Mbowe: Mwulizeni zitto niliko mtoa

Anasubiri nin kumfukuzaaaa mmekalia kutuimbia taarabu

Yaan Mbowe kama wewe ni jasiri unaweza jamba hata mbele ya mzee mtei ukimfukuza Zito nahamia CHADEMA pia nagombea umwenyekiti taifa ntaakuaminia vibayaaaa
 
Miaka 23 ya kula hela za chama halafu anasema hajalipwa mshahara,hili jamaa jizi kweli

Ndio kauli za Wachaga hizo wala usishangae. Na bado kwani watapoingia ikulu ndio msahau. Wizi utaofanyika kwa miaka mitano tu ni zaidi ya ule wa CCM kwa miaka 50.

Chambua maelezo yake kama ninavyoyanukuu hapa chini:
“Nikiwa katika harakati zangu za kukijenga chama, nilipita Chuo Kikuu chaDar es Salaam …nilibahatika kuwapata
kina John Mrema, Halima Mdee, Zitto Kabwe, John Mnyika wakiwa viongozi ambao walipenda siasa ya mabadiliko,
nami nikaondoka nao bila ya kusita,” alisema. Alisema nia ya kuwachukua vijana hao ni kujenga chama kama taasisi ili kisonge mbele tofauti na ilivyo sasa na siyokujenga jina la mtu kama watuwanavyotaka iwe au wanavyodhani.


Ukishinda zoezi hilo ndio utajua kuwa anajuta kuwaingiza wasomi katika chama cha wachaga. Shule si mchezo kwani mtu haigi unayomwambia bali anachambua na kutupa pumba. Mbowe hayupo tayari kwa hilo.

Chama kimeshakufa hiki na vijana mkizubaa mmekwisha, mnatumiwa tu lakini hamna nafasi katika CHADEMA
.
 

Muacheni DJ Mbowe, mnajisumbua kuuliza maswali magumu ambayo kamwe hataweza kuyajibu.

Unajua kuwa mwenyekiti wa chama cha upinzani na mbunge ni ndoto ambayo Mbowe hata hakuweza kuiota. Hapo hatoki mpaka kwa mtutu wa bunduki.
 
Muacheni DJ Mbowe, mnajisumbua kuuliza maswali magumu ambayo kamwe hataweza kuyajibu.

Unajua kuwa mwenyekiti wa chama cha upinzani na mbunge ni ndoto ambayo Mbowe hata hakuweza kuiota. Hapo hatoki mpaka kwa mtutu wa bunduki.


Shikamoo Mkuu Zawadi Ngoda,

Mkuu hishma yako...nimekusoma mno kwa hiyo bayana yako na nimekukubali yakuwa wewe ndo Greater Thinker wa ukweli humu-JF,waliobaki takriban woote ndo ile ile misukule ya Chadema tu! Dah! Yaani majanga matupu!

Hayo maneno yako murua...bakhti mbaya hapa natumia ka-mchina,kitufye cha LIKE sikioni!?...lakini kula "tano" Jembe langu! Teeh! Teeh! Teh!

Pamoja kwa saana Mkuu.

Ahsanta.

Cc;Ritz
 
Bravo kamanda Mbowe, safari ni safari mpaka mwisho wa reli (IKULU). Aluta continua mpaka kieleweke.
 
gombesugu lakini unajua hilo bwabwa ni mrembo kweli kweli,afu akishapaka wanja waweza dhani ni binti kahtaan Mlaleo
 
Last edited by a moderator:
Mbowe anaongeaga ponti sana, nampenda sana huyu mwanasiasa, ona vijana akiowang,oa chuo wote wamefanikiwa.. Sasa hoyo Zitto sijui kwanini ametekeza kwa kweli..
 
Mbopwe ana point; chama hakijengwi kwa personalities, kinajengwa kwa principles.
 
Nimeidharau sana taarifa hii. Hivi na John Mnyika naye amesoma chuo Kikuu cha Dar es salaam?

We hujui kwamba alisoma ila hakumaliza... Usichokijua ni sawa na usiku wa gizi, Mnyika ni zaidi ya msomi mwenye master.
 
# #HAPO UNAHARIBU NI MTU MWENYE ELIMU YA WASTANI "ADVANCE DIPLOMA" PIA KUMBUKA ANAJIENDELEZA NA ELIMU YA JUU UINGEREZA,KWANI ELIMU Ni BAHARI

Watakuelewa hao?wao wanaamini elimu ya chuo kikuu(degree) hadi usome tu udsm,tena ukiwa unaishi hostel! huku kwingine ambako hawapajui kote ni darasa la saba!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…