technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,562
- 57,887
Nipo tayari kuandamana endapo Mbowe ,Lowassa,Sumaye na wake zao na watoto zao watatangulia mbele Mimi niwe katikati yao !!
Nipo tayari nipo tayari maana hata Dr Slaa Tuliandamana naye akiwa na mke wake akapigwa akavunjwa mkono na mke wake akaumia kichwa lakini
Mwishowe mbowe ulimkata Dr Slaa kwenye uchaguzi ulipita
Mimi sitaki unikate tangulia twende wote!!!