Hammy d jitokeze uwaambie tena wana jf kuwa viongoz wa cdm wamejificha. We unakuwa kama hujasoma awal, hiv hujui mbowe ana hadhi ya kitaifa kama mwenyekit? Hujawah kujifunza juu ya polis waliotaka kumkamata mtikila? Lazima wawasiliane naye,kama hawakumpigia sim au kumtafuta na kumtaka alipot polis ulitaka ajipendekeze? Kuhusu ushahid vp ule wa mwigulu aliodai ana video 4 kapeleka polis? Wa lukuv kuwa cdm inahusika kapeleka? Wa nape je, vp wa shonza na mwampamba, pinda kasema wake,bom ni la china,vp wako umepeleka? Au ni ushabik na unafik? Cdm itatoa ushahid mda watakapotulia, watz wako kwenye majonzi. Mi si msemaji cdm ila huo ndio ukweli.ngoja tuwazike wenzetu,labda kesho nitazikwa mimi,mpaka tz iwe huru.