Ni vigumu sana kushindana na kipaji cha mtu. Nimefiatilia kwa muda Mbowe na Lissu wana vipaji tofauti lakini wana vipaji vya hali ya juu kuliko wanasiasa wengine.
Ni kwamba tu wapo kwenye siasa na siasa za upinzani. Lakini huwezi kushinda vipaji kama vile kama Obama naye anakipaji cha hivyo.
Hawa ni wale ambao ni 1/1000,000 . Mbowe na Lissu wanaweza kufanikiwa kwenye sehemu yoyote, nchi yeyote duniani ambayo iko huru. Vipaji vya Mungu havizuiliki mpaka kifo. Ambao hamjui Lissu amekuwa hivyo kutoka miaka ya 1985-1986.
Kuna debate ilikuwa historia wakati niliposoma Ilboru miaka ya mwanzo ya tisini hii debate ilifanyika mwaka 1986 pale Ilboru na topic ilihusu Regan kupiga bomu nyumba ya Ghadafi na kuua mtoto wake lissu alikuwa upande mmoja na lawyer mwingine Joseph Mpuya alikuwa upande mwingine wa hoja.
Hii debate ipo kwenye historia za shule hivyo kupigana na mtu mwenye talent hivi za kuzaliwa huwezi kushinda.
Tukija kwa Mbowe
Mboe kipaji chake ni fixer ni watu wachache sana ambao wanakuwa na kipaji hiki yaani ni mkurugenzi CEO na anaweza kuendesha kampuni yeyote Duniani.
Ndiyo maana unaona CEO wanalipwa $M kwa mwaka. Bank ya wellsfago ilikuwa haipati CEO na mshahara ni $45M kwa mwaka maana hii sio kusoma, au uzoefu bali ni kipaji maalumu kupata hizi kazi.
Mbowe hata kufa njaa hata mfanye nini maana ana kipaji maalumu ambacho huwezi kukitoa na ni ngumu kuziba pengo.
Ni kwamba tu wapo kwenye siasa za upinzani. Zitto ndiye mwenye kipaji cha kawaida msomi ana akili anajua kuandika na kuongea lakini vipaji vya lissu na Mbowe ni tofauti hawa ni genius.