Mbowe na Silinde wafunika sokoine Mbeya

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
4,700
Reaction score
1,090
Habari wadau

Wakati mechi kati ya Mbeya City FC na JKT Ruvu ikiendelea katika uwanja wa Sokoine Mbeya, ghafla ameingia mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh.Freeman Mbowe akiwa ameongozana na Mh.Silinde mbunge wa Mbozi pamoja na viongozi wengine wa Chadema,Uwanja mzima umeripuka kwa furaha huku washabiki wakionyesha alama ya vidole viwili,

Mh,Mbowe pamoja na viongozi wenzake wamekaa jukwaa la maashabiki wa Mbeya City FC....

My take:

Hakika Chadema yatosha Mbeya.
 
Pamoja xana makamanda wa Mbeya. CHADEMA ni BABA LAOOOOO!! Niulize baba lao nani?
 

isheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...................................................
 
mkulu wa nchi akijihusisha na stars lazima tushindwe.either kwa kuwatakia mafanikio au kwa kuhudhuria uwanjani.hongera MCC
 
Waliwapelekea kitu cha R chuga nini?
:A S 39:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…