Mbowe na Salumu Mwalimu kuwasha moto ndani ya mji wa Kahama leo

Tabora yetu

Senior Member
Sep 13, 2014
139
21
Mh,mbowe na salumu mwalimu na viongozi wandamizi wa chadema kuunguruma leo mji kahama kuanzia majira ya 14:00pm au saa nane mchana ni mwendelezo mh mbowe kuimarisha kanda zote ili kurahisisha ushindi hapo mwezi wa kumi ikumbukwe imesalia miezi 6 tu kufika mwezi wa kumi kamanda wa anga yupo kanda ya ziwa na kanda ya magharibi kuwaweka sawa viongozi wa kanda kwa maandalizi ya kuiondoa ccm magogoni viva chadema
 
Chadema sijawasikia wakitoa pole kwa wahanga wa Kahama, Hawana utu kabisa kwa watanzania wenzao .
 
Ni bora asiyetoa pole kwa wahanga kuliko CCM na Serikali yake ambao wameenda kuiba vyakula na misaada kibao waliopewa hao wahanga wa mafuriko.
 
CCM ni wanafiki sana wanajifanya kukimbilia huko kumbe wanakimbilia kuiba. Ukiwa Mwizi huchagui kitu cha kuiba.
 
Watanzania mpo??

ONYO;
Usishike, Usiguse, Usijaribu ,Usionje, haifai kwa matumizi ya mwananchi. Muda wake wa matumizi umeisha kabisa,
EXPIRY DATE
30/10/2015.
CCM ni SUMU
weka mbali na Watu wote bila kujali ,Rika, Kabila, Dini, Ukoo, Jinsia wala hali ya mtu. (SUMU HAIJARIBIWI) WATANZANIA WAMEIJARIBU CCM KWA ZAIDI MIAKA 40 LAKINI HAITIBU , INAUA TU! OCTOBER 2015 KATAA CCM. Tuma sms hii kwa wapiga kura 10. Kuiokoa Tanzania.
 
Back
Top Bottom