technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,648
- 58,453
- Thread starter
-
- #61
ExactlyNiandamane kwasababu ipi hasa katika uongozi huu wa awamu Bora zaidi....Labda kama kuna maandamano ya kumuunga mkono Rais katika katika jitihada zake za dhati kabisa za kurudisha nidhamu ya nchi kwenye mstari.......Nitakuwa mstari wa mbele kabsaaaaaaaaaaaa..... Ila kwa haya mengine hakuna maslahi yoyote ya Taifa...... Kuna nchi zinatamani kupata kiongozi kama huyu makini......
sasa hapa ndipo patamu,laiti ungeujua huu mchezo,huwa hautaki hasiraTeam Lowassa utawaweza? Tangu akatwe mkia kule CCM na baadaye kwenye uchaguzi , wamevurugwaje?
Elezea mkuu sijakupatasasa hapa ndipo patamu,laiti ungeujua huu mchezo,huwa hautaki hasira
Sawa ngoja tusubiri tuoneSiku zote sisi maskini ndio wakombozi wa taifa sababu hatumwogopi mtu nasema tena 1mwezi wa 9 police wajiandae na mizinga kabisa maana mabomu ya machozi risasi za moto hazitasaidia kitu
Haya mkuuSawa ngoja tusubiri tuone
Mpelekeni zizini kwenu, kabla hajachoshwa na mipasho yenudr slaa alikuwa chater nyingine
Huko zizini vipi? hamna yenu ya kuongelea?CDM ni Dk Slaa wengine wazushi
Sasa unampiga mkwala kwani kasema kitu gani kibaya yeye kaomba tu kina Mbowe, Sumaye, Lowassa, pamoja na familia zao waungane pamoja kwenye maandamano yeye atakuwa katikati yao, ni jambo zuri.kumbuka uko nyuma ya KEYBOARD,unaona umejifichaaaaaaaaa
Utashangaa sana hawa watuSasa unampiga mkwala kwani kasema kitu gani kibaya yeye kaomba tu kina Mbowe, Sumaye, Lowassa, pamoja na familia zao waungane pamoja kwenye maandamano yeye atakuwa katikati yao, ni jambo zuri.
kwahiyo na wewe utakuja?Nipo tayari kuandamana endapo Mbowe ,Lowassa,Sumaye na wake zao na watoto zao watatangulia mbele Mimi niwe katikati yao !!
Nipo tayari nipo tayari maana hata Dr Slaa Tuliandamana naye akiwa na mke wake akapigwa akavunjwa mkono na mke wake akaumia kichwa lakini
Mwishowe mbowe ulimkata Dr Slaa kwenye uchaguzi ulipita
Mimi sitaki unikate tangulia twende wote!!!
Hata kwenye vita ya Iraq sikumuona bush kwenye uwanja wa mapambanoHata wakati tunakwenda kupigana vitani Kagera 1979 sikupata kumuona Mwl Nyerere akija kushika bunduki hata siku moja. Hivyo hoja yenu ni ya kipuuzi, mnataka kamanda mkuu awe pale mbele ili mumuuwe?
Hivi wewe Nani kakwwmbia Tanzania inapigana vita??Hata kwenye vita ya Iraq sikumuona bush kwenye uwanja wa mapambano
Hivi wewe Tanzania inapigana vita na Nani??kwani Nyerere alitangulia mstari wa mbele vita ya alioitangaza ya Tanzania na Uganda ??
Ulishawahi kumuona Bush na Obama mstari wa mbele ??
Kwani kwenye hiyo vita iliyotangazwa Magu naye atakua mstari wa mbele ??
Tatizo la makada wa CCM IQ ndogo kuanzia chini hadi yule impulses wao..
Nasikia pale Magogoni napo patauzwa !!
Watoto wa mwalimu akiwemo Makongoro walienda vitani Uganda,tena Makongoro alienda vitani bila baba yake kufahamu kama Makongoro yupo Uganda.Hata wakati tunakwenda kupigana vitani Kagera 1979 sikupata kumuona Mwl Nyerere akija kushika bunduki hata siku moja. Hivyo hoja yenu ni ya kipuuzi, mnataka kamanda mkuu awe pale mbele ili mumuuwe?