Mbowe na siasa

Mbowe na siasa

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2010
Posts
2,182
Reaction score
309
Naandika ukurasa huu nikiwa kwenye mkutano wa CHADEMA, na wakati huu Mh Mbowe ndiye anaongea.

Naomba nikili kuwa mimi ni mpenzi wa CHADEMA lakini kwa uhakika Mbowe hawezi kuwa mwenyekiti wa chama kilichoko madarakani, ninaamini kuna wanachama wengine wanaoweza kuiongoza CHADEMA kuwa chama tawala lakini siyo Mbowe kwa sababu anajazba na papara zaidi kuliko kujenga hoja.

Naomba niwashauri wale wanaochagua mwenyekiti wamchague hata Baregu, au hata Mkumbo lakini Mbowe?? Mmmhhh
 
Naandika ukurasa huu nikiwa kwenye mkutano wa CHADEMA, na wakati huu Mh Mbowe ndiye anaongea.
Naomba nikili kuwa mimi ni mpenzi wa Chadema lakini kwa uhakika Mbowe hawezi kuwa mwenyekiti wa chama kilichoko madarakani, ninaamini kuna wanachama wengine wanaoweza kuiongoza Chadema kuwa chama tawala lakini siyo Mbowe kwa sababu anajazba na papara zaidi kuliko kujenga hoja.

Tunampango wa kumchagua Shibuda kuwa mwenyekiti. Hapo Je?
 
Naandika ukurasa huu nikiwa kwenye mkutano wa CHADEMA, na wakati huu Mh Mbowe ndiye anaongea.
Naomba nikili kuwa mimi ni mpenzi wa Chadema lakini kwa uhakika Mbowe hawezi kuwa mwenyekiti wa chama kilichoko madarakani, ninaamini kuna wanachama wengine wanaoweza kuiongoza Chadema kuwa chama tawala lakini siyo Mbowe kwa sababu anajazba na papara zaidi kuliko kujenga hoja.
Naomba niwashauri wale wanaochagua mwenyekiti wamchague hata Baregu, au hata Mkumbo lakini Mbowe?? Mmmhhh

Nani kakwambia kwamba tunahitaji ushauri wako wa nani anafaa kuwa mwenyekiti wetu???
 
nape nnauye anafaa kuwa mgombea urais ccm 2015 na jerri slaa awe waziri mkuu unaonaje are u happy go to hell
 
Naandika ukurasa huu nikiwa kwenye mkutano wa CHADEMA, na wakati huu Mh Mbowe ndiye anaongea.
Naomba nikili kuwa mimi ni mpenzi wa Chadema lakini kwa uhakika Mbowe hawezi kuwa mwenyekiti wa chama kilichoko madarakani, ninaamini kuna wanachama wengine wanaoweza kuiongoza Chadema kuwa chama tawala lakini siyo Mbowe kwa sababu anajazba na papara zaidi kuliko kujenga hoja.
Naomba niwashauri wale wanaochagua mwenyekiti wamchague hata Baregu, au hata Mkumbo lakini Mbowe?? Mmmhhh

Mkuu CD kama hii ya kwako haiuziki, utasikiliza wewe na familia yako ambao ni member wa Lumumba.
 
Hivi unatuma hiyo thread ukitarajia jibu gani, ninakushangaa maana Mwenyekiti unayemsema ndiyo anatesa vichwa vya magamba ambao walikwishatamka hadharani kuwa Cdm ni chama cha msimu, na mwaka huu mwenyekiti huyo atawatesa vilivyo.
 
Mkuu Ntemi Kazwile, CHADEMA ni ya baba mkwe wake Mh. Mbowe.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Binafsi kuna mwanaharakati alikaribia kuniivisha, kuwa Mbowe anweza asikivushe chama uchaguzi ujao hasa zitakapohitajika harakati za kwenda barabarani kuwaondoa kwa nguvu Ccm watakapokatalia madarakani baada ya kushindwa 2015. Baadae nilijiuliza nani anaweza harakati kama za Mbowe hasa wakati huu kabla ya uchaguzi? Kwa siasa za Afrika na hasa ukiwa na chama tawala kama Ccm, unahitaji harakati zaidi na Mbowe ni kiboko kwenye karakati.
 
Labda hizo papara ndo zinahitajika kwa sasa maana ana mafanikio makubwa katika hiyo nafasi yake, we hamia SAU au TLP hawaonekani kuwa na papara, sisi tunahitaji mtu atakayesaidia kuharakisha mageuzi
 
Mbowe lazima awe mwenyekiti na mgombea wa urais wetu, hutaki ondoka kwenye chama
 
Naandika ukurasa huu nikiwa kwenye mkutano wa CHADEMA, na wakati huu Mh Mbowe ndiye anaongea.
Naomba nikili kuwa mimi ni mpenzi wa Chadema lakini kwa uhakika Mbowe hawezi kuwa mwenyekiti wa chama kilichoko madarakani, ninaamini kuna wanachama wengine wanaoweza kuiongoza Chadema kuwa chama tawala lakini siyo Mbowe kwa sababu anajazba na papara zaidi kuliko kujenga hoja.
Naomba niwashauri wale wanaochagua mwenyekiti wamchague hata Baregu, au hata Mkumbo lakini Mbowe?? Mmmhhh

nina pata kigugumizi,cha kuamini wewe ni chadema kweli au umejitambulisha tu kwa mwamvuli wa chadema lakini ni kambi nyingine,kwa mtu yoyote awe mwana chadema au asiyekua mwana chadema,atakubali kwamba mbowe,amestahili na ameitendea haki nafasi ya umwenyekiti wa chadema,nikuulize swali miaka 10,iliopita uliifaam chadema au ili iona chadema kama unavyo iona leo,jibu mweyewe,leo chama kimepata mafanikio makubwa sana katika medani za siasa tanzania,nakua chama kikuu cha upinzani tanzania,chama kimeongeza idadi ya wanachama,ubunge,na,udiwani,kimeendelea kushinda hata nafasi za wenye viti wa vitongoji,je hayo sio mafanikio chini,ya mwenyekiti mbowe,chama kinazidi kujipanua kila kukicha na kuvuna maelfu ya watanzania,kukipenda na kukiamini,chamsingi hapa ni kumpongeza ndg,mbowe tena sana,mbowe,ni mfano wa kuigwa na wenye viti wa vyama vingine,kwa utendaji wake uliotukuka,bg up ndg,mbowe,
 
Katika wenyeviti wote, wewe ni Mbowe ndio umemuona hafai...? Kama ndivyo, CHADEMA imefikaje hapa ilipo wakati wengine wanayumba? Wanaobeza upinzani hawafahamu dhana ya demokrasia.
 
Naandika ukurasa huu nikiwa kwenye mkutano wa CHADEMA, na wakati huu Mh Mbowe ndiye anaongea.
Naomba nikili kuwa mimi ni mpenzi wa Chadema lakini kwa uhakika Mbowe hawezi kuwa mwenyekiti wa chama kilichoko madarakani, ninaamini kuna wanachama wengine wanaoweza kuiongoza Chadema kuwa chama tawala lakini siyo Mbowe kwa sababu anajazba na papara zaidi kuliko kujenga hoja.
Naomba niwashauri wale wanaochagua mwenyekiti wamchague hata Baregu, au hata Mkumbo lakini Mbowe?? Mmmhhh

Utakuwa na matatizo ya akili yaani wewe ni mshabiki tu then unawachagulia kiongozi wanachama ambao michango yao ya kila mwaka ndio inayoendesha hiki chama,hv umeishirikisha akili ulipoandika huu uzi au masaburi?
 
Naandika ukurasa huu nikiwa kwenye mkutano wa CHADEMA, na wakati huu Mh Mbowe ndiye anaongea.
Naomba nikili kuwa mimi ni mpenzi wa Chadema lakini kwa uhakika Mbowe hawezi kuwa mwenyekiti wa chama kilichoko madarakani, ninaamini kuna wanachama wengine wanaoweza kuiongoza Chadema kuwa chama tawala lakini siyo Mbowe kwa sababu anajazba na papara zaidi kuliko kujenga hoja.
Naomba niwashauri wale wanaochagua mwenyekiti wamchague hata Baregu, au hata Mkumbo lakini Mbowe?? Mmmhhh

Mkuu,
Ukitaka ushauri wako wa busara ufanyiwe kazi, wasiliana na Mzee Mtei. Yeye ndiye anayeamua nani awe mwenyekiti. Ila kuwa makini, hata yeye alishasema "we can not allow a man from NOWHERE to be our chairman".

Kwa hawa bendera fuata upepo wa mitaani utaambulia matusi tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom