Kaka kwemaPunguza unafiki, wakati Mbowe anavunjiwa bilcanas , na kuharibiwa mashamba yake mlimcheka, alipopewa kesi ya ugaidi mkamuita gaidi, alipofungua akaunti zake mlimfanyis dhihaka. Leo unamwita Kibaraka, kisa akasamehe na kupiga picha na Viongozi wa CCM waliompitisha kwenye matatizo. Haya endeleeni tu.
Pole sana kijanaWanaccm mnaajenda ovu, mmetuibia sasa mnaleta ajenda ovu ili maovu yenu yasijadiliwe
Wewe si mwanachama wala hauna kadi ya Chadema unakuja kuingilia mambo ya Chadema bafala ya kuzitaka familia za viongozi kunimilikisha chama chenu kwa kuteuana na kuajiliana kifamilia.
Ww ndiyo huna akili c unaona watoto wadogo huwa wanalilia vitu siyo vyao ndyo kama nyinyi muachieni chama chake anzisheni chenu.Samia mitano tena CCM daimaAkili huna
Ww ndyo huna akili mavi ya punda wwHuna akili
CCM DAIMA SAMIA MITANO TENAHuna akili
We jamaa noma!
Mbowe huyo!Mbowe amelisababishia Taifa hasara kubwa sana.
Kimsingi Taifa limerudi nyuma kwa sababu ya Mbowe!
Kuanzia awepo madarakani hadi sasa mikopo inazidi! Maendeleo ni ya kusua sua. Miradi mingi inafeli!
CCM hadi unakufa SAMIA MITANO TENAHuna akili
CCM HADI UNAZIKWA SAMIA MITANO TENAHuna akili