Mbowe na Chopper ya Jeshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe na Chopper ya Jeshi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NDOFU, Jun 7, 2011.

 1. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni katika hali ya kuthibitisha uchovu wa jeshi la Polisi kwamba hawana hata helikopita (kama ni kweli ilibidi asafirishwe kwa helikopita) au zile walizonazo zimeharibika! Au ilikuwa nikumpa hofu Mh Mbowe?! Au tuamin tu kwamba kama maisha yao polisi yalivyo mabaya(kuishi kwenye vibanda vya mbavu za mbwa wengine watoto wao wa kike na kiume wanalala chumba kimoja,polisi hawana kitu,mishara midogo-mikopo yao haikidhi,kupandishwa vyeo mpaka waue majambazi(wananchi!) hata vitendea kazi hawana? au yalikuwa ni matumizi ya nguvu nyingi na matumizi mabaya ya pesa za wananchi.Kweli jamaa wamepigika hata Helikopita hawana? Kwa hiyo majambazi wakikimbilia kwenye mistu minene wataomba tena helkopita jeshini?!
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  nyumba za mbav za mbwa si nzur?? Nyumba zao za bati, jua likiwaka wanatoka nje wote! Yan wana sifa wakat wana maisha duni kulko unavyodhan.
   
 3. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Ukitaka kumtawala mtu mnyime elimu. Sitegemei mtu aliyeishia form four awe polisi alaf aje kudai haki zake. Kujaribu kusoma ukaacha bora usisome kabisa ili udaki haki kutokea upande wa illiterate au basi literate but not semi-illiterate. Siku moja nimemtembelea polisi oysterbay,nkakuta anavuta umeme mwenyewe kutoka kwenye nyumba ya bati/full suti kwenda kwenye kibanda cha mbao pembeni. Nikakaribishwa tukaenda ndani,kochi moja lina mito,lingine linakaliwa chaga,hapo ana jiko la umeme na jagi ya maji,ana watoto wa kike wawili wako makongo sekondari,mmoja primari,msosi ukaandaliwa,binti kaenda nje pembeni ,kavuna majani ya viazi vitamu,na bamia ,kwa kweli nlishangaa sana. Nkaomba kwenda haja ndogo,jaman choo cha ajabu na upande wa mwanamke na mwanaume utenganishwa na kigunia! Jamani fikeni vituo vya polisi mjionee! Hawa watu wameshajikubali ivo ivo wala hawaoni taabu. Najua wakipewa somo watajikomboa!
   
 4. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Mimi mwenzenu bado naendelea kuzaa watoto sitaki nijichukulie laana hapa mi nanyamaza zangu kimya!!!!!!!!!!!
   
Loading...