majarida yaoSaanane ni kichwa yule. A very intellectual dude. Am certainly sure yupo somewhere,abroad.
Ben Saanane alimtorosha kwenda Netherlands, binti mmoja mnyarwanda, aliyekuwa amewekewa mitego ya kutosha na Paul Kagame, kwa sababu ya kuwa critic wake. Binti yule akiwa angani ndani ya Emirates ndo Mashushushu wakajua,, kazi ya Ben hiyo!!
So, Ben alijua anytime atadakwa, in the height of the campaign of Fake PhD ya Magu.
unajua maana ya kiapo "kiapooo" mimi .... naapa kwamba sintatoa siri nje katika muda wangu wote wa maishani jambo la ajabu sana bosi kutojali hatma ya msaidizi wake binafsi.
Jamani hii TISS ni kitu gani?
Mbowe anakatisha tamaa wanachama wake. Ni mbinafsi sana. Pray capitalist behavior! Anakujali pale tu unapomtumikia. Lakini hiyo tabia ina repercussion yake. WATU HAWAWEZI KUWA LOYAL KWAKO. why should they be? You don't care about them, the are just NOTHING! ajue watu wanaakili na wana observe kila analofanya. Mi binafsi nafikiri ni muda wa Mbowe kukaa pembeni sasa.
Hujui hata naongelea pesa katika content ipi! Nyie ndo mnaosababisha chadema tunaitwa manyumbu!Hivi utamlaumu Mbowe kwa kesi ya Mawazo?? Hivi kama Mahakamani hakuna haki unategemea Mbowe afanye je??Aongeze vijana kuuawa??
Hapa aliwakataza kuandamana na wamemteka Ben wangeandamana Policcm waliplan kuua wangapi??
Utu kwanza pesa baadaye
Mbowe anajua Ben alipo.
Sth tells me this dude knows where the boy is... !?¿
PhD ya Mkullu ni fake na yeye anajua hana PhD ndiyo sababu wamemteka Ben either wanamlazimisha kufuta kauli au wameamua kumuua sababu amekataa kutengua tafiti yake.
Vyote hivyo vina ukweli. Kama Mkullu PhD yake ingekuwa valid kulikuwa n sababu gani ya kupotea kwa Ben na alisema mwenye proof aweke hakuna aliyeweka.
Vyomba vya Usalama vina la kujibu kwenye hili.
Una uhakika hakufanya??Mbowe alisema,Lissu aliongea Bavicha walisema unataka waseme kwa kutumia nini??
Pamoja na kusema bado walipeleka kesi polisi,je polisi walifanya kazi yao??
Jibu ni hapana sababu walijua Ben yupo kwao kwa order ya Mkullu.
Unajingine??
Kama Mbowe angekuwa ana miliki vyombo vya dola ningemlaumu sana
Ila wanaomiliki vyombo vya dola ndiye waliyemteka Ben period.
Na wanajua walipomuweka kama kumuua au yuko hai Polisi na vyombo vya dola na mabosi wake wanajua hilo.
Hili ni pamoja na Bashite na wale Green guard waliowekwa kule kwenye taasisi nyeti
Huyu saa8 alipotea tangu wakati gani hadi sasa? Hivi wakati ule wanaenda kuhutubia bunge la EU au wakati wanaenda Ghana Kumwapisha Rais alikuwa ameishapotea au amepotea sambamba na Roma Mkatoliki?wengi washabiki na wenye mahaba na Mbowe mnaweza kutetea hili, kwa sababu hamna aibu na hamjielewi
Mbowe angepaza sauti, angelia usiku na mchana...kumpata msaidizi wake, mwanachama wake kabisa
Tuacheni story
ni jambo la ajabu sana bosi kutojali hatma ya msaidizi wake binafsi.