Inasikitisha kuona watu kama wewe kumtetea Mbowe wakati akiua chama chenu
Ina kuhusu nini, CDM ikifa si ndo furaha yako? Usijifanye unaipenda sana CDM kiasi cha kuona uchungu. Jifunge kanga kiunoni ucheze mchiriku!
Mnajiita makamanda. Kamanda gani anayekimbia vita? Au mnatumia tuu maneno bila kuyatendea haki
Ili upendwe Chadema msifie Mbowe na Slaa, Ili utukanwa Chadema wahoji Mbowe na Slaa.
Jamani wachangiaji wote wanakuja kutukana tu, naomba hata mmoja angalau aje kupinga kwa hoja.
Jadili ufisadi wa bil 200 ndio hasa wenye impact kubwa kwa taifa na si kujadili watu haileti tija yeyote katika taifa.
Ishi hapa sio kuishambulia chadema inshu ni kwamba unaziongeleaje kashfa za ufisadi zinazo tolewa na chadema na nccr?? Mf bil200, usafirishaji wa transformer, na zinginezo?? Jadili kama mtanzania na si mwana ccm, halafu utuambie pia kwa hali hii taifa linaenda wapi? Na nini madhara yake? Na wewe unafaidika na nini hasa unapo tumia nguvu kubwa kutetea mambo kama haya wakati unajua fika hali ya uchumi na maendeleo ya watanzania yalivyo? Je? Una jijali wewe, chama,au watanzania walio nyuma yako?tafakari? Lakini naamini pia kama chadema wanatoa hoja za uongo kuhusu ubadhirifu wa fedha unao fanywa basi na hakika wangesha polekwa mahakaman tangu wameanza kuzitoa tuhuma mbali mbali,,, mh! Sielewiiiii!Ukweli chadema mwaka huu wameadhirika sana, sijui kama hotuba zao za mawaziri kivuli kama walimshirikisha prof Lipumba! Hasa hotuba ya Wenje, wao wenyewe wameona aibu hata kuiweka ktk website ya chama, wakati walikaa pamoja kuanda kama Mbowe alivyosema, hii ya wizara ya nishati na madini ndiyo Mbowe amekimbia na vijana wake kukwepa aibu, bye bye chadema.
Hizo 200b ni za nani? ame deposit nani bank kuu? Na ni nani aliezichukua??!.
CDM inakuhusu nini wewe gamba sugu?
Ili upendwe Chadema msifie Mbowe na Slaa, Ili utukanwa Chadema wahoji Mbowe na Slaa.
Jana walikuwa wengi wakichangia uongo wao walioaminishwa na sugu wao mbunge goigoi kuliko hote hotuba yote imejaa jina la zzk kana kwamba zt ndio aliekwamisha bajeti yote ya wizara ya michezo
Sugu muziki hawezi tena kakimbilia kwenye siasa
Siasa nayo ikibuma atakimbilia wapi?
umevurugwa si bure,imarisheni chama chenu cha wasaliti achaneni na CDM!