Ni wakati sasa kwa watanzania kuujua 'USANII' wa CHADEMA ambao wamekuwa wakitufanyia kwa muda mrefu sasa.
USANII huo wamekuwa wakiufanya mara kwa mara bila ya watanzania kujua chochote, hali inayopelekea kuendelea kuaminiwa.
Lakini sasa kwa hili la bomu la Arusha, watanzania ni wakati muhafaka wa kujua hasa dhamira ya viongozi hawa wa CHADEMA.
Hivi karibuni, baada tu ya ajali ya bomu kutokea, Mbowe alijitokeza kwenye vyombo vya habari na kutoa TAMKO kuwa yeye ana ushahidi wa video yenye kumuonyesha mtu anaedaiwa kurusha 'bomu' kwenye mkutano wake uliofanyika viwanja vya Soweto, Arusha.
Jambo la kushangaza ni kutoweka kwa bwana Mbowe na mwenzake Lema, mara tu baada ya kuombwa wapeleke ushahidi wao polisi, lakini vilevile, jeshi la polisi limempa Mbowe fursa ya kupeleka ushahidi huo wa video IKULU, kama Mbowe hana imani na jeshi hilo.
Ndugu watanzania, kwa hali kama hii ya polisi kuomba ushirikiano wa bwana Mbowe katika kubaini muhusika wa tukio la mlipuko, na kitendo cha Mbowe kujificha na ushahidi huo (kama kweli upo), inakupa picha gani?
"HUU NDIO USANII WA CHADEMA."