MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Huwa najaribu kumwangalia sana huyu mzee wangu hasa kuhusu kupotea kwa ndugu na mdogo wangu Ben Saanane, jamaa hua reaction yake ni ndogo mno isiyofanana na wadhifa wake pamoja na kazi aliyokua akiifanya Saanane kwenye ofisi yake.Ndio maana ubaridi wa Mbowe juu ya hili suala linawapa wapinzani wake midomo ya kusema wajuayo, hili halina ubishi kabisa.
Kama waziri mkuu alilivalia njuga suala la kupotea kwa Faru John na ukweli ukajulikana,Mh mbowe anashindwaje kutenga rasirimali za kutosha kutoka chama kuhakikisha ukweli juu ya huyu mtu unajulikana? ,na Mh Mbowe anashindwaje kuongoza wenzake ndani ya chama chake kwa namna yeyote kujua alipo mdogo wangu Ben ima awe hai au vinginevyo.Mbowe napata shaka sana nae juu ya hili suala,anajua nini? au nawe ni mojawao?
Kuna mzee mmoja ni mtu mzima kabisa,niliwahi kumsikia akisema kua Mbowe nae ni mwana-system, tena alidai kua Mbowe yumo tokea enzi za mwalimu.Sitaki kuhoji juu ya hilo maana hata Mh Mrema nae alisemwa hivyo hivyo lakini hivi sasa tunaona anavyolelewa.
Kilicho kikubwa hapa ni kuusema ukweli wa yasikikayo kwenye jamii na hisia za wanajamii kwa ujumla, kama haya mambo yana elements za ukweli basi Upinzani nchi haipo. Ndio maana kulipotokea mabadiliko na hali ya hewa na upepo wake kutaka kubadili uekekeo kuna watu waliingia mitini na wengine wakakimbilia kujiuzulu. Haya ndio majibu ya kwanini upinzani umefikia hapa ulipo.