Mbowe na ruzuku ya CHADEMA

Kimbunga
Ni lini uliona CHAMA CHOCHOTE cha siasa kikajibu hoja ya FEDHA kwa namna mnavyotaka iwe?

Hivi hata sisi CCM tumewahi kufanya hivi?

Nilidhani CAG ambaye anatuwakilisha wananchi, anapaswa kuanika wazi maswala haya ya fedha zetu kwa mgongo wa ruzuku kwa vyama vyote!
 
Nani kamwambia ajibu? Kama alikuwa anataka kujibu angetuletea figures hapa badala ya maneno ambayo ni utaratibu tu na wala si matumizi ya fedha.
Mkuu hukumsikia CAG alisema huko kuna mchwa anatafuna ruzuku?
 
Labda Wana shift 4 mkuu, kuanzia walinzi mpaka wafagizi ndani yaasaa 24 mpaka mamesenja.
 
Nani kamwambia ajibu? Kama alikuwa anataka kujibu angetuletea figures hapa badala ya maneno ambayo ni utaratibu tu na wala si matumizi ya fedha.
Mkuu hukumsikia CAG alisema huko kuna mchwa anatafuna ruzuku?
Nilimsikia sana Mkuu, ndio maana nikatoa rai kwa CAG asiishie tu kutoa sauti tukasikia asemacho, atupe makabrasha yote ili tusime na kuyaona!

Makene amekuea mwepesi sana. Hajui propaganda na namna ya kujibu maswala ya msingi!...nadhani anajibu kama Makene na si Kile ambacho Chama kimeamua na kuruhusu kisemwe!

Hawa Mchwa wapo pa de zote. Ndio maana twamtaka CAG aweke mambo hadharani ili kila raia aweze ku access hizo taarifa na kujua namna hela yake inavyotafunwa!
 
Naunga mkonohoja yako..vile vichumba vitatu viwe na wafanyakazi sabini..duuuuu...wanakaa chini labda wotebila meza wala kiti...hivi ndivyo ambavyo wanaanzaga kuiba mahela...kwa kutoa data za uongo......hahahahah
Huenda idadi kubwa ni wafagizi na walinzi ambao kazi yao ni kukaa nje tu! Huenda wapishi na shambaboy wa viongozi wote na hata wale wa wadhamini ni wafanyakazi wa makao makuu. Mkuu kwa hiyo siyo wote wapo kwenye kale kagetho, wengine wapo Hai, wengine Kibamba na wengine kwenye mashamba ya maua!!
 
Hivi Chadema ni Mbowe tu.hakuna wafuasi na wanachama nchi nzima?.
Hivi hujagundua kwamba pesa zinaingia kwanza kwenye mfuko wa wadhamini, unawafahamu hao wadhamini?
 
Kuwa Disappointed na CCM haimaanishi Chadema ndio mbadala. Wananchi hawaoni chochote chenye tija kuichagua Chadema na badala yake wanaona ni bora jini likujualo halikuli likakwisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…