Mbowe na Silinde wafunika sokoine Mbeya

Kwani kulikuwa na shimo mpaka wafunike? au kitobo?

Unga ni unga ila ukibwia ile nyeupe sana utakuwa unakurupuka tu. Kama huyu lemutuz ameshanganyikiwa cjui hata kama hizo dawa wanazompa zitamsaidia. Lemutuz mtafute riz1
 
Natumia ID isiyo kificho na picha yangu umeiona, nakushauri kuanzia leo anza kunitafuta ili nikukwamue hapo ulipo
Sio matusi, lakini nadhani familia yako itafarijika sana ikisikia nakutafuta,

USIPENDE KUDHARAU MTU USIE MJUA KENGE WEEE!
Naamini familia yake Baba V watawahi polisi wakisikia wewe Lukosi unamtafuta maana ukimpata tu Kucha na macho yake vitakuwa haatarini! maana nyie sio watu wazuri hata kidogo.
 
Loo huku kulalamika kweli leo mkuu umepatikana, ebu jaribu basi kujiheshimu acha kupost ujinga
 

ni hivi , hawa cdm wana ile harufu ya ukombozi !
 
Hela ya ruzuku wanaitumia kuwapeleka BAVICHA kwenye mafunzo maalumu ya kuporomosha matusi.

Kumbe hayo matusi yako yaligharimiwa na chama chako? Bora imejitokeza hadharani.
 
iv hili jukwaa la siasa au matusi au jukwaa kati ya ccm na chadema..mnatusumbua sana na ma vyama yenu yasiyo na mbele wala nyuma#give us another round..bora kulipa kodi tu hapa
 
Dar walanguzi wamemaliza ticket za 5,000 na 7,000, labda ndio habari ya mjini sasa. Mnyama anapasuka tena ya Mbeya yamepita. Usumbufu wa kuingia uwanjani hata kama unaticket na VIP huitaji ticket FFU wanachukua mshiko tulidhani wanasiasa wangetusaidia HAPA na polisi wasipige mashabiki marungu kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi.

Kesho iwe burudani zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…