Kila mtu ? Eti ma lumumba ndio kila mtu. Waachie CDM yaliyo ya CDM. ACHENI unafiki. Hangaikeni na mwenyekiti wenu. Kwenu huko mmekabwa hakuna ruhusa hata kushauri, ukikohoa tu Shangazi yako ndio atadhurika.Wahenga wanasema kwamba Chura ukimuweka kwenye maji ya moto huruka mara moja na kutoka lkn ukimuweka kwenye maji ya uvuguvugu na atakaa, na ukiongeza joto la maji kidogo kidogo Chura atasikia raha na kuendelea kubakia kwenye maji huku akifurahia joto, ukiendelea kuongeza joto la maji na maji kuanza kuchemka Chura atakuja kushtuka kwamba anapaswa kuruka lkn anakuwa ameshachelewa na maji kumpika na kumuua.
Mbowe sasa hivi ni Chura ambaye yuko kwenye yanayongezeka joto pole pole huku akisikia raha, badala ya kuruka kungali mapema.
Kama kila mtu anakutaja wewe ni tatizo lkn hausikii na unang’ang’ania, una tofauti gani na Chura?
Kuna watanzania 28000 wanamtegemea kwa ajira!Huyo Muhindi hanihusu mimi, apatikane asipatikane mtajuana wenyewe mandondocha.
Ameajiri vijana zaidi ya elfu 20. wewe house girl tu umeshindwa kumuajiriHuyo Muhindi hanihusu mimi, apatikane asipatikane mtajuana wenyewe mandondocha.
. Uelewa wa watanzania wengi juu ya vyama vingi ni mdogo sana, Hivi vyama ni vya umma mimi na wewe, iweje alie? Kwani ni biashara?. Kuna hasara kubwa kutokuwa na vyama imara vya upinzani. Kwani waliohama ni wanachama au mwakilishi!. Ati Mbowe alie kwa kipi cha ajabu wakati ni siasa haramu, hakuna natura death hapo. Poor mind.Chama kinakufa NATURAL DEATH hata Mbowe hana namna ya kukinusuru. Naamini anatamani kukinusuru lakini hana jinsi anaumia moyoni tu. Atakuwa anajifungia ndani analia peke yake
Sawa hata yeye hakujui wewe , wala hakuna sababu ya ww kujaliHata akiajiri nchi nzima, mimi hanihusu na wala sijali na kitakalo mpata!
Huyo mhindi ni Mtanzania mwenzako, usiwe na roho ya kibaguzi. Ndiyo maana maeneo yenye wabunge wa upinzani hampeleki maendeleo.Huyo Muhindi hanihusu mimi, apatikane asipatikane mtajuana wenyewe mandondocha.
Hivi hii dunia ikiwa watu wote watakuwa na akili kama zako za ubinafsi uliopitiliza kama huu itakuwa mahali salama ya kuishi kweli?!Hata akiajiri nchi nzima, mimi hanihusu na wala sijali na litakalo mpata, mimi na yangu hamna nafasi ya kujali mwingine!
Hawakuelekea Masaki......walielekea upande Wa st Peter's!Hata akiajiri nchi nzima, mimi hanihusu na wala sijali na litakalo mpata, mimi na yangu hamna nafasi ya kujali mwingine!
Chama kinakufa NATURAL DEATH hata Mbowe hana namna ya kukinusuru. Naamini anatamani kukinusuru lakini hana jinsi anaumia moyoni tu. Atakuwa anajifungia ndani analia peke yake
CCM bana...Wahenga wanasema kwamba Chura ukimuweka kwenye maji ya moto huruka mara moja na kutoka lkn ukimuweka kwenye maji ya uvuguvugu na atakaa, na ukiongeza joto la maji kidogo kidogo Chura atasikia raha na kuendelea kubakia kwenye maji huku akifurahia joto, ukiendelea kuongeza joto la maji na maji kuanza kuchemka Chura atakuja kushtuka kwamba anapaswa kuruka lkn anakuwa ameshachelewa na maji kumpika na kumuua.
Mbowe sasa hivi ni Chura ambaye yuko kwenye yanayongezeka joto pole pole huku akisikia raha, badala ya kuruka kungali mapema.
Kama kila mtu anakutaja wewe ni tatizo lkn hausikii na unang’ang’ania, una tofauti gani na Chura?
Hongera mkuuMbowe ndio mtumiaji wa nguvu
ungeweka nyama sasaMbowe ndio mtumiaji wa nguvu
Ni mapema sana sasa hivi kuwa na hasira ya namna hii, mambo ndo kwanza yanaanza. Mbowe chama kinamfia mikononi kwa sababu hajui afanye nini kuresque situation amebaki bumbuazi tu. Hana mbinu wala mkakati wowote kama mkt anasubiri kusoma magazeti apate habari za nani kaondoka lini.. Uelewa wa watanzania wengi juu ya vyama vingi ni mdogo sana, Hivi vyama ni vya umma mimi na wewe, iweje alie? Kwani ni biashara?. Kuna hasara kubwa kutokuwa na vyama imara vya upinzani. Kwani waliohama ni wanachama au mwakilishi!. Ati Mbowe alie kwa kipi cha ajabu wakati ni siasa haramu, hakuna natura death hapo. Poor mind.
Shetani anamshauri Mungu awaokoe watu katika ovu,badala ya kushangilia kupata wa kwenda nao motoni.CCM bana...
Nashangaa badala CCM iiache CDM ifeli eti wao ndio wamekua washauri na watetezi wakubwa now....
How can I trust CCM mna best interest of CDM at heart kama sio sanaa hizi?
What a joke!
Nadhani ni vizuri ili chadema ife. ccm mfurahi, si mlijiapiza kwamba mtahakikisha chadema inakufaWahenga wanasema kwamba Chura ukimuweka kwenye maji ya moto huruka mara moja na kutoka lkn ukimuweka kwenye maji ya uvuguvugu na atakaa, na ukiongeza joto la maji kidogo kidogo Chura atasikia raha na kuendelea kubakia kwenye maji huku akifurahia joto, ukiendelea kuongeza joto la maji na maji kuanza kuchemka Chura atakuja kushtuka kwamba anapaswa kuruka lkn anakuwa ameshachelewa na maji kumpika na kumuua.
Mbowe sasa hivi ni Chura ambaye yuko kwenye yanayongezeka joto pole pole huku akisikia raha, badala ya kuruka kungali mapema.
Kama kila mtu anakutaja wewe ni tatizo lkn hausikii na unang’ang’ania, una tofauti gani na Chura?