Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Status
Not open for further replies.
Kwa hili Mbowe yupo sahihi

Kwenda zako usijipendekeze. Hatukutaki huku. Rudi huko huko magambani kwenu. Watu kama nyie ndio mmesababisha mpaka magamba kuwadharau watanzania kana kwamba hawana akili na hata ukiwasimamishia jiwe toka ccm watalichagua tu, ndio maana sasa wameamua kumsimamisha fisadi.
Leo hii unajifanya za makalioni zinekucheza! Mwehu wee!!!
 
Kwa hili Mbowe yupo sahihi
] Karibu nyumbani UKAWA bwana Lizaboni. Unajua hata Sauli naye alikuwa mtesi na mdhulumu wa Imani. Lakini leo ni mtu aliyekuwa na impact na significance sana katika Imani. Niko hpa Lizaboni, naelekea kituo cha "Boda"
 
Asilimia 20 ya wanaomuunga mkono Lowasa ni wapambe wa kununuliwa(hapa wengi wao ni watu wenye ushawishi kwenye makundi mbalimbali), Asilimia 20 ni matajiri na marafiki walioko kwenye genge lake,

hawa washaona na kukubaliana watakavyonufaika kibinafsi na uongozi wake, Asilimia 60 ni bendera fuata upepo na wasiojielewa wamelaghaiwa na haya makundi yalonufaika, wanacheza ngoma wasioijua! MASKINI TZ NCHI YA WATU WASIOJITAMBUA!
 
ivi mbowe yeye ameweza kukumea ufisadi CDM kwa matumizi mabaya ya luzuku na michango ya wanachama i.e chama kupanga ofisi ya makao makuu kwa miaka zaidi ya 20

Ulishachangia hao cdm mpaka ujigambe swala la ruzuku ?au ndiyo mnataka muonekanike mko wengi?mauld siyo yako kanzu yanini wewe
 
OKW BOBAN SUNZU

Lowassa ni mdhalimu sana. Aliwahadaa wana jimbo lake kuwa atawawekea lami kwenye barabara zote za "mitaani" za miji mikubwa Jimboni kwake. Alichokifanya akachukua hela za mfuko wa Jimbo, akazitumia kuweka Lami barabara za hapo Monduli Mjini hadi kwake tu.

Udhalimu huu ulifanywa na Mwandosya kwa kubadilisha matumizi ya hela za ujenzi wa Uwanja wa Mwanza, akazipeleka kwenye ujenzi wa Uwanja wa Songwe; kadhalika Magufuli alivyo-diverge ujenzi wa barabara ya Busisi - Bukoba; ikanyooka kupitia kwake Chato, then Biharamulo, Muleba, Bukoba badala ya kukunjia pale Bwanga ikatokee Biharamulo, Muleba, Bukoba kama ilivyokuwa kwa mpango wa awali.
 
Last edited by a moderator:
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.

Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.

Source:Tanzania Daima page no.5

Hili litakuwa ni pigo TAKATIFU kwa Edward Ngoyayi Lowassa.

Lakini pia ni afueni kwa CCM, kwamba ENL hana nafasi UKAWA.

Sasa ni zamu ya CCM kumchinjlia mbali, bila hofu ya UKAWA.
 
Hatufanyi majaribio
 

Marafiki zake ni hao akina MSABAHA ,KARAMAI ,ROSTAM, CHENGE,sasa unategemea nin hapo ,KARAMAI mfano si yule jamaa alienda kuingia mikataba wa BUZWAGI kule uingereza,ilyo mpelekea ZITTO kufukuzwa bungeni pia nasikia ni mwanahisa wa BARIC , hao ndo marafiki wa LOWASA, inasikitisha kweli
 
Hao akina karamagi na lowasa si wana mpango wa kujimilikisha bandari ya dar ......lowasa ni hatari weka mbali na Watanzania
 

Pia kwenye bunge la katiba alikuwa bubu,kwahiyo hatujui nini msimamo wake,nitawashangaa sana ccm wakimsimamisha huyu jamaa yake Pasco kuwa mgombea wao.
 
kuweni serious ndugu zangu kati ya lowasa na mbowe nani awe raisi wako?
 
Lowasa na Tanzania ilivyo ya sasa, ongeza u chenge na Rosta labda mpiga kura sio raia
 
Mbowe ni mfalme pale UKAWA aweza kuhukumu mtu bila hata kumsikiiza na NCCR na CUF wakawa speachlesss nielewavyo mimi kiutaratibu lowasssa anayonafasi UKAWA vinginevyo.ithibitishwwe kwamba Hawezi kufanya hvyo
 
Mh.Mbowe amenukuliwa na Tanzania Daima akimchana Mh.Lowasa kuwa ni mgombea dhaifu na bubu wa kukemea ufisadi.

Amesema UKAWA hawawezi kuwa nae,hivyo asiwatishe CCM kuwa ana nafasi UKAWA.

Source:Tanzania Daima page no.5
Hata askof Gwajima amemkimbia Lowasa na Kumuunga Mkono Mbowe
 

Mkuu unachosema ni sawa! Lkn hautakuwa umetenda haki ukimsema mhs Lowasa bila kumuongelea mhs Kikwete! Maana hawa watu sijui kama kuna tofauti kubwa labda nimekosea au unasemaje mkuu?
 
ivi mbowe yeye ameweza kukumea ufisadi CDM kwa matumizi mabaya ya luzuku na michango ya wanachama i.e chama kupanga ofisi ya makao makuu kwa miaka zaidi ya 20

Kwani ccm wamejenga nini kwa ruzuku na michango? Ofisi zote za ccm zimejengwa kwa nguvu za wananchi enzi za chama kimoja. Tuliongezewa being za bia, soda, khanga na vitenge! Pia ccm imepora viwanja vyote vya michezo. Oktoba siyo mbali na vyote vitakabidhiwa halmashauri za wilaya.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…